Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Mimba yaweza kua ya yule Dansa huuu huu huuuu huuu
yaani km mbuga zetu alipiga peku baas ishakula kwake
ukute alimtegeshea
chezea pesa!!!
Wadada wa mjini kwenye hayo ni mbwaa!!
Samahani mi Mgeni mjini humu...mbuga zetu ndo muheshimiwa yupi huyo??🙈
heheheheeiiiyaaaa shkamoo heven, kumbe wewe ni m-mbeya kiasi hiki, haya mama tusubiri kuona nguo zikisukumwa kuelekea mbele.
Na anapost picha za wajawazito tu recently
Itakuwa fedheha!!Yani Msije mkasema ni Mimba ya Mbuga zetu!
Maana hii itakuwa Kali zaidi na Mbuga zetu atakuwa amejidhalilisha yeye na familia yake!
nmeshangaa ant kuvaa nguo hyo kwenye birthday.au n movie mpya ndo ana shoot
Ndo kusema ashanyalanduliwa au?
Yani Msije mkasema ni Mimba ya Mbuga zetu!
Maana hii itakuwa Kali zaidi na Mbuga zetu atakuwa amejidhalilisha yeye na familia yake!
Lazaro........!Samahani mi Mgeni mjini humu...mbuga zetu ndo muheshimiwa yupi huyo??🙈
Itakuwa fedheha!!
Haaa na utafiti mpya unaonesha wambea huishi miaka mingi ngoja niendelee kupiga umbea tu.. wana saikolijia wanashauri watu.kushiriki umbea
wasanii hawapendi condom!
Anty hawezi kujilengesha kwa huyo choka mbaya dansa wa diamond,Aunty siyo mjinga lazima na yeye anaangalia future ya mwanae.Kama kweli ana mimba basi lazima itakuwa ya kigogo mwenye mawe.
Haaa na utafiti mpya unaonesha wambea huishi miaka mingi ngoja niendelee kupiga umbea tu.. wana saikolijia wanashauri watu.kushiriki umbea
baas kaka mbugani
sasa km alikua anawinda kiharamu baas washamkamata
mi simooo!!!!
pole farijala mkotakota
Anty hawezi kujilengesha kwa huyo choka mbaya dansa wa diamond,Aunty siyo mjinga lazima na yeye anaangalia future ya mwanae.Kama kweli ana mimba basi lazima itakuwa ya kigogo mwenye mawe.