Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

Mwanamke ana matatizo sana huyu.

Hivi Henry alishamvumilia kwa mangapi, mbona hakuzungumza kwenye media mambo yao ya ndani.

Kwa ukamilifu gani alionao mpaka amzungumze mume wake hadharani namna hiyo. Anatafuta huruma ya nani?

Hana adabu kabisa huyu.
 
PAMOJA NA YOTE HAYO KUPIGA MKE ,MPENZI ,MTOTO WAKO NI UNYAMA AT ITS BEST,watanzania wengi tumezama mno kwenye mfumo dume unaomfanya ME ndio awe ni kila kitu ikiwemo kupiga,ni wakati sasa serikali itaanza kutekeleza sheria zake kuhusiana na GENDER ISSUES,tukubaliane kuwa watoto na wanawake wanaonewa mno ndani ya jamii yetu,na nimesikitika mno na mtoa mada ambaye bila shaka ni KE kumsifia ME huyu kwa kitendo kile cha kishezi alichokifanya kwa KE,ETI kipigo kitakatifu wakati huu ni unyanyasaji mkubwa,kupiga sio dawa ,UPENDO ndio ufumbuzi na ndio njia ya kwenda,taifa bora linajengwa kutokana na kuwa na familia zenye upendo.
Hizi hoja zenu ndiyo Kiwanda cha Kuzalisha MASHOGA ndani.....!...ndiyo maana maadili yanaporomoka kwa kiwango hicho ukisemacho(at its Best)....Siku hizi mzazi anaogopa mtoto kwa kweli mimi nipo tofauti kidogo aisee....Kuna vipigo vya kufundisha adabu(hasa watoto) na kuna vipigo vya mbwa mwizi hivyo ndo havitakiwi.....!Kwa mwanamke nadhani Dunia ilipo ni kumuacha tu kama ukiona kakushinda...Lakini mama zetu wamekula vipigo na wametulea na walikuwa wamenyooka katika Mstari...
 
Nilijua tu huyu Joyce ataishia kubaya.Kuna vitu havichangamani kamwe!Kuwa mwanaharakati wa haki za wanawake na kuwa mke ndani ya nyumba.Lazima uache kimoja.
Kila mtu anajijua alivyo,lakini binafsi I can't have a wife who goes around running her mouth kuhusu sijui haki za wanawake halafu anarudi Nyumbani kwangu.Hata hivyo Kilewo alivumilia mno.Women are so manipulative!
 
Mie naona anajifariji tu hapo ila ujinga aliusababisha mwenyewe tangia mwanzo kwa kujipachika majukumu ambayo kwa upande mwingine wangeweza kuwa wanasaidiana.

Pia nampa pole sana sababu kama ni kweli analipa hadi kodi ya nyumba ni hela nyingi sana ambayo ameshaipoteza.

Ila wanaume na nyie hebu jifunzeni kusimama kama wanaume basi. Khaaa.

Kaipoteza vipi sasa wakati kalipa kodi ya nyumba wanayoishi yeye na familia yake? niyi wanawake wa ajabu sana, yaani hata kodi ya familia yako ukilipa unaenda kutamgamza mitandaoni, faken kabisa...
 
Mwanamke ana matatizo sana huyu.

Hivi Henry alishamvumilia kwa mangapi, mbona hakuzungumza kwenye media mambo yao ya ndani.

Kwa ukamilifu gani alionao mpaka amzungumze mume wake hadharani namna hiyo. Anatafuta huruma ya nani?

Hana adabu kabisa huyu.

Anataka nae aitwe kama Wema Sepetu arudi CCM.
 
Kwanza Joyce ulijisahau sana ukidhan kwamba ww ndio house maid wa kwanza dunian uliyetoboza kimaisha.

Kumbe ulijidanganya. Wapo maids kibao na wengine ma baa maids ambao wametoboa kimaisha na wala huwez kuamini kwamba walikuwa maids.

Kilichokuponza ww ni kuonekana kwenye TV. Wapo watu wana PhD Leo hii wengine ni maprofessor lkn huwez amini walikuwa watumish wa ndani kwenye majumba ya watu na kilichowafikisha watu hao hapo ni unyenyekevu.

Mdogo wangu Joyce ulikosa unyenyekevu, ukadhan kwamba kuuzA sura ndio Kila.kitu.

Sitosahau siku unaachana na Yule.bwana DJ ulilia ile talaka Adi ukasema utakodi matarumbeta siku ya talaka.

Karma is always a bitch. Leo hii liko wapi? Kodisha tena matarumbeta utuambie kilewo ni mwanaume suruali,omba na singeli wamuimve kabisa manake ndivyo ulivyozoea.ukimaliza nenda safari la jinsia manake huko ndiko unakokimbiliaga.

Maisha yapo hivi unapobarikiwa ujue ni kama vile unapewa funguo za nyumba ila unaanza kupewa za mlango wa mbele kabla hata haujafunguka vzr, unaanza kuwa sema vby unadhan za chumban utapewa?

Wenzio ni wanyenyekevu na wanayajua maisha. Ukitaka maisha ya kuwa gender activist sawa ila tizama wenzio wote ambao ni gender activist 70%ni losers kwann hawawez kuwa wake ndani.

Mama ngaiza nadhan alikuta maisha sana lkn Kila wapi yy ndoa ilikufa Bora yale alikuwa ni dr wa chuo kikuu kaishi na wanae bila kutegemeea hata mia ya mume Leo watt wake wanahitimu PhD ww je wakwako?

Ulishindwa kuchagua Joyce ukaona kuuza sura kunatosha kukupa Kila kitu. Ukasahau ndoa ndio taasisi pekee inayoundwa na uvumilivu kwanza, heshima cha pili na cha tatu ndio upendo.

Wakat unakodisha tarumbet kwenda kwenye talaka ulijua unamkomoa DJ Leo hii liko wapi?

DJ saaa hizi anajua karma imelipa na kama yuko home anaagiza na glass ya wine kabisa
 
Huyo mdada ni punguani mbona wakati kamanda analipa hzo bills hakua anakuja kutangaza kwenye mitandao, ktu wasichokijua wanawake ni kwamba kuna siku mmeo ataishiwa na hiko ndo kipimo cha upendo.. Sasa kuja kumuanika kwenye mitandao ndo nin, akina dada wa sku hz sjui akili zao zipo wapi,


Wakat nakua nakumbuka mdingi aliyumba almost 2 years bi mkubwa anaamka saa 11 anachoma maandazi, saa 2 anachoma chapati naomba hela ya shule napewa na bi mkubwa, for 2 years, lakin hawa wa sasa hv ukikosa hela week tu utatombewa had na wauza karanga za sh. 50.
Na ndio sababu iliomfanya jamaa amtie mabanzi....Nina uhakika asilimia 90 kisa cha kupigwa ni mke atakuwa kamfumania mahala na njemba.
 
Hayo ndo madhara ya kumpendea mtu kitu. Kitu kikiisha na mapenzi huisha.


Kaa mbali kabisa na wanawake wa kichaga.. Usioe aiseee.. kama kut00mba piga miti pita zako fasta fasta.. usikae, hao ni hatari, kwao hela mbeleeeeeee yaani hapo Joyce kamdhalilisha mume wake vibaya sana, kisa kaona kakosa ubunge na hope ya kuupata huo ubunge haupo tena.. So ubunge ndio pesa bana.. Stay away from women wa hivyo hawaridhiki kwa chochote ni pasua kichwa hao..
 
Kaa mbali kabisa na wanawake wa kichaga.. Usioe aiseee.. kama kut00mba piga miti pita zako fasta fasta.. usikae, hao ni hatari, kwao hela mbeleeeeeee yaani hapo Joyce kamdhalilisha mume wake vibaya sana, kisa kaona kakosa ubunge na hope ya kuupata huo ubunge haupo tena.. So ubunge ndio pesa bana.. Stay away from women wa hivyo hawaridhiki kwa chochote ni pasua kichwa hao..
Mm sikubaliani na ww kwamba wanawake wote wa kichaga wako hivyo.

Kwa taarifa yako, wanawake wengi wa kichaga ndio bread winners wa familia, na wengine hunyenyekea haswaaaa kwa waumr hata kama hawana kitu kwasabb kwa Mila na taratibu za kichaga mwanamke akiolewa basi yy sio wa kwao tena kwenu hairuhusiwi kwenda labda msiba na sherehe na ukienda kumsalimia mzazi lazima kuwepo na taarifa maalum kwamba unakwenda.

Huyu Joyce ni ulimbuken tuu unasumbua. Alidhani akisha uza sura kideon basi ww maisha umeyaweza.

Jiulize DJ alikuwa na tatizo gan hadi akashinikiza talaka? Sawa alikuwa mbaya tens mpiga Sasa Leo huyu naye hailipi bills. Basi atafute mume wa kuchonga asokuwa n kasoro.

Mwanaume usifanye kosa la kuoa mke àliye achwa kwa talaka halafu huyo mke akawa anafurahia hiyo talaka. Tatizo ni huyo mke
 
Joyce Kiria anawakilisha wanawake wapumbavu duniani? . Je, Kilewo anatudhalilisha wanaume!?

Ni kweli wanawake wengine ni stubborn si kidogo,. Na wengi ni nature yao. Mwanamke silaha yake kubwa ni "mdomo" narudia "mdomo ". Na ukimkanya kidogo (kwa kibao kidogo) hata cha huba atapiga kelele mithili ya kuku aliye taga kwa mara ya kwanza.

Katika mazingira hayo, wanaume wasio na busara na hekima zawadi pekee anayo weza mpatia mwanamke ni kipigo. Nasema atasema anamfunza adabu." Kosa"

Maandiko ya Biblia yanaeleza wazi kuwa mwanaume atabaki kuwa Kichwa cha familia ikisaidiana na mkewe kwa karibu. Km Kichwa cha nyumba baba yafaa uelewa tabia za mwanamke, na uishi nae kwa akili. Narudi kwa akili! Tofauti na hapo aibu itakuwa ya kwako hata kama kosa ni lake. Haitakuwa tofauti na unapo kuwa unaoga, halafu atokee kichaa abebe nguo zake, then uenze kumkimbiza. Matokeo yake ama wote mtaonekana viachaa au wanao kujua watajua wew ndiwe umerukwa na akili.

Wanawake wameumbwa na hisia kali "Emotional" ndio maana anaweza kukwambia nipige "uone! Na ukimtazama ni mtu ambaye hampo nae sawa kinguvu na ukimtia "kelb" moja ya kumfundisha adabu ataanza kupiga mayoweeee.. Ukimuacha atasema "una muogopa " Nini kifanyike, Wanaume ishini na wake zenu kwa akili.

Kuna wanawake wengine ni wagomvi wanawagombeza waume zao popote walipo, wanawatusi, wana wapiga wanaume, tena vipigo vikali si kidogo. Wengine huwa wanawafungia nje, na wakati mwingine huwatimua kabisa, ila maskini wanaume, wao machozi ya Samaki, maumivu ndani kwa ndani "Akisema sana atamwambia mshikaji wake wa karibu!
Na wanaume nanyi tokea, mbona wao mkiwapiga kiduchu, ni kelele mtaa mzima? That's fair?

Aidha, Wanaume wanao kutana na madhila hao ama ni :-
*wanaume wanao lishwa, na kutunzwa na na wanawake wanao jiweza kiuchumi "mamaz au dadaz" yaani kazi yao = msingi ni kiuno. Ujinga!

*Wanaume wasio timiza majukumu yao ya ndani ya "ndoa " Sasa hapa Kuna sababu kadhaa ama ni tatizo la kimaumbile, tatizo kiafya, au Uvivu tu. Hapa lazima mwanamke awashe moto ndani. "Ji-adjust"

*Au sababu nyingine ni mwanaume kukosa msimamo, yamkini mwanamke ana uchumi imara kuliko wew, ila ukisha poteza legitimacy ya kimawazo, kifikra na msimamo nyumbani. Usitegemee kuheshimiwa hata na wanaume wenzio uraiani.

Mwsho, siungi mkono udhalilishaji wa kumpiga mwanamke, ila hadi kufikia kiwango cha kumtwanga mwanamke ni ishara kuwa wew mwanaume huna na umekosa ushawishi, Mwanamke amesha jua udhaifu wako, amesha kuvuta katika level zake, hivyo anakufanya anavyo ona inafaa. Ndoa nyingi mno, huwa uwanja wa ugomvi na sababu kubwa ni mwanaume kutosimama katika nafasi yake.

Nini Maoni Yako?

Ndimi, Noel Shao
97a75c6f1f5e10f6c35adf58219c7237.jpg
 
Back
Top Bottom