Baada ya kumgegeda kila nikilala nashtuka, nimekoma

Baada ya kumgegeda kila nikilala nashtuka, nimekoma

Igweeeeeeeeeee,

Ndugu zangu kuanzia leo nimeacha kabisa ulevi kunywa beer pamoja na kuchukua wanawake tofauti tofauti.

Ndugu zangu wiki lililopita nilikutana na mwanamke mmoja jijini dar.es salaam tuliwahi kukutana nae kwa mara ya kwanza manispaa ya kahama kwenye bar inayoitwa The fox bar and greel.Baada ya kukutana nae kahma tulianzisha mahusiano nae na tukaanza sms za kuchombezana za hapa na pale.

Wakuuu wiki lililopita tulikutana bar ya delux sinza kijiweni jijini Dar es salaam tulikula beer tukaenda room kwa ajili ya majamboz aiseeee nilimpiga goli moja kwa ndom wakuuu msijeniuliza baada ya hapo wakuu nilikuwa kila nikilala nashituka yaani.usiku mzima sikulala .

Wakuuuu hali hiyo huwa inanitokea kwa baazi ya madem yaani nikilala nao nashituka na kesho yake naamka nimechoka sana .
Wakuuu nilipoamka kesho yake nilisema maneno yafuatayo enough is enough mimi kama starehe nimefanya sana sasa nioe

Wakuu naombeni baraka zenu.
Nitumie namba yake nione kama hajawahi kuja kuuza hapa Dom
 
Hii style ya kukutana na dem bar then mnachukuana huwa ni ishara ya uvivu au uoga wa kutongoza. Kuna wakati nililewa sana na mtindo huu wa madem wa bar ( si huwa tunaita magumegume)
 
Back
Top Bottom