Muuza viatu
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 3,839
- 7,924
Unadhan zito atakubal aendelee kuwa mpole amuachie disko joka na wapambe wake watambe?Waungane, hakuna yeyote atae ng'oa CCM bila kishirikiana na mwingine. CDM waweke mgombea uraisi bara, ACT waweke mgombea uraisi visiwani.
We ccm unajaribu kutugawa, ili ccm ipenyeNi angalizo tu kwa ACT Wazalendo kwamba ni heri wasimame peke yao kuliko kutengeneza UKAWA ndogo na CHADEMA na hasa baada ya kumsajili Membe
Julius Mtatiro mwaka 2015 alikoseshwa ubunge na CHADEMA kwa makusudi kabisa na hili maalim Seif analielewa vizuri.
ACT wazalendo simameni kwa miguu yenu hawa CHADEMA ni vigeugeu sana.
Maendeleo hayana vyama
Bwashee siasa siyo uadui!We muimba mapambio wa Lumumba tangu lini umeanza kua mshauri wa ACT?
Wasopoungana CHADEMA ndiyo wenyefaida kwani Mh. Membe wanaomuunga mkono ni CCM, hivyo kura za CCM zitaenda ACT na hivyo kupunguza "gap" kati ya CHADEMA na CCMMwanzo wa kushindwa ndio huu. Wasipoungana imekula kwao wote. Bora wawekeane makubaliano yenye tija kwa pande zote. Eakumbuke tamaa mbele mauti nyuma.
Wasopoungana CHADEMA ndiyo wenyefaida kwani Mh. Membe wanaomuunga mkono ni CCM, hivyo kura za CCM zitaenda ACT na hivyo kupunguza "gap" kati ya CHADEMA na CCM
Mtego huu hatutauingia kamwe. Njia sahihi na ya Uhakika kulinda Demokrasia ni vyama kushirikianaNi angalizo tu kwa ACT Wazalendo kwamba ni heri wasimame peke yao kuliko kutengeneza UKAWA ndogo na CHADEMA na hasa baada ya kumsajili Membe
Julius Mtatiro mwaka 2015 alikoseshwa ubunge na CHADEMA kwa makusudi kabisa na hili maalim Seif analielewa vizuri.
ACT wazalendo simameni kwa miguu yenu hawa CHADEMA ni vigeugeu sana.
Maendeleo hayana vyama
Mtego huu hatutauingia kamwe. Njia sahihi na ya Uhakika kulinda Demokrasia ni vyama kushirikiana
Kwa hiyo tatizo lako ni lipi? Hayo si ndio wayataka? Au ndio uchawi wakutesa?Chadema na ACT waungane kwenda wapi? waungane kuifufua UKAWA ambayo hatma yake mpaka leo haijulikani.
Hiki chama kitakupa homa za vipindiNi angalizo tu kwa ACT Wazalendo kwamba ni heri wasimame peke yao kuliko kutengeneza UKAWA ndogo na CHADEMA na hasa baada ya kumsajili Membe
Julius Mtatiro mwaka 2015 alikoseshwa ubunge na CHADEMA kwa makusudi kabisa na hili maalim Seif analielewa vizuri.
ACT wazalendo simameni kwa miguu yenu hawa CHADEMA ni vigeugeu sana.
Maendeleo hayana vyama
ACT wazalendo au Chadema?Hiki chama kitakupa homa za vipindi
Hahaha Kwenye Chess inaitwa check mate, Wapinzani mna option mbili zisizo na faida ila ni hasara.Mtego huu hatutauingia kamwe. Njia sahihi na ya Uhakika kulinda Demokrasia ni vyama kushirikiana
Bad politicsMara unganeni, mara hv mara vile...uzr sisi chadema tuko gado..tumejiandaa kivyovyote
Mtu akiumwa na nyoka, akiona kamba anadhani ni nyoka-once bitten, twice shy.Ni angalizo tu kwa ACT Wazalendo kwamba ni heri wasimame peke yao kuliko kutengeneza UKAWA ndogo na CHADEMA na hasa baada ya kumsajili Membe
Julius Mtatiro mwaka 2015 alikoseshwa ubunge na CHADEMA kwa makusudi kabisa na hili maalim Seif analielewa vizuri.
ACT wazalendo simameni kwa miguu yenu hawa CHADEMA ni vigeugeu sana.
Maendeleo hayana vyama
mnasukuma gari iliyowekwa juu ya maweKwa hiyo tatizo lako ni lipi? Hayo si ndio wayataka? Au ndio uchawi wakutesa?
Bado ni furaha yako.mnasukuma gari iliyowekwa juu ya mawe