Baada ya kumjua kuwa kumbe Adui Mkubwa wa Simba SC ni Mwekezaji Mo Dewji nawaomba Msamaha 'Mangungu' na 'Try Again'

Baada ya kumjua kuwa kumbe Adui Mkubwa wa Simba SC ni Mwekezaji Mo Dewji nawaomba Msamaha 'Mangungu' na 'Try Again'

Asingeweza kuonyesha waziwazi. Baada tu ya Mangungu kutangaazwa mshindi pale pale Kassim Dewji alijiuzulu ujumbe kwenye bodi ya Simba. Hapo connect dots
Wewe ndio unachanganya Kasim Dewj na Mo haziivi, wao ndio walikuwa wanamuwekea Zengwe ili asichukue timu,yeye na kundi lao la Friends of Simba na pia Barbara (mtu wa Mo) alimnyima tenda ya jezi na kumpa Vunjabei. Labda umemchanganya na Azim
 
Mo Dewji Wewe kweli ni wa Kutufanyia haya Sisi wana Simba SC? Yaani una bahati nimekuja kuyanza Maisha mapya huku Kampaa Uganda ila hakyanani ningekuwa huko Dar es Salaam Tanzania ungenitambua. Yaani Mo Dewji Wewe leo ni wa kuipa Simba SC Shilingi 185 za Operations kwa Mwezi badala ya zile Shilingi 870 ulizosema Mkutanoni kuwa huwa unatoa na utaendelea kutoa hadi Mchakato wa Uwekezaji utakapokamilika?

Baadae nakuja na Uzi MAALUM wa kusema Mo Dewji TUACHIE SIMBA SC yetu na naamini nitaungwa sana tu mkono. Na nichukue pia nafasi hii kuwaomba sana Radhi Viongozi akina Murtaza Mangungu na Salim Abdallah Mhene 'try again' kwa Kuwashambulia mara kwa mara hapa JamiiForums nikidhani Wao ndiyo Wabaya ndani ya Klabu.
Nyambafu, Bundesliga we!
 
We angalia tu viongozi wa Simba wanavyocheza na akili za mashabiki, na wapo after money, timu mbovu lakini watafanya propaganda wajaze uwanja,mechi zilizobaki wataenda wachache,ikikaribia tar 20 mechi na Yanga utaona wanavyobembeleza kwamba bila nye sisi hatuwezi,utaona hii mechi na Yanga itakavyokuwa platform ya kujisafisha.
Kwa Yanga hii yenye morali, Simba anaenda kupigwa tena labda wahonge.
 
Acha visingizio kupigwa mtapigwa tu..TULIA MKUU ,UTALIWA TU...MNAMSINGIZIA MUDI ,WAKATI MNAMPIGA KWA TEN PERCENT ZA USAJILI...MNAFIKIRI YEYE ZWAZWA
Utakubalije kupigwa na Bodi uliyoichagua ambayo unajua fika watakuharibia uwekezaji wako lakini pia unapata hasara, hakuna anaewekeza ili apate hasara. Yale maneno yake yakutafuta huruma ili aendelee kupiga vizuri.
Yanga walijifunza kwetu wakaboresha wametupita sivibaya na sisi tukajifunza kwao. Bodi yote ile lakini wanashindwa na mtu mmoja tu pale Yanga.
 
Wewe ndio unachanganya Kasim Dewj na Mo haziivi, wao ndio walikuwa wanamuwekea Zengwe ili asichukue timu,yeye na kundi lao la Friends of Simba na pia Barbara (mtu wa Mo) alimnyima tenda ya jezi na kumpa Vunjabei. Labda umemchanganya na Azim
Uko sahihi na kwenye bodi uchaguzi wa pili wameondolewa ..KD ,Mulamu, Kapusi na wengine
 
Wanaojitambua walisema hili siku nyingi ila mashabiki wengine wa Makolo ni kama kenge, mpaka atoke damu ndiyo anajua kaumia.
 
Mtani wangu kikabila nakusalimia sana, nakuja nakasero wiki ijayo niandalie katogo na pilau hapo
 
Back
Top Bottom