Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kweli, kama angekuwa anatoa pesa angeona inavyotumika vibaya awe na uchungu nayo, lakini yupo kimya tu.Hatoi hela wananunuliwa wa bei ndogo
Hahaaaaa anaishi matakoni mwa dunia huyo.Mwamba yuko Kekombyo au Bulendabufe huko mwisho wa dunia. Umenikumbusha mbali kinoma Likud
Mo alishawahi kusema hamtaki Mangungu?Mo kama hamataki Mangungu anamtaka nani ?
Ndio na mm nimeuliza hapo ,maana kuna mdau kasema hivyoMo alishawahi kusema hamtaki Mangungu?
Genta unatuchanganya wana Simba!!!Mo Dewji Wewe kweli ni wa Kutufanyia haya Sisi wana Simba SC? Yaani una bahati nimekuja kuyanza Maisha mapya huku Kampaa Uganda ila hakyanani ningekuwa huko Dar es Salaam Tanzania ungenitambua. Yaani Mo Dewji Wewe leo ni wa kuipa Simba SC Shilingi 185 za Operations kwa Mwezi badala ya zile Shilingi 870 ulizosema Mkutanoni kuwa huwa unatoa na utaendelea kutoa hadi Mchakato wa Uwekezaji utakapokamilika?
Baadae nakuja na Uzi MAALUM wa kusema Mo Dewji TUACHIE SIMBA SC yetu na naamini nitaungwa sana tu mkono. Na nichukue pia nafasi hii kuwaomba sana Radhi Viongozi akina Murtaza Mangungu na Salim Abdallah Mhene 'try again' kwa Kuwashambulia mara kwa mara hapa JamiiForums nikidhani Wao ndiyo Wabaya ndani ya Klabu.
Yupo hapa Kampala university gongo la mboto..Kampala ipi wew si upo mapinga bagamoyo
au kampala gongo la mboto
Hujui kitu,, yule mgombea aliyeshindwa ndo alikua anampinga Mo, Mo hakuhusika na lolote Kwenye Uchaguzi, Siasa za Mangungu za Kumleta Manzoki ziliwaingia wapiga kura wajingaNO NO NO. MO Dewji ni kirusi kikali sana. Post nyingi za kumtuhumu Mangungu anazifadhili MO Dewji. Kisa ni kuwa kwenye kugombea nafasi ya Mwenyekiti wanachama wa Simba walimpa kura nyingi Mangungu kuliko yule mgombea aliyekuwa na sapoti ya MO Dewji. Kwa mtazamo wake huyu anayejiita mfadhili ni kuwa Simba wakifungwa basi wanachama watachachamaa wamwondoe Mangungu madarakani, Ushahidi wa kimazingira unaonyesha kuwa Dewji alihusika Simba kufungwa goli 5 na Yanga. Simba aliifunga Yanga kombe la hisani. Akacheza na El Ahly African Football League mechi mbili japo alitolewa lakini aliiheshimisha Simba. Ghafla anakuja MO eti anaunda mkamati ya kumsaidia kuiongoza Simba siku chache kabla kucheza na Yanga. Matokeo tunayajua. Ile kamati haijasikika tena. Na wajumbe wa ile kamati ni mashabiki wa yule mgombea aliyeshindwa na Mangungu kwenye uchaguzi. Tahadhari wapewe viongozi wa Simba kuwa kama ni msaada wote kwa timu autoe ila kamwe wasomruhusu MO na watu wake kwenda kambini kabla ya mechi na Yanga. MO anataka Simba ipate aibu kubwa zaidi ili iwe sababu kumwondoa Mangungu
Nadhani wewe ndio hujui kitu. Baki kama ulivyoHujui kitu,, yule mgombea aliyeshindwa ndo alikua anampinga Mo, Mo hakuhusika na lolote Kwenye Uchaguzi, Siasa za Mangungu za Kumleta Manzoki ziliwaingia wapiga kura wajinga
Asingeweza kuonyesha waziwazi. Baada tu ya Mangungu kutangaazwa mshindi pale pale Kassim Dewji alijiuzulu ujumbe kwenye bodi ya Simba. Hapo connect dotsIla hii ya kusema Mo hamtaki Mangungu hii kwangu kdg ni km siamini vile..katika uchaguzi ule mie nilikua timu Kaluwa , sikuona dalili zq Mo kumtaka Kalua ..ktk vikao vyote vya kampeni
Mangungu ni chairman. Anaiongoza Simba licha ya kuwekewa vikwazo na MO na waala halalamiki. Fikiria ahadi ya MO haitimizi kisa anataka Mangungu aondoke na bado timu inakwenda si vibaya sanaSasa mangungu anafaida gani pale simba
Yule aliyempigia kampeni pamoja na maghabachori wenzakeMo kama hamataki Mangungu anamtaka nani ?
Huenda mo anamuona Mangungu kama kikwazo kwake na ndio maana hatoe izo pesaMangungu ni chairman. Anaiongoza Simba licha ya kuwekewa vikwazo na MO na waala halalamiki. Fikiria ahadi ya MO haitimizi kisa anataka Mangungu aondoke na bado timu inakwenda si vibaya sana
Ulikua unaconect dot kijingaAsingeweza kuonyesha waziwazi. Baada tu ya Mangungu kutangaazwa mshindi pale pale Kassim Dewji alijiuzulu ujumbe kwenye bodi ya Simba. Hapo connect dots
We jamaa ni empty hujui kitu unaropoka kwa hisia usizokua na uhakika nazo, boraa ukae kimya unajiaibishaMangungu ni chairman. Anaiongoza Simba licha ya kuwekewa vikwazo na MO na waala halalamiki. Fikiria ahadi ya MO haitimizi kisa anataka Mangungu aondoke na bado timu inakwenda si vibaya sana
Kaluwa ? Mbn mie najua kaluwa hakua mtu wa Mo ?Yule aliyempigia kampeni pamoja na maghabachori wenzake