Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Joyce ana hasira tu ya mambo mengine.lakini hakutakiwa kuongelea masuala ya nyumbani kwenye social media.Kilewo atamwelewa na watatatua tatizo lao
wanaume pigeni kazi acheni kuwa tegemezi
 
Hongera sana Joyce kwa kuanika your dirty laundry out in the open for every one to see. Job well done.
Huyu hata ndoa yake ya kwanza alimdhalilisha mumewe lakini yule dogo alikuwa na busara akapiga kimya. Sasa makosa yale yale aliyofanya wakati ule ameyarudia tena. Kweli sikio la kufa...
Nachokiona kwa huyu Dada anajiweka ktk viwango visivyo vyake. Living the artificial life. Anajifananisha na kina Kimora Lee wa US bila kujua kuwa wale wako League tofauti kabisa.
 
Anajidhalilisha indeed!!!!!!!!!!
 
sasa kama kamanda mkubwa kama yule hayupo kwenye payroll ya chadema nani atakuwepo mkuu?
Si ajabu alishastuka kitaaaambo kaamua kutolipia kwa faida yake,nadhani aligundua kuwa hapaswi kuwa ATM ya MTU,
 
Bongo wako wengi wa style hiyo
 
unfortunately, this is the true picture ya wanawake walio wengi hapa tz. amewakilisha wengi sana hapo more than 70% of them wana tabia kama hizi hizi. kinachotakiwa kwa wanaume ni kuwa na busara tu kuishi nao kwa akili.
 
Wabongo kwa ulimbukeni na kupretend fake life tupo vizuri .............huyu dada ni mpuuzi kama walivyo wapuuzi wengi tu Bongo hapa we mtu kama unapesa ya kuafford such an incredible expensive life style why should you blame others for the decisions that you took on your risk . Idiot ! That's it, Period !
 
unfortunately, this is the true picture ya wanawake walio wengi hapa tz. amewakilisha wengi sana hapo more than 70% of them wana tabia kama hizi hizi. kinachotakiwa kwa wanaume ni kuwa na busara tu kuishi nao kwa akili.


Halafu wanashangaa kwa nini wanaume wanawakimbia.
 
unfortunately, this is the true picture ya wanawake walio wengi hapa tz. amewakilisha wengi sana hapo more than 70% of them wana tabia kama hizi hizi. kinachotakiwa kwa wanaume ni kuwa na busara tu kuishi nao kwa akili.
Stupid women, aisee mademu wa bongo maigizo mengi mno kila mmoja anajiona high class chunguza hata humu jf tu. Hamna demu anaekubali life la bamia tembele.
 
Wanawake kama hawa ni majoka yenye makengeza kabsa,kamuaribia mumew jin kabsa,ningekuwa mm nampata talaka kabsa
 
Naamini mume wake sio chizi! Kama alimpiga kama anavyosema? Naamini jamaa hajampiga bure tena kwa kumuonea eti simply analipa kodi na mahitaji muhimu ya kifamilia really! Mume akupige kwa sababu hiyo??? Kwa sababu ameamua kuanika mambo yao ya familia hadharani naomba utujuze ukweli kabisa kwa nini mume wake alimpiga??? Coz reason anayosema kulipa kodi ya pango na mamatumizi mengine siamini hata kidogo kama mumewe anaweza mpiga kwa that reason! I believe kuna kitu sis hajasema ukweli
 
Ukaidi na ubishi wa wanawake hautowaacha salama. Mjipange
 
Sikuhizi Wanawake Wa ainaya ya mama zetu hawapo
 
Baadhi ya wana
baadhi ya wanawake unaweza dhani umeoa mke kumbe umeoa Jini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…