Baada ya kumsikiliza mama wa Feitoto, ni dhahiri Fei na familia nzima wamerubuniwa

Baada ya kumsikiliza mama wa Feitoto, ni dhahiri Fei na familia nzima wamerubuniwa

Ila jamani twende mbele na kurudi nyuma huo mshahara sio mdogo sema angeomba aongezewe tuu maslahi kwa taratibu nzuri..ila kuja public na kusema mshahara mdogo wkt kuna watu wanalipwa laki 5 na maisha yanaenda sidhani kama ni kitu sahihi..
Sema angeomba mkataba upitiwe aongezewe maslahi yake kulinga na kazi yake na umuhimu wake pia...
Katika siku zote nilizokufahamu, hakika leo umeandika pointi mpaka basi.

Milioni siyo mshahara wa kitoto hata kidogo. Sema tu ndiyo vile binadamu hatutosheki.
 
Mhhh kwahyo naandikaga pumbe daily? Au nachooandika ndo huwa hukipendi personaly 😄 😄 😄
😃 Ni tofauti zetu tu za ushabiki mara nyingi ndizo zimekuwa zikitugawa.

Ila tuko pamoja. Wewe ni kati ya mashabiki halisi. Maana huwa tunaishia kwenye kutaniana tu.
Huna hulka ya kutukana watu hovyo kama wale wavuta bangi wengine.
 
Ila kuna watu hapa watakupinga maana wanajua hujui kwny sehemu nyingine huko matusi yanapotaradadii...ila siwezi kutukana bila chanzo ni upuuzii...haya mtani..pamoja sana..
Tumuombee kijana arudi kwny mstari wake afanye kazi yake..najua mimi ni fan mkubwa wa Fei toto...
 
Binafsi sikuwahi kuwaamini viongozi na wanasheria wa Yanga kwenye suala zima la mgogoro wa kimkataba na Feisal Salum kwa wasababu ya historia mbovu ya mikataba na wachezaji ambayo Yanga wamekuwa nayo.

Lakini baada ya kumsikiliza mama ake Feisal nimejiridhisha kuwa kuna watu kwa makusudi na mslahi yao binafsi walitumia mwanya wa uelewa mdogo wa mambo ya kisheria kuwaaminisha kuwa Feitoto anadhulumiwa na Yanga.

Ukimsikiliza mama anarudia rudia tu kusema eti mwanae(Feisal) kadhulumiwa sana na Yanga,sheria itende haki inakuaje mwanae alipwe milioni 4? Anasema Feitoto anamajukumu mengi ya kusomesha ndugu zake n.k. Najiuliza wakati Feisal anasaini mkataba mpya kutoka mil1.6 hadi 4.7 mama alikuwa wapi kumpambania mwanae ili asaini dili nono litakaloendana na thamani wanayodhani anastahili? Leo inakuaje aone hizo mil.4 ni ndogo na mwanae anadhulumiwa? Je kuna pesa yoyote ambayo Feitoto ilistahili kulipwa na mwajiri wake na hakulipwa? Hata mimi ambae si mwanasheria sioni hoja yoyote ya kuwasaidia.

Ndio mama watu wengi wanaomtakia mema mchezaji wameshauri mara kadhaa familia na mchezaji mwenyewe warudi wakae mezani wazungumze na uongozi wa Yanga ili wayamalize kifamilia na kiundugu kuliko hiki kinachoendelea. Feitoto na Familia nzima wanapaswa kujua sheria haitambui huruma, ila huruma inaweza kupatikana kupitia vikao shuruhishi wakikaa km familia.

Narudia tena Familia imerubuniwa.
Msemakweli ni mpenzi wa Mungu.

Kama anasema uongo kuna baya linaweza likamtokea huyo mwanae kama kuvunjika mguu sijui atakuja kusema nini tena!
 
Kwa ufupi Fei ana haki ya kuvunja mkataba kama mkataba wenyewe unavyoelekeza. Sasa kula sukari na hizo mambo mnazoshadadia ni kachumbari tu lakini Fei yupo huru kuvunja mkataba.

Mkataba waliomsainisha Yanga ndio una matobo na hayo ndio yataifelisha Yanga kama kesi ikienda kwa weledi. Tusubiri

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Katika siku zote nilizokufahamu, hakika leo umeandika pointi mpaka basi.

Milioni siyo mshahara wa kitoto hata kidogo. Sema tu ndiyo vile binadamu hatutosheki.
Shida sio hiyo 4m ,kinachomuumiza fei nadhan ni uongoz wa yanga kuwapaparikia Sana wageni kwa kuwapa huduma nzuri na kuishi Kama wafalme wakat kazi wanapiga ya kawaida Sana na pengine kuwazid hao.
Imagine aziz na Morrison wanamzid nn fei?
Wengi mmekomaa na mkataba ,ni sahihi alinisain kulingana na mazingira ya vilabu vyetu kutojar wazawa ,lakin Kuna muda busara lazima ichukue nafas na kuona umuhimu wa mtanzania mwenzenu ,why hatuthamin vya kwetu?
Elimu yao ndogo kuhusu mikataba isiwe fimbo ya kuwachapia ,fei kafanya haya ili awaamshe na wengine .
Kiwango kinapopanda lazima na thaman ya mtu iongezeke .
Mbona vilabu vinaongeza mikataba ya wachezaj hata kabala hajamaliza mkataba na kunoresha maslah hasa wakiona Kuna faida kwa upande wao.
Yanga hawakuona faida kwa fei ,na fei alijiona kiwango kimekua ndipo akataka aondoke kwa kuvunja mkataba maana hata vilabu huvunja mikataba ya wachezaj km hawajaridhika nao.
Ni mjinga tu ataungana na viongozi wa yanga kukubali fei aliwe 4m huku wahuni km Morrison wanakunja 23m, aziz 27m,Yaan fei sio wa kuzidiwa salary had na akina Aucho.
Akil yangu inaniambia fei ni yanga damu Ila uongoz wa yanga umeamua kumsalit mwana yanga aliyepambana kwenye Vita vyote ,wakat wa mafanikio wanamtenga.
 
Sasa kama alikuwa haridhishwi, si angetumia njia ambayo isingemuweka kwenye mtego kama hii ya mkato aliyotumia yeye!!
 
Kuna watu hawapo serious! Yaani mshahara wa milioni 4 anaona ni mdogo! na wakati

Imagine timu nzima ya Majimani Fc ilikosa milioni 1 tu ya kuwawezesha kusafiri kutoka Dar, kwenda Songea!! Hadi wakapata msaada kutoka kwa Erasto Nyoni mwenye asili ya huko!!

Mama amekosa kabisa hekima kwa kushindwa kumshauri mtoto wake kuto kuchezea kazi inayomuweka mjini, kwa kurubuniwa na matapeli.
Mil 4 ni fedha kiduchu sana kwa kipaji cha mchezaji kama Feisal na ni bora apambane kutoka mapema mikononi mwa wanyonyaji wanaomchekea machoni huku wanampa 25% ya mshahara wa Kisinda
 
[emoji117] Kumbe Feitoto amewahi kula Ugali na sukari akiwa Yanga SC

[emoji117] Kumbe Feitoto alfika hatua anakwenda kazini (mazoezini) na bodaboda.
Inafikirisha sana....ila Mama Fei amewasilisha vyema akili ya mwanae..

Wacha ibakie hivyo, Huruma akae Kimya na Sheria itatusaidia sana...

Na ikawe Fundisho.[emoji33]

Sent from my M10_Max using JamiiForums mobile app
 
Mpemba mkataba unasoma 12mil ila wajuaji wanadalalia mshahara wake mwisho wa siku anakula 2,tena sio 4 kama mlivyoskia.

Viongozi wa soka bongo wana tabia ya kudharau sana wachezaji wa ndani,utawaskia "aaaarrgh kwa mpira gani bwana".

Nlikuwa namskia bwana bahanuzi alipotoka mtibwa kwenda yanga,aseee ni majanga yaani dharau alizooneshwa na viongozi wa yanga kipindi kile mi nisingeweza kuvumilia asee.

Ila ndo basi tena,tuendelee kuwanyenyekea kina aziz ki huku tunawashusha hadhi kina feisal.

Wakipata mtu wa kuwaheshimisha,tunawabania ili tuharibu career yao kwa lengo la kuwakomoa.
 
Binafsi sikuwahi kuwaamini viongozi na wanasheria wa Yanga kwenye suala zima la mgogoro wa kimkataba na Feisal Salum kwa wasababu ya historia mbovu ya mikataba na wachezaji ambayo Yanga wamekuwa nayo.

Lakini baada ya kumsikiliza mama ake Feisal nimejiridhisha kuwa kuna watu kwa makusudi na mslahi yao binafsi walitumia mwanya wa uelewa mdogo wa mambo ya kisheria kuwaaminisha kuwa Feitoto anadhulumiwa na Yanga.

Ukimsikiliza mama anarudia rudia tu kusema eti mwanae(Feisal) kadhulumiwa sana na Yanga,sheria itende haki inakuaje mwanae alipwe milioni 4? Anasema Feitoto anamajukumu mengi ya kusomesha ndugu zake n.k. Najiuliza wakati Feisal anasaini mkataba mpya kutoka mil1.6 hadi 4.7 mama alikuwa wapi kumpambania mwanae ili asaini dili nono litakaloendana na thamani wanayodhani anastahili? Leo inakuaje aone hizo mil.4 ni ndogo na mwanae anadhulumiwa? Je kuna pesa yoyote ambayo Feitoto ilistahili kulipwa na mwajiri wake na hakulipwa? Hata mimi ambae si mwanasheria sioni hoja yoyote ya kuwasaidia.

Ndio maana watu wengi wanaomtakia mema mchezaji wameshauri mara kadhaa familia na mchezaji mwenyewe warudi wakae mezani wazungumze na uongozi wa Yanga ili wayamalize kifamilia na kiundugu kuliko hiki kinachoendelea. Feitoto na Familia nzima wanapaswa kujua sheria haitambui huruma, ila huruma inaweza kupatikana kupitia vikao shuruhishi wakikaa km familia.

Narudia tena Familia imerubuniwa.
Hii issues kwa wenzetu mbele kuanzia Fei na timu zilizo msajili wote wangefungiwa, wenzetu wangeenda mbele zaidi na kujua zile mil 110 zilitoka kwa nani, kwa mchezaji au timu/mtu wa pembeni.
 
Ingekuwa vema Yanga na TFF na Feiasal pia waweke mkataba hadharani tuone wakina Feisal waliporubuniwa kama wanasimamia huruma nje ya mkataba basi wamefeli....vinginevyo wanaonewa na Yanga+TFF na Bodi ya Ligi.
Hamna sehemu yoyote duniani mkataba ukawekwa wazi zaidi mtakacho ambiwa ni anapokea kiasi gani basi.
 
Kwa ufupi Fei ana haki ya kuvunja mkataba kama mkataba wenyewe unavyoelekeza. Sasa kula sukari na hizo mambo mnazoshadadia ni kachumbari tu lakini Fei yupo huru kuvunja mkataba.

Mkataba waliomsainisha Yanga ndio una matobo na hayo ndio yataifelisha Yanga kama kesi ikienda kwa weledi. Tusubiri

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Unamatobo ila ndio Ynaga walishinda na leo watashinda tena ,mwanasheria wake naona anamuamini kisa alishinda issues ya Morrison, wakati kila mtu ana mkataba wake na wanasheria huwaga hawakatai hela na watazipiga hela zake sana.
 
Kumbe ni rahisi sana kuwa muuza mishkaki baada ya kumaliza soka.
39CA7E5C-00AD-414E-A8E7-49B59182FCB1.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Back
Top Bottom