Farudume12
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 621
- 348
Malaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh...atleast umesema wewe !mie leo sio mchangiaji ! kila mtu ananjia zake za kutoa stress !na huyu ameamua kuzitoa kwa namna hii ! mie nakaa kimyaa ! kuna watu wanahesabu km wanaume wako perfect sana ! yaan hawana madoa !na bahat mbaya mwanamke ukawa nazo au ukawa muongeaji bas utabebeshwa mizgo yote !
kuna rafiki angu aliolewa ,mume akawa hatoi pesa ya kodi wala chakula kila siku mume yupo safarin kikaz !rent ikiisha anamwambia mkewe lipa nitakuja kukurefund !imefika miaka 2 mwanamke kalipa rent zote mara 4!akaona huu sasa upuuuz !akapiga chini ndoa !unaambiwa mume hata awepo, luku ikiisha anamwambia wife nunua mie kuna hela nasubiria nilipwe !uwiii mie siwez jaman !
Ajenge wapi Mbagala Kuu wakati anataka maisha makubwa. Naamini kwa kipato chao wangekuwa wanamiliki mijengo na biashara, ila hawakushauriana vizuri, leo wapo ghorofani wanaumbuana.heheheya angejenga zake mbagala kuu awe na mafrem kibao apangishe wamachinga aingize pesa
Teh teh...
Hiyo ni 50-50 mliyokuwa mnaitaka, wanawake wengi mnapenda maisha makubwa zaidi ya uwezo wa waume zenu, that's the truth. Ona huyo Joyce, bado na umri wao wanaishi maisha ya kupanga tena kwenye maeneo ya gharama sana, badala amshauri mumewe waishi average life ili wawe na kwao siku moja.
Mimi namnlaumu Kileo, alioa mwanamke sio kabisa, halafu chagga women wanajulikana kwa kuendesha wanaume, usipokuwa man enough mwanamke wa kichagga anaweza kukuburuza hadi ukawa jalala asee.
Yeah, tujifunze tu kuishi ndani ya uwezo wetu, tusifosi kuishi kwenye majumba ya kifahari wakati uwezo huo hatuna, vipaumbele pia ni muhimu katika nyumba, lazima kuwe na vipaumbele hasa jinsi ya kutumia kipato chenu.kwahilo nakuunga mkono kwa kila kitu !ila na sie twende mbele turud nyuma !Joy tumsimlaumu sana ! tuangalie na background yake !lol ! mtu km chriss mauki ukimwelezea hili atakupa majibu murua kuhus joy !huenda alidharaurika sana huko nyuma !sasa anataka kutumia energy nyingi kuwaprove watu wrong !tumsamehe tu kwakwel ! ila mchaga aoe mchaga mwezake ndo wanaelewana zaid !
Yeah, tujifunze tu kuishi ndani ya uwezo wetu, tusifosi kuishi kwenye majumba ya kifahari wakati uwezo huo hatuna, vipaumbele pia ni muhimu katika nyumba, lazima kuwe na vipaumbele hasa jinsi ya kutumia kipato chenu.
Lakini nyie wanawake bwana, umelipa kodi mara moja au mbili tu tayari umechoka, wakati huo huo unataka usawa ndani ya nyumba. Women activists wana matatizo sana, ndio maana wengi wamefeli katika ndoa.
Naamini kabisa Mbiti siku ikatokea mumeo akachalala mwaka mzima unaweza kuondoka kwenu kabisa...teeeeh!!
Huyu Dj Nelly nae sijui anawaokoteaga wap wanawake zake,DJ Nelly atakuwa anachekelea na kujipongeza kuuvua huu mkenge mapema.
Joyce anampenda Kileo hii ni strategy ya kupiga pesa.
Kwani Dj Nelly ni kabila gani tuanzie hapo kwanza.Huyu Dj Nelly nae sijui anawaokoteaga wap wanawake zake,
1:Joyce Kiria
2:Sasha kassim (huyu ni muizaji maarufu wa nyap huko inst)
3:.....
Huyu jamaa sijui hata ni mwenyeji wa wapKwani Dj Nelly ni kabila gani tuanzie hapo kwanza.
Teh teh...
Hiyo ni 50-50 mliyokuwa mnaitaka, wanawake wengi mnapenda maisha makubwa zaidi ya uwezo wa waume zenu, that's the truth. Ona huyo Joyce, bado na umri wao wanaishi maisha ya kupanga tena kwenye maeneo ya gharama sana, badala amshauri mumewe waishi average life ili wawe na kwao siku moja.
Mimi namnlaumu Kileo, alioa mwanamke sio kabisa, halafu chagga women wanajulikana kwa kuendesha wanaume, usipokuwa man enough mwanamke wa kichagga anaweza kukuburuza hadi ukawa jalala asee.
Nashindwa kuelewa kitu hapa....huyu Joyce kaandika haya kwa sababu anataka emotional support au vipi? Matatizo ni yake mwenyewe, kama yamemshinda ilibidi ayapeleke kwa wazee wawasuluhishe/waelewane si mitandaoni kutafuta kick za kijinga. Hata kama mimi ni mumewe ningemdunda zaidi ya hapa kumshikisha adabu. Mwanamke gani asiye na heshima.
Acha uongo mkuu, mie sio mchaga ila mama yangu ni mchaga.....na mie pia nimeoa mchaga, mbona sijashuhudia hayo magumu ktk maisha unayoyasema?!?!MKUU ELI79, UMEONGE JAMBO LA MAANA SANA JUU YA NDOA ZA HAO WATU. IN SHORT UKITAKA KUWA NA NDOA NGUMU KTK MAISHA YAKO BASI OA MCHAGA.Then utakuja kukiri kwa wakati wako.Tena ni bora waoane wao kwa wao