Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Na kamanda alijichanganya kulioa hili Beki libeki tatu, alilishindwa DJ Nelly
 
Ni vema mnaposhindwana tabia kila mmoja aangalie ustaharabu wake na si kung'oana meno au kutukanana hovyo.
 
Binafsi sioni kama ni muwakilishi wa wapumbavu wala kitendo chake hakijafikia upumbavu. Huyo mama anawakilisha sehemu kubwa ya watu ambao hawana emotional intelligence. Ameshindwa kuchunga hisia na hasira zake na kusema mambo ambayo hakupaswa kuyasema hadharani. Tukumbuke kwamba kuna ile tafiti iliyosema asimilia fulani hivi ya Watanzania wanahitaji matibabu Milembe. Nadhani huyo mama anahitaji tiba ya afya ya akili kwa haraka. Kwa niaba ya wanaume wenzangu waelewa, hiyo ni changamoto ndogo tu, huyo mvulana wa mkoani anapaswa aikabili.
 
Duh kuna vitu ukisimuliwa huwezi kuamini. Wewe ni mvumilivu sana. Pole sana.
Usiwe na hulka ya kuwaamini hawa Wanawake wa kizazi hiki kwa asilimia mia moja mkuu.
Wengi wao ni waongo wa kutupwa. Inawezekana huyo mwanamke unayemuonea huruma ametunga mambo au kuongeza chumvi ili kumpaka matope huyo Mume wake. Mfano hai ni hili janga la huyu mwanamama Joyce, hakika ukipata nafasi ya kumsikiliza bwana Kileo unaweza kumuongezea kipigo huyo Joyce.
Tuishi na hivi viumbe kwa maarifa ya hali ya juu.
 
Ulivyowasilisha uzi wako yaani umeashumu watu wanajua alichokifanya huyo Joyce
 
Naona nguvu kubwa inatumika kumsitiri kamanda pasipo kuangalia madhaifu yake. Solution mumpe ruzuku tuu , unajua wangapi wanastiriwa pasipo kuja mitandaoni?
 
Hawa malaya wakishaanza kutumiwa wanajisahau sana....kumbuka faiza mzazi mwenzie na sugu aliwhi kuongea utumbo na mapupu kama haya sugu akaweka risiti malaya kimyaaa
Ni kweli kabisa mkuu. Wanawake wa aina hii ni hatari sana katika jamii.
 
HIVI HUYO MUMEWE AKIJA KUPATA MAPESA HUKO MBELE ATAJISKIAJE? NAKUMBUKA ALVYOKOSA UBUNGE ALISIKITKA NA KUWA ETI AMEKOSA SHOPING ZA DUBAI, HUYU MWANAMKE NAHS KAISHIA STD 7.
Darsa LA saba umempendelea huyu ni darasa LA pili.
 
Joyce Kiria ana laana ya kwao. Alishakosa adabu tangu utotoni akaachiwa laana na bibi yake kule Old moshi - Mowo

Tena Mwanaume ukimuoa huyu utafilisika haraka sana na kupoteza direction ya maisha.
Kumbe huyu bibi ni Mmachame mkuu?
 
Ukiona mwanamke kaachika, ndugu kaa mbali nae. Sisi wanaume ni wavumilivu sana.ukiona mwanaume kaacha jua hakuna namna na ndio maana sishangai anachokifanya Joyce...unakaaje mbele ya camera unaanika Siri za family,...
 
Joyce hukufanyiwa hukufundwa mama? Mapungufu ya mumeo inabidi uyabebe na iwe siri yako, sasa wewe vipi mwenzetu kumtangaza mume kwenye mitandao.......! huo unaharakati haujakusaidia kabisa, aibu ya mumeo ni aibu yako, ulivyoapa utampenda kwenye shida na raha ulikuwa unamaanisha nini labda...
 
Beki 3 ndo kazi iiliyomleta mjini toka huko Kishumundu unatarajia nini? Analeta mambo ya soni huyu!!!!
 
[emoji106]
 

Anatafuta attention na sympathy za watu, kumbe anajidhalilisha tu!
Yawezekana ni kweli mwanaume hatimizi majukumu yake kwa sababu moja ama nyingine lkn sio kuja kumtangaza mtandaoni, kama wao kwa wao walishindwa kuelewana bado alikuwa na nafasi ya kutafuta suluhisho kwa njia nyingine lakini sio hii aliyoitumia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] knakaukwel lkn!!! tabora knajamaa anajinaa tuu mjini ila wife ake ndo kilakitu had ela ya mafuta had nguo ila mkeake ndo umwambii kitu yani ni anampendaje...... (anasimamia stationary)
kisa et endisamu [emoji23][emoji23][emoji23] vitu vingine mnatakaga wenyewe lkn



nachukia alchofanya j kama vp aseme na sabab ya mkon'goli.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…