Baada ya kumgegeda kila nikilala nashtuka, nimekoma

Acha Dhambi bro, starehe za muda zitakupa majuto ya milele, Kama hujaoa fanya uoe Kama una mke tulia. Yesu anarudi soon, kifo hakijawahi kuishiwa hamu. Wokovu ni bure na saa ya wokovu ni sasa
Glory to God
Glory to God...👏👏👏
 
Niliposoma.. "WAKUU NIMEKOMA KUGEGEDA"[emoji848]

Nikajiuliza ndugu yangu katika jinsia anataka kuanza kugegedwa yeye[emoji15]

Kumbe umechoka kuwa "kiboro dinda".. [emoji23]

Nami nakuunga mkono tafuta mmoja jitulize, toka umeanza kuzifukunyua mpaka leo kwani umeoata hata tuzo.. Hongera in advance kwa kujitambua.
 
Mimi km braza wako nakubaliana na mawazo yako.
 
mkuuu wangu nakushukuru sana
 
Igweeeeeee too

Mkuu kati ya woto uliowapelekea moto hamna hata mmoja uliyempenda for real?

Kama yupo baki nae huyo.
 
Pole mkuu kumbe shida hauiutumia ndom, pole sana

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…