Baada ya Kumkimbia Mumewe, Aunt Ezekiel Adungwa Mimba na Mume wa Mtu

Msukuma kwa goti hiyo ni kawaida mie naomba uweke kichwa chini miguu juu kwa dakika kumi nitakuja hapo kwako kuhakikisha kama umefanya hivyo na tena uwe unalia nakulia maana msamaha bila chozi hauendi kabisaaaa.....lol.Usijali heaven ninayemfahamu atakuwa ameishakusamehe kitambo akikataa kukusamehe uniambie nikamfungulie kesi maana ninamdai keki yangu mpaka leo hajanipa
 
Huyo mme wa mtu ni nani?majungu ya nini hapa jamvini?
 
Aunt Ezekiel hatariiiii iyobo amefanya mambo ..hongera Sana moses iyobo sasa mtulie mlee mimba
 
Tuwekee picha hahaha
 
Shikamoo Warumi..
 
Sina la kuongezeaaa nilimchokoza kwelii, nilimuacha apunguze hasira kwanza
Cc Heaven on Earth
 
Last edited by a moderator:
Umeanza nawe kunichokoza picha ipi sasa unataka we mrembo

Sasa ivi umbea utanoga, nitaanza kurudi rasmi warumi, hii inaitwa WAMBEA RE UNITED unategemea nini apo kama sio balaaa?? Sijui tuzindue ijumaa kuanzia usiku hadi hasubuhi full UMBEA
 
Last edited by a moderator:
Sasa ivi umbea utanoga, nitaanza kurudi rasmi warumi, hii inaitwa WAMBEA RE UNITED unategemea nini apo kama sio balaaa?? Sijui tuzindue ijumaa kuanzia usiku hadi hasubuhi full UMBEA

Hhhhhaaaaaaaa uwiiiiiiiii😀😀😀😀😀😀:thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup::thumbup:
 
Last edited by a moderator:

Yameshaisha Dinazarde nimekusamehe kiroho safi... yaliyopita yamepita tugange yajayo..

Msamaha umepitwishwa na muhuri juu LOL, nimejisikia vyema na amani sana kwa hii post yako i wish ujue...
 
Last edited by a moderator:
Sasa ivi umbea utanoga, nitaanza kurudi rasmi warumi, hii inaitwa WAMBEA RE UNITED unategemea nini apo kama sio balaaa?? Sijui tuzindue ijumaa kuanzia usiku hadi hasubuhi full UMBEA

Hahaaaaaa WAMBEA RE UNITED nimeipenda hiyo....
Ijumaa uwe uzinduzi maana mwanzo ilikua mpanganyiko no kueleweka humu ndani
 
Last edited by a moderator:

Hiyo keki husahau tu lol...

Tushasameheana maisha yanarudi kama zamani my dear..
 
Yameshaisha Dinazarde nimekusamehe kiroho safi... yaliyopita yamepita tugange yajayo..

Msamaha umepitwishwa na muhuri juu LOL, nimejisikia vyema na amani sana kwa hii post yako i wish ujue...

Nashukuru na nimefurahi pia,hilo pepo limeshindwa ,nimejifunza kutokana na makosa, sasa hivi mi ni mpyaa,ahsante sana Heaven
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaaa WAMBEA RE UNITED nimeipenda hiyo....
Ijumaa uwe uzinduzi maana mwanzo ilikua mpanganyiko no kueleweka humu ndani

Hhhhaaaa umenikumbusha kitu yaan mfano kuna ka umbea umekatoa kwa mafumbo nashindwa nikuulizejee hhhhhaaaa
 
Hasira zimeisha.. nilikua busy tu leo usije kudhani nilikupotezea.. NIMEKUSAMEHE NA MAISHA YAZIDI KUENDELEA tufurahie umbea wa celebrities forun

Nilijua utakua busy na huu umeme wa mgao, nashukuru kusameheana ni jambo zuri na sasa umbea ni wa celebrities forum mengine tupa kule, nayatupa kule,Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…