Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

atleast umesema wewe !mie leo sio mchangiaji ! kila mtu ananjia zake za kutoa stress !na huyu ameamua kuzitoa kwa namna hii ! mie nakaa kimyaa ! kuna watu wanahesabu km wanaume wako perfect sana ! yaan hawana madoa !na bahat mbaya mwanamke ukawa nazo au ukawa muongeaji bas utabebeshwa mizgo yote !
kuna rafiki angu aliolewa ,mume akawa hatoi pesa ya kodi wala chakula kila siku mume yupo safarin kikaz !rent ikiisha anamwambia mkewe lipa nitakuja kukurefund !imefika miaka 2 mwanamke kalipa rent zote mara 4!akaona huu sasa upuuuz !akapiga chini ndoa !unaambiwa mume hata awepo, luku ikiisha anamwambia wife nunua mie kuna hela nasubiria nilipwe !uwiii mie siwez jaman !
Teh teh...
Hiyo ni 50-50 mliyokuwa mnaitaka, wanawake wengi mnapenda maisha makubwa zaidi ya uwezo wa waume zenu, that's the truth. Ona huyo Joyce, bado na umri wao wanaishi maisha ya kupanga tena kwenye maeneo ya gharama sana, badala amshauri mumewe waishi average life ili wawe na kwao siku moja.

Mimi namnlaumu Kileo, alioa mwanamke sio kabisa, halafu chagga women wanajulikana kwa kuendesha wanaume, usipokuwa man enough mwanamke wa kichagga anaweza kukuburuza hadi ukawa jalala asee.
 
heheheya angejenga zake mbagala kuu awe na mafrem kibao apangishe wamachinga aingize pesa
Ajenge wapi Mbagala Kuu wakati anataka maisha makubwa. Naamini kwa kipato chao wangekuwa wanamiliki mijengo na biashara, ila hawakushauriana vizuri, leo wapo ghorofani wanaumbuana.
 
Teh teh...
Hiyo ni 50-50 mliyokuwa mnaitaka, wanawake wengi mnapenda maisha makubwa zaidi ya uwezo wa waume zenu, that's the truth. Ona huyo Joyce, bado na umri wao wanaishi maisha ya kupanga tena kwenye maeneo ya gharama sana, badala amshauri mumewe waishi average life ili wawe na kwao siku moja.

Mimi namnlaumu Kileo, alioa mwanamke sio kabisa, halafu chagga women wanajulikana kwa kuendesha wanaume, usipokuwa man enough mwanamke wa kichagga anaweza kukuburuza hadi ukawa jalala asee.

kwahilo nakuunga mkono kwa kila kitu !ila na sie twende mbele turud nyuma !Joy tumsimlaumu sana ! tuangalie na background yake !lol ! mtu km chriss mauki ukimwelezea hili atakupa majibu murua kuhus joy !huenda alidharaurika sana huko nyuma !sasa anataka kutumia energy nyingi kuwaprove watu wrong !tumsamehe tu kwakwel ! ila mchaga aoe mchaga mwezake ndo wanaelewana zaid !
 
Nashindwa kuelewa kitu hapa....huyu Joyce kaandika haya kwa sababu anataka emotional support au vipi? Matatizo ni yake mwenyewe, kama yamemshinda ilibidi ayapeleke kwa wazee wawasuluhishe/waelewane si mitandaoni kutafuta kick za kijinga. Hata kama mimi ni mumewe ningemdunda zaidi ya hapa kumshikisha adabu. Mwanamke gani asiye na heshima.
 
Yeah, tujifunze tu kuishi ndani ya uwezo wetu, tusifosi kuishi kwenye majumba ya kifahari wakati uwezo huo hatuna, vipaumbele pia ni muhimu katika nyumba, lazima kuwe na vipaumbele hasa jinsi ya kutumia kipato chenu.

Lakini nyie wanawake bwana, umelipa kodi mara moja au mbili tu tayari umechoka, wakati huo huo unataka usawa ndani ya nyumba. Women activists wana matatizo sana, ndio maana wengi wamefeli katika ndoa.

Naamini kabisa Mbiti siku ikatokea mumeo akachalala mwaka mzima unaweza kuondoka kwenu kabisa...teeeeh!!
 
inategemea km naye alikua ananitreat poa !we upate mshahara wako uishie kwenye mapombe !leo ufukuzwe kazi utegemee nitakuvumilia !SAHAU !
 
Ushauri wangu kwa Joyce kiria kwa kitendo alicho Fanya sidhani kama wanaume wote dunian wamekifurahia ..kitendo cha kuweka personal life kwenye public hiyo dhambi anatakiwa akatubu

Sidhani kama kuna mwanaume anaetaka wanawake wa style hii
Naasitegemee anapoleta mambo yake ya ndani kwenye public hatahurumiwa zaidi anachekwa na kuzomewa

Me Nina msihii hawe hanamuona Mungu kama mshauri wake mkuu

Na kwakitu alicho kionesha usishangae wanawake wengine wakainga hivyo basi hii dhambi haingame hadharani kma alivyofanya kwa kuweka mambo yake ya ndani hadharani

Dada Joyce kiria watch your mouth
 
Joyce Kiria hii ni special case jamani ............... Muoneni huruma sana Kilewo na sijui nini kilimponza mok akaamua kumwoa huyu jini mtu................... nimpendi Joyce mpk nimeunfollow kwenye mitandao yote kabisa.. ni mwanamke mjinga sana....... yeye nadhani alidhani Kilewo anapata ubunge akamhamisha from kinondoni to mbezi beach tena kwenye ghorofa... Kilewo ndugu yangu usilipe hata mia mwache alipe yeye mwenyewe hiyo nyumba na ikiwezekana mwachie nyumba nenda kapange room moja ................... huyu mwanamke ni jini makata anakata hata uchumi wako
 
DJ Nelly atakuwa anachekelea na kujipongeza kuuvua huu mkenge mapema.

Joyce anampenda Kileo hii ni strategy ya kupiga pesa.
Huyu Dj Nelly nae sijui anawaokoteaga wap wanawake zake,
1:Joyce Kiria
2:Sasha kassim (huyu ni muizaji maarufu wa nyap huko inst)
3:.....
 
ndio tatizo la kupenda kuigiza maisha ya kwenye tamthilia na kuyalazimisha kiualisia...
hayo ndio matokeo yake... tambo ya kuwa mama mbunge zimeyeyuka...pamoja na mbwembwe zile...
kuiingia siasa kichwa kichwa hakuna aliyebaki salama....
 
Jamani nyie wanaume msiseme Joyce at kamzalilisha mwanaume hamjui uchungu alionao mtu mwingine kuongea vile ndio namna yake ya kutoa uchungu.Ki ukweli wanaume siku hizi mmekuwa watu wa ajabu tunawavumilia lakini hamuonyeshi mapenzi wala kujali.Joyce Kiria kwa muda mrefu kabla hajaongea haya alikuwa akilalamika kuhusu mume wake ku cheat na kuchelewa kurudi nyumbani..sasa inafika wakati tunajiuliza unakuja mwanamke ndio kila kitu nyumbani unamvumilia mume wako lakini mwanaume huyo huyo unasikia yuko na wanawake nje hana mapenzi tena na wewe hana huduma nyumbani kifupi hakuna amani hata ungekuwa ni wewe ungeweza? Kwahyo hata ukiona mwanamke anaongea ujue yamemfika mengi.
 
Teh teh...
Hiyo ni 50-50 mliyokuwa mnaitaka, wanawake wengi mnapenda maisha makubwa zaidi ya uwezo wa waume zenu, that's the truth. Ona huyo Joyce, bado na umri wao wanaishi maisha ya kupanga tena kwenye maeneo ya gharama sana, badala amshauri mumewe waishi average life ili wawe na kwao siku moja.

Mimi namnlaumu Kileo, alioa mwanamke sio kabisa, halafu chagga women wanajulikana kwa kuendesha wanaume, usipokuwa man enough mwanamke wa kichagga anaweza kukuburuza hadi ukawa jalala asee.

MKUU ELI79, UMEONGE JAMBO LA MAANA SANA JUU YA NDOA ZA HAO WATU. IN SHORT UKITAKA KUWA NA NDOA NGUMU KTK MAISHA YAKO BASI OA MCHAGA.Then utakuja kukiri kwa wakati wako.Tena ni bora waoane wao kwa wao
 
Nashindwa kuelewa kitu hapa....huyu Joyce kaandika haya kwa sababu anataka emotional support au vipi? Matatizo ni yake mwenyewe, kama yamemshinda ilibidi ayapeleke kwa wazee wawasuluhishe/waelewane si mitandaoni kutafuta kick za kijinga. Hata kama mimi ni mumewe ningemdunda zaidi ya hapa kumshikisha adabu. Mwanamke gani asiye na heshima.

Mimi naupenda mguu wake tu
 
MKUU ELI79, UMEONGE JAMBO LA MAANA SANA JUU YA NDOA ZA HAO WATU. IN SHORT UKITAKA KUWA NA NDOA NGUMU KTK MAISHA YAKO BASI OA MCHAGA.Then utakuja kukiri kwa wakati wako.Tena ni bora waoane wao kwa wao
Acha uongo mkuu, mie sio mchaga ila mama yangu ni mchaga.....na mie pia nimeoa mchaga, mbona sijashuhudia hayo magumu ktk maisha unayoyasema?!?!
 
Back
Top Bottom