Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

yule anaweza kuwa kidume... lile tangazo "is too good to be true"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hebu kaniletee wifi mie, usitafute visingizio.
 
Mie naona anajifariji tu hapo ila ujinga aliusababisha mwenyewe tangia mwanzo kwa kujipachika majukumu ambayo kwa upande mwingine wangeweza kuwa wanasaidiana.

Pia nampa pole sana sababu kama ni kweli analipa hadi kodi ya nyumba ni hela nyingi sana ambayo ameshaipoteza.

Ila wanaume na nyie hebu jifunzeni kusimama kama wanaume basi. Khaaa.
Inawezekana huyo jamaa siyo kuwa anashindwa kugharamika juu ya familia yake bali ni kwa ajili huyo dada nae ni mjuaji sana.
 
Kwa showoff za J unafikiri angekubali. Na inawezekana aling'ang'ani huko Mbezi beach.
Wanawake hawajazoea kulipa bills hasa akiwa na mwenza wake, hata akiwa peke yake na ana kipato utasikia Mimi sina msaada nipo peke Yangu wkt anapata mshahara mrefu sana tuu.
Kuishi kwa kujionyesha kuwa mambo mazuri na showoff zimemkosti. My dear espy apambane na hali take.
Mwanaume kama kichwa cha familia anapaswa kuwa MWANAUME sio unalea kidonda kikikuozea unaanza kulaumu mwanamke.

Ndio mtambue kuwa hiyo ni nature hamuwezi kupingana nayo. Hivyo mpige kazi tu ili msimamie show.
 
hawa wanawake sampuli ya Diva wa kilauzi... na J wa wanawke mubashara.... ina ashiria huku tunapo enda na hawa wanawake ni shidaaa....
 
Wanawake wanasikitisha sana. 95% ya wanaume kwenye ndoa ndio wanaolipia:
[emoji830]Pango
[emoji830]Chakula
[emoji830]Karo za shule
[emoji830]Nguo za familia
[emoji830]Usafiri wa familia
[emoji830]nk.
Lakini hata siku moja hutawasikia wanaume wanalalamika gharama zinazowakabili.

Sasa tetereka kidogo tu katika kipato chako halafu mke alipe yeye pango la nyumba. Dunia nzima itajulishwa.

Ni nini hiki?
Hizo % zilikuwa enzi za babu zetu sio sasa.

Mwanaume unalalamikaje wakati ni majukumu yako?
 
B7SxTkaIIAAnZjj.jpg
 
Napata ukakasi tabia za wanawake waleo,baba yangu aliwahi kufukuzwa kazi akawa jobless for more 5yrs na kesi juu sikuwahi kusikia mama yangu akinyanyua mdomo wake kumwambia hata mama yake kuwa mumewe Hana kazi.hata walivyo tengana still my mumy alikuwa na adabu kwa msure
Wanawake wa leo = wanaume wa leo.
 
Daah! inabidi huyo mwanaume apambane, ukisikia mwanamke anaanza kutoa kauli kama hizo jua nakuzalau sana anajua yenye ndo yenye coz majukumu yako yote ambayo ulitakiwa kutekeleza yenye ndo anafanya . so heshima itakuwa hakuna tena
 
Back
Top Bottom