Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #21
Heche sio mwepesi ivyo unakumbuka alichomjibu Magufuli huyo kama yuko na Mwenyekiti Lissu hakuna kitu wataweza Lissu habari nyingine siku ya mahakama atajibu hili na Lema ataenda kufa kisiasa huo unaweza kua ulikua mtego kwa chadema kujua wasaliti Lissu utaona atakachokisema
Lissu atawajibu nina uhakika mahakamani Lissu anaenda kuliweka vizuri hili Jambo na uhakika yuko na Heche 100% na amekua anarudia mara nyingi na watu wanamsikiliza Lissu utaskia Heche peleka moto akili za Lissu unazijua
Hivyo vyama vyote viwili vinabidi kufutwa vina watu mafia sana
LISSU AMEFANYA KAZI MIEZI 3 AMETUONESHA MADALALI WA VYAMA TANZANIA AKIWEMO MBOWE,ZITTO NA VYAMA 17
Kwenye Chess kuna kitu huwa kinanifanya nicheke sana. Mchezaji akishamchukua Queen wa mwenzake, anaona kabisa mchezo umeisha. Kumbe ndio kwanza shida inaanza.
Anaangalia huku Knight anamrukia, kule Bishop anafunguka,, huku Rook amekaa kwenye njia ya wazi. Ghafla anagundua tatizo halikuwa Queen peke yake. Tatizo lilikuwa mfumo mzima wa mchezo wa upande wa pili yaani upande pinzani.
Ndio maana nikisoma hii hoja najiuliza, kama kweli Lissu alishamalizwa na mchezo ukaisha, kwanini kuwe na nia ya kumfuata Heche? Na baada ya Heche atafuatwa nani? Na baada yake nani?
Kwenye vita kuna jambo huwa linaonekana wazi sana. Ukiwa umelishinda jeshi la adui , huendi tena kuwatafuta maafisa mmoja mmoja. Hiyo mara nyingi huwa ishara kwamba bado kuna kitu hakijaisha.
Kwenye intelijensia nako ni hivyo hivyo. Ukimaliza target kuu halafu kila baada ya muda unaibuka na target nyingine kutoka kundi lile lile, mara nyingi hiyo si ishara ya ushindi, ni ishara kwamba mtandao bado upo hai.
Swala hapa si kumfuata namba mbili au namba tatu. Swali ni hili, kama mchezo ulimalizika baada ya namba moja kuondolewa, kwa nini waendelee kupambana kuwashughulikia namba mbili, namba tatu na namba nne?
Kwenye Chess, dalili kubwa kwamba hujashinda bado, ni pale kila wskati unapolazimika kutafuta kete mpya ya kupambana nayo. Unapodhani umemsafisha mpinzani wako, lakini kila ukigeuka kuna kete nyingine imejitokeza. Hapo ujue dhahiri kwamba the game is stil on.
Lakini pia kuna kitu kingine. Siasa za kistaarabu kwenye nchi kama Tanzania si vita ya kuwatoa wapinzani wako uhai na kuwadharirisha. Hawa nao ni wananchi wa nchi hiyo hiyo. Leo upande mmoja una nguvu, kesho mwingine unaweza kuwa na nguvu. Leo mmoja anaumia, kesho maumivu hayo yanaweza kumrudia mwingine.
Kwa hiyo kama kuna uwezo wa kutumia nguvu ya dola, busara ni kuitumia kulinda taifa na wananchi, si kuitumia kumuumiza yule ambaye hana dola wala mamlaka ya kujilinda. Kkwa upande wa wananchi, tusifurahie sana kuona upande mmoja unaumia kwa sababu tu leo hauko upande wetu. Mwisho wa siku, anayeshinda na anayeshindwa wote ni watu wetu.
Katika muktadha huu, Chess nzuri si ile ambayo lazima umuue mpinzani wako. Chess nzuri ni ile ambayo unajua namna ya kucheza mchezo mpaka mwisho bila kuuchoma ubao wote. Mshindi wa kweli si yule anayemuangamiza mwenzake, bali ni yule anayesaidia kuhakikisha baada ya mchezo kuisha, bado taifa lipo, wananchi wapo na wote wanaweza kuendelea kuishi pamoja.
Tulia wewe nyani. Hifadhi vizuri hizo alizeti zako el nino inakuja.ati unasemaje TaikonMaster?
Kuwa threat kwa serikali sio lazima uwe na dola, uwezo wa ku organise watu wakafanya unalowaambia ndio threat kubwa kwa serikali.Heche sio Threat hilo ni sawa.
Kuna kitu unashindwa kukielewa.
Siasa ni kama Drafti.
Heche kwa CCM ni muhimu sana kwaajili ya maridhiano yanayohitajika.
Kama Heche akikubali kazi inakuwa rahisi. Lisu kashakataa hawana shida naye. Wameshamfungia ndani huko atajuana na kesi zake.
Sasa huku nje nani wa muhimu zaidi ya Heche na Mnyika?
Sio swala la tishio.
Suala ni kete ipi ni muhimu tuitumie kufanikisha jambo agenda fulani? Hiyo ndio siasa.
Huwezi ukawa threat kwa serikali alafu huna dola.
Hao kina Polepole sijui Gwajima na wengine hawawezi kuwa threat
πTulia wewe nyani. Hifadhi vizuri hizo alizeti zako el nino inakuja.
Kuwa threat kwa serikali sio lazima uwe na dola, uwezo wa ku organise watu wakafanya unalowaambia ndio threat kubwa kwa serikali.
Lissu yupo gerezani ni threat kwa serikali akiwa hana dola, ni kwasababu wanaijua nguvu yake kuuamsha umma kudai haki zao.
Au kama ambavyo CCM ina dola, lakini wanaiogopa CDM isiyo na dola, ni kwasababu CDM ina nguvu ya ushawishi kwa jamii.
Kila anayetekwa na kupotezwa ni threat kwa serikali kwa nafasi yake, kama wasingekuwa threat serikali isingehangaika nao kwasababu hawana madhara kwao.
Mchezo wa chess huwa nauona kwenye movies tu. Mmenipa sababu za kuufuatilia πKwenye Chess kuna kitu huwa kinanifanya nicheke sana. Mchezaji akishamchukua Queen wa mwenzake, anaona kabisa mchezo umeisha. Kumbe ndio kwanza shida inaanza.
Anaangalia huku Knight anamrukia, kule Bishop anafunguka,, huku Rook amekaa kwenye njia ya wazi. Ghafla anagundua tatizo halikuwa Queen peke yake. Tatizo lilikuwa mfumo mzima wa mchezo wa upande wa pili yaani upande pinzani.
Ndio maana nikisoma hii hoja najiuliza, kama kweli Lissu alishamalizwa na mchezo ukaisha, kwanini kuwe na nia ya kumfuata Heche? Na baada ya Heche atafuatwa nani? Na baada yake nani?
Kwenye vita kuna jambo huwa linaonekana wazi sana. Ukiwa umelishinda jeshi la adui , huendi tena kuwatafuta maafisa mmoja mmoja. Hiyo mara nyingi huwa ishara kwamba bado kuna kitu hakijaisha.
Kwenye intelijensia nako ni hivyo hivyo. Ukimaliza target kuu halafu kila baada ya muda unaibuka na target nyingine kutoka kundi lile lile, mara nyingi hiyo si ishara ya ushindi, ni ishara kwamba mtandao bado upo hai.
Swala hapa si kumfuata namba mbili au namba tatu. Swali ni hili, kama mchezo ulimalizika baada ya namba moja kuondolewa, kwa nini waendelee kupambana kuwashughulikia namba mbili, namba tatu na namba nne?
Kwenye Chess, dalili kubwa kwamba hujashinda bado, ni pale kila wskati unapolazimika kutafuta kete mpya ya kupambana nayo. Unapodhani umemsafisha mpinzani wako, lakini kila ukigeuka kuna kete nyingine imejitokeza. Hapo ujue dhahiri kwamba the game is stil on.
Lakini pia kuna kitu kingine. Siasa za kistaarabu kwenye nchi kama Tanzania si vita ya kuwatoa wapinzani wako uhai na kuwadharirisha. Hawa nao ni wananchi wa nchi hiyo hiyo. Leo upande mmoja una nguvu, kesho mwingine unaweza kuwa na nguvu. Leo mmoja anaumia, kesho maumivu hayo yanaweza kumrudia mwingine.
Kwa hiyo kama kuna uwezo wa kutumia nguvu ya dola, busara ni kuitumia kulinda taifa na wananchi, si kuitumia kumuumiza yule ambaye hana dola wala mamlaka ya kujilinda. Kkwa upande wa wananchi, tusifurahie sana kuona upande mmoja unaumia kwa sababu tu leo hauko upande wetu. Mwisho wa siku, anayeshinda na anayeshindwa wote ni watu wetu.
Katika muktadha huu, Chess nzuri si ile ambayo lazima umuue mpinzani wako. Chess nzuri ni ile ambayo unajua namna ya kucheza mchezo mpaka mwisho bila kuuchoma ubao wote. Mshindi wa kweli si yule anayemuangamiza mwenzake, bali ni yule anayesaidia kuhakikisha baada ya mchezo kuisha, bado taifa lipo, wananchi wapo na wote wanaweza kuendelea kuishi pamoja.
Mchezo wa chess huwa nauona kwenye movies tu. Mmenipa sababu za kuufuatilia π
Kwanini ccm wanalazimisha chadema iwe kwenye maridhiano? Vyama vyao vipo jee hawaviamini ili kukamilisha lengo lao?Heche sio Threat hilo ni sawa.
Kuna kitu unashindwa kukielewa.
Siasa ni kama Drafti.
Heche kwa CCM ni muhimu sana kwaajili ya maridhiano yanayohitajika.
Kama Heche akikubali kazi inakuwa rahisi. Lisu kashakataa hawana shida naye. Wameshamfungia ndani huko atajuana na kesi zake.
Sasa huku nje nani wa muhimu zaidi ya Heche na Mnyika?
Sio swala la tishio.
Suala ni kete ipi ni muhimu tuitumie kufanikisha jambo agenda fulani? Hiyo ndio siasa.
Huwezi ukawa threat kwa serikali alafu huna dola.
Hao kina Polepole sijui Gwajima na wengine hawawezi kuwa threat
Kwanini ccm wanalazimisha chadema iwe kwenye maridhiano? Vyama vyao vipo jee hawaviamini ili kukamilisha lengo lao?
Lengo la maridhiano nini?
Sababu ya maridhiano hayo ni ipi?
Jee ccm ina nia njema ya hayo maridhiano au ni ujinga tu wanatqkuwaamisha watu ili wapate misaada ya wazungu?