johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Siasa siyo uadui bwashee!Unafatilia mambo ya upimzani
Ova
Hahahaaaa....... Bwashee nasherehekea ushindi wa Wekundu wa Msimbazi!Bwashee mbna unaweweseka
Mara unganeni, mara hv mara vile...uzr sisi chadema tuko gado..tumejiandaa kivyovyote
Siasa sio uadui.Ni angalizo tu kwa ACT Wazalendo kwamba ni heri wasimame peke yao kuliko kutengeneza UKAWA ndogo na Chadema na hasa baada ya kumsajili Membe.
Julius Mtatiro mwaka 2015 alikoseshwa ubunge na Chadema kwa makusudi kabisa na hili maalim Seif analielewa vizuri.
ACT wazalendo simameni kwa miguu yenu hawa Chadema ni vigeugeu sana.
Maendeleo hayana vyama!
Haka kajamaa kanahangaika sana kila siku kumwaga SUMU zake.
Mi-CCM imejipa kazi za kushauri upinzani. Si CHADEMA wala ACT hawahitaji ushauri wa kina jiwe kwa lolote la maana.
Hahahaaaa....... Bwashee nasherehekea ushindi wa Wekundu wa Msimbazi!
Waungane, hakuna yeyote atae ng'oa CCM bila kishirikiana na mwingine. CDM waweke mgombea uraisi bara, ACT waweke mgombea uraisi visiwani.Ni angalizo tu kwa ACT Wazalendo kwamba ni heri wasimame peke yao kuliko kutengeneza UKAWA ndogo na CHADEMA na hasa baada ya kumsajili Membe
Julius Mtatiro mwaka 2015 alikoseshwa ubunge na CHADEMA kwa makusudi kabisa na hili maalim Seif analielewa vizuri.
ACT wazalendo simameni kwa miguu yenu hawa CHADEMA ni vigeugeu sana.
Maendeleo hayana vyama
Ni angalizo tu kwa ACT Wazalendo kwamba ni heri wasimame peke yao kuliko kutengeneza UKAWA ndogo na CHADEMA na hasa baada ya kumsajili Membe
Julius Mtatiro mwaka 2015 alikoseshwa ubunge na CHADEMA kwa makusudi kabisa na hili maalim Seif analielewa vizuri.
ACT wazalendo simameni kwa miguu yenu hawa CHADEMA ni vigeugeu sana.
Maendeleo hayana vyama