Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

yule anaweza kuwa kidume... lile tangazo "is too good to be true"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hebu kaniletee wifi mie, usitafute visingizio.
 
Inawezekana huyo jamaa siyo kuwa anashindwa kugharamika juu ya familia yake bali ni kwa ajili huyo dada nae ni mjuaji sana.
 
Mwanaume kama kichwa cha familia anapaswa kuwa MWANAUME sio unalea kidonda kikikuozea unaanza kulaumu mwanamke.

Ndio mtambue kuwa hiyo ni nature hamuwezi kupingana nayo. Hivyo mpige kazi tu ili msimamie show.
 
hawa wanawake sampuli ya Diva wa kilauzi... na J wa wanawke mubashara.... ina ashiria huku tunapo enda na hawa wanawake ni shidaaa....
 
Hizo % zilikuwa enzi za babu zetu sio sasa.

Mwanaume unalalamikaje wakati ni majukumu yako?
 
Wanawake wa leo = wanaume wa leo.
 
Daah! inabidi huyo mwanaume apambane, ukisikia mwanamke anaanza kutoa kauli kama hizo jua nakuzalau sana anajua yenye ndo yenye coz majukumu yako yote ambayo ulitakiwa kutekeleza yenye ndo anafanya . so heshima itakuwa hakuna tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…