Nina brother yangu mmoja hivi akikupa story yake utalia,yaani wameoana wakiwa bado wadogo tuu jamaa anafundisha demu ndio yuko form three nadahani hapo demu ana miaka 18 tuu,wakasoma hivyo hivyo kwa kujiendeleza kila mmoja baadae akawa vyema kielimu na career,sasa mambo yameenda wakajenga na watotot wakubwa tu wanasoma shuke,huku na huku mambo ya mjomba Magu tena,bro kapunguzwa kazini akawa yuko home tuu,aiseee! bro anakwambia pale home ilibidi nimfukuze mlinzi wa kimasai ambaye nilikuwa nimemwajili ilibidi mimi ndio niwe mlinzi maana maana mawazo mengi inafikia mahari analala karibu saa sita saa tisa anaamka anaanza kuwaza kesho itakucha vipi,shem analeta zengwe balaa,na baadae tena kaanza kuleta za kugawana vitu yaani nyumba naw ndio inaviziwa iuzwe,bro anakomaa kila siku apate mishe ila anakwambia mambo ninayo yaona hapa home kuna hati hati ya kuwekewa hata sumu kwenye msosi
Wakuu miaka ya leo ukiwa unaishi na mwanamke,kuwa makini sana,mawakili na mahakimu wanajua as we go kesi zinazo trend za wanawake wakigombea kugawana mali na waume zao.