Baada ya kumjua Kocha Mkuu wa Ruvu Shooting FC inayocheza na Yanga SC leo Jioni kuna haja ya Kusubiria Matokeo?

Naona leo mnafikisha Alama 15 Kiulaini kabisa Watani. Hongereni na hivi Kocha wao Mkuu Wapinzani wenu ni Yanga SC wa Kufa Mtu.
Hiyo haijalishi, mbona Coast Ni tawi lenu lakini wamewanyima point kwa Mkapa pamoja na mchezaji wao kutolewa mapema kwa red card
 
Tulieni nyie mikia karibuni Dar birian zitapigwa kama pasi 8000 hivi
 
Usijali leo Utopwinyo wanaanza kupata maumivu kama sisi
 
Ni mightier huyo hajawahigi kuwa Na akili
 
Mtoa Mada anaongoza Kwa kuwa Na ID nyingi hapa Jf
 
Hiyo haijalishi, mbona Coast Ni tawi lenu lakini wamewanyima point kwa Mkapa pamoja na mchezaji wao kutolewa mapema kwa red card
Zamani. SS hivi Coast na GSM & GSM ni utopolo
 
85% ya Maisha yake akitokea Kwake Mbweni kuja Mjini huku Kushinda muda Wote utamkuta amekaa na Watu tena Matajiri wa Timu ambayo leo anacheza nao Saa 12 na Robo Jioni pale Temeke Mkapa Stadium.
Ni kweli. Mkwasa hajawahi kushinda mechi yoyote dhidi ya Uto tangu aanze ukocha miaka 20+ iliyopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…