ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Sahihi mkuuNi ngumu sana kuhimili vishindo vya Mke alieamua kujifyatua akili!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi mkuuNi ngumu sana kuhimili vishindo vya Mke alieamua kujifyatua akili!
Iyo ndio Field works ya kazi anazofanyaAma kweli mganga hajigangi....kumbe mwanaharakati na mtetezi wa wanawake anapigwa na mumewe?
Kweli Kabisa bila mkong'oto maisha hayaendiWanawake vidomodomo kama hao kupigwa lazima, ndio dawa yao
Hongera sana Joyce kwa kuanika your dirty laundry out in the open for every one to see. Job well done.
Hayo ndo madhara ya kumpendea mtu kitu. Kitu kikiisha na mapenzi huisha.Arrogant Joyce.. Alimwacha mume wa mwanzo, akaamua kufunga ndoa ya haraka na Kileo akijua kuwa Kileo atakuwa mbunge, sasa ubunge hakuna tena... Le super woman mchaga kachanganyikiwa maana alisha piga maheshabu ya maisha ya juuuuuu mbinguni
Mnywe supu....Ukikutana na Joyce mwenye akili mshukuru mungu..
Huyu ni sawa na Joyce wangu tuu kichwa maji
Angefaa ningemnywaMnywe supu....
Kwamba ndio tunaowapenda!!! Mimi niondoe kwenye hilo kundi aisee.Kama wa huyo J, wasiotimiza majukumu yao
ndio Joyce nimekubali,
wengi mnajidai mnashauri,hamjui anacho experience,kama hujaolewa olewa uone mziki wake
Yaani acha tu, ndio wengine yakiwafika kama hivi wanayamwaga tu.[emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamani kaka wa watu, watu washajua ni marioo na mpiga wanawake. Hizi ndoa nakwambia kuna yanayoendelea mengi tu, mweeh!!!
Na wanawake watulize akili mnoo ili wasijiingize kwa super marios.Daahh,kweli wanaume inabidi kutuliza akili sana kuchagua mwanamke wa kuoa.