tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Ndio maana natamani nijue mwenye mimba ni nani lakini hata Mimi nakataa kuwa Aunt ana weza kujirengesha kwa dancer! Lazima kuna muhusika lakini si dancer!
Mzee w mbuga sio mjinga azae n huyo gumegume atajimaliza kisiasa,huyo n yule dancer w domo mana mpka walipigana kumgombea huyo mkata viuno