Baada ya Kumkimbia Mumewe, Aunt Ezekiel Adungwa Mimba na Mume wa Mtu

Baada ya Kumkimbia Mumewe, Aunt Ezekiel Adungwa Mimba na Mume wa Mtu

Ama kweli kuolewa kunazidi kuwa kama fashion. Mnamo mwaka 2012 Aunt Ezekiel aliolewa
kwa mbwembwe zote na kijana Sunday Del Monte na baadae kwenda kuishia nae huko Dubai.
Sunday wakati huo pesa ilikua si tatizo kwake na hata kukubali kuolewa na kijana yule ilikua ni
kufata pesa zake.

japo baadae aliwekwa kizuizini kutokana na kuishi huko Dubai Kinyume na sheria na hadi sasa
nasikia bado yuko nyuma ya Nondo akisubiria mwisho wa hatma yake. Baada ya sakata hilo aunt
Ezekiel aliamua Kuamua kurudi Bongo na kuendelea kula bata kama kawa kama dawa

Hivi sasa Mwigizaji huyo mashuhuri kapachikwa Mimba na inaedaiwa kuwa mimba hiyo ni ya mume
wa mume wa mtu. Habari za mimba hiyo alikua hataki zijulikane na alikua akijificha ficha sema ndio
wambea tukazinyaka.......Alikua anasema anatamani kupata mtoto sasa aliyokua anatamani yametimia.

Happy birthday Mama Kijacho, Picha hiyo jana kwenye birthday nadhani unaona mwenyewe
attachment.php


heheheheeiiiyaaaa shkamoo heven, kumbe wewe ni m-mbeya kiasi hiki, haya mama tusubiri kuona nguo zikisukumwa kuelekea mbele.
 
Yani Msije mkasema ni Mimba ya Mbuga zetu!

Maana hii itakuwa Kali zaidi na Mbuga zetu atakuwa amejidhalilisha yeye na familia yake!

Yaani umeniua mbavuu...mbuga zetu. Mbavu zanguuu
 
Ahahahaaaa.... Mbuga zetu....!!!! JF rahaaaa.... Ila jina limempendeza na alivo serious mwenyewe sasa..... Sijui huwa anachekaga yule Muheshimiwa
 
Huyu dada si ndo yule anayefanya kazi za wizara ya maliasili na utalii akishirikia na nyalandu hasa kwenye safari za nje ya nchi?
 
Mimba yaweza kua ya yule Dansa huuu huu huuuu huuu
 
Huyo mme wa mtu alikuwa anauza mechi kabisa yani yani daa kweli ugonjwa wa kifua umekaa pabaya.
 
Huyo mme wa mtu alikuwa anauza mechi kabisa yani yani daa kweli ugonjwa wa kifua umekaa pabaya.

Wanaume tuna kazi yani gumegume unapiga peku n kuzama chumvini ndio mana vijana wengi midomo imepauka n mustach hawana chumvi imewaunguza
 
Hapana, mbuga zetu mengine anavumishiwa. Ana mtoto mashalah miss Tanzania, mtoto wa brigedia, atahangaika kweli na hilo nungaembe gumegume linaloanika uchi wake kwenye mitandao kila kuchao! !!
Hapana,nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba mbuga zetu pamoja na majanga yake anaweza kuwa ndo baba kijacho! !!!

Hata Mimi napenda kusikia kabisa Mbuga zetu hausiki kabisa lakini nashindwa kuelewa Mbuga zetu alitumia Vigezo gani kumteua Shangazi kutangaza chiriku wetu? Don forget kuwa Mbuga zetu nae ni binadamu na linapokuja swala la usaliti haliangalii aina ya mke uliye nae!
 
Siku utakapomuoma mtoto ndio utaamini.. hivi aunt unadhani ni wa kuvaa gauni la vile.... angevaa ka kitu kamembana kame shape umbo lote.. ila mimba..

Nenda kwenye page yake insta hapost picha yoyote full zote zinaishia kwenye manyonyo..
alikua hataki ijulikane sema ndio birthday na yenyewe aliitaka ya mbwembwe ndio ukaona hivyo. Halafu huoni tu mabadiliko aunt wa zaman na huyo mwenye mimba

Btw siku ukisha confirm usiache kuniambia.

uuwii uwiii uwiiii heven wee endelea kuuchonga huo mdomo, mimi nimejitolea kukuletea chakula kule nanihii...... kuleee.....
 
Hata Mimi napenda kusikia kabisa Mbuga zetu hausiki kabisa lakini nashindwa kuelewa Mbuga zetu alitumia Vigezo gani kumteua Shangazi kutangaza chiriku wetu? Don forget kuwa Mbuga zetu nae ni binadamu na linapokuja swala la usaliti haliangalii aina ya mke uliye nae!

yaani km mbuga zetu alipiga peku baas ishakula kwake
ukute alimtegeshea
chezea pesa!!!
wadada wa mjini kwenye hayo ni mbwaa!!
 
Back
Top Bottom