Baada ya kumjua Kocha Mkuu wa Ruvu Shooting FC inayocheza na Yanga SC leo Jioni kuna haja ya Kusubiria Matokeo?

85% ya Maisha yake akitokea Kwake Mbweni kuja Mjini huku Kushinda muda Wote utamkuta amekaa na Watu tena Matajiri wa Timu ambayo leo anacheza nao Saa 12 na Robo Jioni pale Temeke Mkapa Stadium.
Mnatia huruma [emoji22][emoji22][emoji22] kwakweli.
 
85% ya Maisha yake akitokea Kwake Mbweni kuja Mjini huku Kushinda muda Wote utamkuta amekaa na Watu tena Matajiri wa Timu ambayo leo anacheza nao Saa 12 na Robo Jioni pale Temeke Mkapa Stadium.
Usitafute kizingizio Yanga hii ilishatangulia kumfunga kocha bora (Gomes) sasa huyo mkwasa ataweza kuuzuia moto wa Yanga uliomshindwa kocha bora?
 
85% ya Maisha yake akitokea Kwake Mbweni kuja Mjini huku Kushinda muda Wote utamkuta amekaa na Watu tena Matajiri wa Timu ambayo leo anacheza nao Saa 12 na Robo Jioni pale Temeke Mkapa Stadium.
Tulieni Sindano iingie vzur
 
Makolo tulieni basi, baadae tunaenda kuwaonesha namna ya kucheza Moira na kuzitumia nafasi zinazotengenezwa na mafundi wa Mpira.

Mtaendelea kuchonga hvyohvyo ila huu mwaka hamtapata taji lolote..
shirikisho mtatolewa na mwaka CAF tunacheza sie
 
Wewe mbona akili huna, yaani kocha anaweza akawambia wachezaji wake kwamba chezeni hovyo ili mfungwe!

Je, ni wachezaji gani wanaweza kukubaliana na ujinga kama huo, halafu kisha mechi nyingine anawambia chezeni kwa bidii ili tushinde. Hakuna kocha kama huyo dunia nzima, wewe acha mambo ya kipumbavu.
 
Back
Top Bottom