chinatown
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 1,232
- 1,105
wanaume pigeni kazi acheni kuwa tegemeziJoyce ana hasira tu ya mambo mengine.lakini hakutakiwa kuongelea masuala ya nyumbani kwenye social media.Kilewo atamwelewa na watatatua tatizo lao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanaume pigeni kazi acheni kuwa tegemeziJoyce ana hasira tu ya mambo mengine.lakini hakutakiwa kuongelea masuala ya nyumbani kwenye social media.Kilewo atamwelewa na watatatua tatizo lao
Huyu hata ndoa yake ya kwanza alimdhalilisha mumewe lakini yule dogo alikuwa na busara akapiga kimya. Sasa makosa yale yale aliyofanya wakati ule ameyarudia tena. Kweli sikio la kufa...Hongera sana Joyce kwa kuanika your dirty laundry out in the open for every one to see. Job well done.
Anajidhalilisha indeed!!!!!!!!!!Anatafuta attention na sympathy za watu, kumbe anajidhalilisha tu!
Yawezekana ni kweli mwanaume hatimizi majukumu yake kwa sababu moja ama nyingine lkn sio kuja kumtangaza mtandaoni, kama wao kwa wao walishindwa kuelewana bado alikuwa na nafasi ya kutafuta suluhisho kwa njia nyingine lakini sio hii aliyoitumia
Si ajabu alishastuka kitaaaambo kaamua kutolipia kwa faida yake,nadhani aligundua kuwa hapaswi kuwa ATM ya MTU,sasa kama kamanda mkubwa kama yule hayupo kwenye payroll ya chadema nani atakuwepo mkuu?
Bongo wako wengi wa style hiyoHuyu hata ndoa yake ya kwanza alimdhalilisha mumewe lakini yule dogo alikuwa na busara akapiga kimya. Sasa makosa yale yale aliyofanya wakati ule ameyarudia tena. Kweli sikio la kufa...
Nachokiona kwa huyu Dada anajiweka ktk viwango visivyo vyake. Living the artificial life. Anajifananisha na kina Kimora Lee wa US bila kujua kuwa wale wako League tofauti kabisa.
A matter of timeAcha uongo mkuu, mie sio mchaga ila mama yangu ni mchaga.....na mie pia nimeoa mchaga, mbona sijashuhudia hayo magumu ktk maisha unayoyasema?!?!
Haha...aisee....Ukikutana na Joyce mwenye akili mshukuru mungu..
Huyu ni sawa na Joyce wangu tuu kichwa maji
Duuuh pole, alikuwa mpenzi au mume
Mimi naupenda mguu wake tu
unfortunately, this is the true picture ya wanawake walio wengi hapa tz. amewakilisha wengi sana hapo more than 70% of them wana tabia kama hizi hizi. kinachotakiwa kwa wanaume ni kuwa na busara tu kuishi nao kwa akili.
Stupid women, aisee mademu wa bongo maigizo mengi mno kila mmoja anajiona high class chunguza hata humu jf tu. Hamna demu anaekubali life la bamia tembele.unfortunately, this is the true picture ya wanawake walio wengi hapa tz. amewakilisha wengi sana hapo more than 70% of them wana tabia kama hizi hizi. kinachotakiwa kwa wanaume ni kuwa na busara tu kuishi nao kwa akili.
Safi sanaMuuza genge wewe unamchukuliaje? Dharau
Binafsi sijawahi kumkubali Joyce Kiria kiviile japo ana mambo ambayo huwa anafanya yana positive impact kwa jamii ila kuna mahali huwa anajichanganya sana hadi mtu unajiuliza huyu mama vipi?!
Jana kapewa kichapo kitakatifu na mume wake, yule jamaa handsome sana nadhani yule mwanamke alimpush to the limit.
Anadai eti yeye mwanamke ndo analipa bills zote za familia hadi kodi ya nyumba. Sasa nimetafakari japo mimi huwa sijali mambo ya watu, huyu mwanamke anaishi nyumba ya kupanga Mbezi Beach tena ghorofa(Mimi nilidhani nyumba yao)
Anaishi maisha ya juu sana, je hasara kwa nani? Acha alipishwe mwenyewe hizo bills.
Na nyie wanaume unaishije nyumbani hata sabuni hununui jamani? Kweli? Acheni hizo makamanda!
VIdeo akimchamba mume asiyelipa hata kodi ya nyumba
HaaaaahNever trust a women! Ukute kazibuliwa lingumi kmua kumsemea jamaa uongo..hawa watu ukitaka kupiga piga ad alazwe kama uwez achana nae sio kumpapasa kama hyu kaja kulia lia kinafiki humu akati ajaguswa.
Sikuhizi Wanawake Wa ainaya ya mama zetu hawapoHuyo mdada ni punguani mbona wakati kamanda analipa hzo bills hakua anakuja kutangaza kwenye mitandao, ktu wasichokijua wanawake ni kwamba kuna siku mmeo ataishiwa na hiko ndo kipimo cha upendo.. Sasa kuja kumuanika kwenye mitandao ndo nin, akina dada wa sku hz sjui akili zao zipo wapi,
Wakat nakua nakumbuka mdingi aliyumba almost 2 years bi mkubwa anaamka saa 11 anachoma maandazi, saa 2 anachoma chapati naomba hela ya shule napewa na bi mkubwa, for 2 years, lakin hawa wa sasa hv ukikosa hela week tu utatombewa had na wauza karanga za sh. 50.
baadhi ya wanawake unaweza dhani umeoa mke kumbe umeoa JiniNadhani kuna mahali tunasahau kumuliza huyo Joyce,
Je,ni tangu waoane mumewe hakuwa analipa kodi?
Kama jibu ni ndiyo,wakati wote hakuwahi kulalamika ni mpaka amepigwa,kwanini???
Kama alikuwa analipa,amebainisha sababu zilizopelekea kushindwa kuhimili kodi kwa sasa?
Tumesikia upande mmoja tu,si ajabu akija mumewe kuelezea uhalisia tutaishia kushangaa tu!
Baadhi ya wanawake ni Shida shida Shida!!!! Hasa wakiwa na kipato kuliko mume!!!
Hivi Flora Mbasha yupo wapi?????