Baada ya Kumkimbia Mumewe, Aunt Ezekiel Adungwa Mimba na Mume wa Mtu

Baada ya Kumkimbia Mumewe, Aunt Ezekiel Adungwa Mimba na Mume wa Mtu

heheheheeiiiyaaaa shkamoo heven, kumbe wewe ni m-mbeya kiasi hiki, haya mama tusubiri kuona nguo zikisukumwa kuelekea mbele.

Haaa na utafiti mpya unaonesha wambea huishi miaka mingi ngoja niendelee kupiga umbea tu.. wana saikolijia wanashauri watu.kushiriki umbea
 
Attachments

  • 1414520366788.jpg
    1414520366788.jpg
    58.4 KB · Views: 6,383
nmeshangaa ant kuvaa nguo hyo kwenye birthday.au n movie mpya ndo ana shoot
 
nmeshangaa ant kuvaa nguo hyo kwenye birthday.au n movie mpya ndo ana shoot

Hakuna cha ku shoot wala cha location... ilikua birthday yake jana... ingekua sio mama kijacho lazima angetupia kitu matata sana
 
Yani Msije mkasema ni Mimba ya Mbuga zetu!

Maana hii itakuwa Kali zaidi na Mbuga zetu atakuwa amejidhalilisha yeye na familia yake!

Hahahaaaa..... nlikua cjui mbuga zetu ni nan
jf bwana du!
 
Anty hawezi kujilengesha kwa huyo choka mbaya dansa wa diamond,Aunty siyo mjinga lazima na yeye anaangalia future ya mwanae.Kama kweli ana mimba basi lazima itakuwa ya kigogo mwenye mawe.
 
Anty hawezi kujilengesha kwa huyo choka mbaya dansa wa diamond,Aunty siyo mjinga lazima na yeye anaangalia future ya mwanae.Kama kweli ana mimba basi lazima itakuwa ya kigogo mwenye mawe.

Ndio maana natamani nijue mwenye mimba ni nani lakini hata Mimi nakataa kuwa Aunt ana weza kujirengesha kwa dancer! Lazima kuna muhusika lakini si dancer!
 
baas kaka mbugani
sasa km alikua anawinda kiharamu baas washamkamata
mi simooo!!!!
pole farijala mkotakota

Hahahaha unajua kama alijaribu kuendesha nae gari lazima alimtegeshea!
 
Anty hawezi kujilengesha kwa huyo choka mbaya dansa wa diamond,Aunty siyo mjinga lazima na yeye anaangalia future ya mwanae.Kama kweli ana mimba basi lazima itakuwa ya kigogo mwenye mawe.

Huyo kizazi chake sugu lazma uwe unakula dona n ngulu ndio mimba ishike istoshe mpka amebeba hiyo mimba cjui huyo jamaa katumia bluetooth au viber mana ni sugu huyo
 
Back
Top Bottom