Baada ya kumpata Membe ACT-Wazalendo isimame kivyake CHADEMA hawaaminiki, Julius Mtatiro ni ushahidi tosha

Baada ya kumpata Membe ACT-Wazalendo isimame kivyake CHADEMA hawaaminiki, Julius Mtatiro ni ushahidi tosha

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Ni angalizo tu kwa ACT Wazalendo kwamba ni heri wasimame peke yao kuliko kutengeneza UKAWA ndogo na CHADEMA na hasa baada ya kumsajili Membe

Julius Mtatiro mwaka 2015 alikoseshwa ubunge na CHADEMA kwa makusudi kabisa na hili maalim Seif analielewa vizuri.
ACT wazalendo simameni kwa miguu yenu hawa CHADEMA ni vigeugeu sana.

Maendeleo hayana vyama
 
Mwanzo wa kushindwa ndio huu. Wasipoungana imekula kwao wote. Bora wawekeane makubaliano yenye tija kwa pande zote. Wakumbuke tamaa mbele mauti nyuma.
 
MATAGA mna wanawakati mgumu sana, tukiwambia CCM haiuziki ona, mnaomba kuwe nawagombea wengi wa upinzani ili iwe salama ya Magufuli.
CCM imekataliwa Zanzibar na Tanganyika.

#LISSURAIS2020
 
Chadema na ACT waungane kwenda wapi? waungane kuifufua UKAWA ambayo hatma yake mpaka leo haijulikani.
 
Ni angalizo tu kwa ACT Wazalendo kwamba ni heri wasimame peke yao kuliko kutengeneza UKAWA ndogo na Chadema na hasa baada ya kumsajili Membe.

Julius Mtatiro mwaka 2015 alikoseshwa ubunge na Chadema kwa makusudi kabisa na hili maalim Seif analielewa vizuri.
ACT wazalendo simameni kwa miguu yenu hawa Chadema ni vigeugeu sana.

Maendeleo hayana vyama!
Siasa sio uadui.
 

Attachments

  • MREMATISHA.jpg
    MREMATISHA.jpg
    25.3 KB · Views: 12
Chadema wamsimamishe lissu bara, act wamsimamishe maaalim Zanzibar.member wampe umeneja kampeni
 
Kabisa Mkuu 👊🏽👊🏽👊🏽👊🏽

Mi-CCM imejipa kazi za kushauri upinzani. Si CHADEMA wala ACT hawahitaji ushauri wa kina jiwe kwa lolote la maana.
 
Ni angalizo tu kwa ACT Wazalendo kwamba ni heri wasimame peke yao kuliko kutengeneza UKAWA ndogo na CHADEMA na hasa baada ya kumsajili Membe

Julius Mtatiro mwaka 2015 alikoseshwa ubunge na CHADEMA kwa makusudi kabisa na hili maalim Seif analielewa vizuri.
ACT wazalendo simameni kwa miguu yenu hawa CHADEMA ni vigeugeu sana.

Maendeleo hayana vyama
Waungane, hakuna yeyote atae ng'oa CCM bila kishirikiana na mwingine. CDM waweke mgombea uraisi bara, ACT waweke mgombea uraisi visiwani.
 
Ni angalizo tu kwa ACT Wazalendo kwamba ni heri wasimame peke yao kuliko kutengeneza UKAWA ndogo na CHADEMA na hasa baada ya kumsajili Membe

Julius Mtatiro mwaka 2015 alikoseshwa ubunge na CHADEMA kwa makusudi kabisa na hili maalim Seif analielewa vizuri.
ACT wazalendo simameni kwa miguu yenu hawa CHADEMA ni vigeugeu sana.

Maendeleo hayana vyama

Ww itakuwa ni CCM unatoa ushauri wa kitoto na Kijinga sana na nia yako unataka CCM ishinde asubuhi kweupeee kwani ww ya Chadema na ICT yanakuhusu nn? Ya 2015 yanakuhusu nn ya ngoswe yabaki kwa ngoswe hii ni 2020 ni mambo mpya lazima sisi wazalendo tuwatake hawa wapinzani waungane ili CCM iweze kufanya kazi bila upinzani immara hakuna maendeleo
 
Back
Top Bottom