Baada ya kumpata Membe ACT-Wazalendo isimame kivyake CHADEMA hawaaminiki, Julius Mtatiro ni ushahidi tosha

Waungane, hakuna yeyote atae ng'oa CCM bila kishirikiana na mwingine. CDM waweke mgombea uraisi bara, ACT waweke mgombea uraisi visiwani.
Unadhan zito atakubal aendelee kuwa mpole amuachie disko joka na wapambe wake watambe?
 
Ni angalizo tu kwa ACT Wazalendo kwamba ni heri wasimame peke yao kuliko kutengeneza UKAWA ndogo na CHADEMA na hasa baada ya kumsajili Membe

Julius Mtatiro mwaka 2015 alikoseshwa ubunge na CHADEMA kwa makusudi kabisa na hili maalim Seif analielewa vizuri.
ACT wazalendo simameni kwa miguu yenu hawa CHADEMA ni vigeugeu sana.

Maendeleo hayana vyama
We ccm unajaribu kutugawa, ili ccm ipenye
Tumekutambua,
Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu
 
We muimba mapambio wa Lumumba tangu lini umeanza kua mshauri wa ACT?
 
Mwanzo wa kushindwa ndio huu. Wasipoungana imekula kwao wote. Bora wawekeane makubaliano yenye tija kwa pande zote. Eakumbuke tamaa mbele mauti nyuma.
Wasopoungana CHADEMA ndiyo wenyefaida kwani Mh. Membe wanaomuunga mkono ni CCM, hivyo kura za CCM zitaenda ACT na hivyo kupunguza "gap" kati ya CHADEMA na CCM
 
Natamani ingekuwa hivyo.
 
Ni angalizo tu kwa ACT Wazalendo kwamba ni heri wasimame peke yao kuliko kutengeneza UKAWA ndogo na CHADEMA na hasa baada ya kumsajili Membe

Julius Mtatiro mwaka 2015 alikoseshwa ubunge na CHADEMA kwa makusudi kabisa na hili maalim Seif analielewa vizuri.
ACT wazalendo simameni kwa miguu yenu hawa CHADEMA ni vigeugeu sana.

Maendeleo hayana vyama
Mtego huu hatutauingia kamwe. Njia sahihi na ya Uhakika kulinda Demokrasia ni vyama kushirikiana
 
Muungano uwe wenye kuheshimiana otherwise kila chama kisimame kivyake. CCM itaondoka tu madarakani haiwezi kutawala milele nchi hii.
 
Chadema na ACT waungane kwenda wapi? waungane kuifufua UKAWA ambayo hatma yake mpaka leo haijulikani.
Kwa hiyo tatizo lako ni lipi? Hayo si ndio wayataka? Au ndio uchawi wakutesa?
 
Ni angalizo tu kwa ACT Wazalendo kwamba ni heri wasimame peke yao kuliko kutengeneza UKAWA ndogo na CHADEMA na hasa baada ya kumsajili Membe

Julius Mtatiro mwaka 2015 alikoseshwa ubunge na CHADEMA kwa makusudi kabisa na hili maalim Seif analielewa vizuri.
ACT wazalendo simameni kwa miguu yenu hawa CHADEMA ni vigeugeu sana.

Maendeleo hayana vyama
Hiki chama kitakupa homa za vipindi
 
Mtego huu hatutauingia kamwe. Njia sahihi na ya Uhakika kulinda Demokrasia ni vyama kushirikiana
Hahaha Kwenye Chess inaitwa check mate, Wapinzani mna option mbili zisizo na faida ila ni hasara.

Ikitokea Mkaungana basi ACT ibidi mkubali majimbo machache ambayo hamuwezi kushinda, matokeo yake ACT itatoka kwenye Hiyo coalition kama chama kisicho na nguvu

Na Msipoungana CCM itashinda asilimia 98+ kwa sababu mtagawana kura zenu ndogo.

Faida ya kutokuungana kila mmoja akasimama kivyake; CHADEMA watajeruhiwa sana na labda wakashindwa kusimama tena, ila ACT haitakuwa na Chakupoteza na pengine itakuwa Imeimarika karibia sawa na CHADEMA.

Ila kivyovyote vile huu uchaguzi ni Rais sana kwa CCM
 
Ni angalizo tu kwa ACT Wazalendo kwamba ni heri wasimame peke yao kuliko kutengeneza UKAWA ndogo na CHADEMA na hasa baada ya kumsajili Membe

Julius Mtatiro mwaka 2015 alikoseshwa ubunge na CHADEMA kwa makusudi kabisa na hili maalim Seif analielewa vizuri.
ACT wazalendo simameni kwa miguu yenu hawa CHADEMA ni vigeugeu sana.

Maendeleo hayana vyama
Mtu akiumwa na nyoka, akiona kamba anadhani ni nyoka-once bitten, twice shy.
 
Back
Top Bottom