Baada ya kumsikiliza mama wa Feitoto, ni dhahiri Fei na familia nzima wamerubuniwa

Baada ya kumsikiliza mama wa Feitoto, ni dhahiri Fei na familia nzima wamerubuniwa

Shida sio hiyo 4m ,kinachomuumiza fei nadhan ni uongoz wa yanga kuwapaparikia Sana wageni kwa kuwapa huduma nzuri na kuishi Kama wafalme wakat kazi wanapiga ya kawaida Sana na pengine kuwazid hao.
Imagine aziz na Morrison wanamzid nn fei?
Wengi mmekomaa na mkataba ,ni sahihi alinisain kulingana na mazingira ya vilabu vyetu kutojar wazawa ,lakin Kuna muda busara lazima ichukue nafas na kuona umuhimu wa mtanzania mwenzenu ,why hatuthamin vya kwetu?
Elimu yao ndogo kuhusu mikataba isiwe fimbo ya kuwachapia ,fei kafanya haya ili awaamshe na wengine .
Kiwango kinapopanda lazima na thaman ya mtu iongezeke .
Mbona vilabu vinaongeza mikataba ya wachezaj hata kabala hajamaliza mkataba na kunoresha maslah hasa wakiona Kuna faida kwa upande wao.
Yanga hawakuona faida kwa fei ,na fei alijiona kiwango kimekua ndipo akataka aondoke kwa kuvunja mkataba maana hata vilabu huvunja mikataba ya wachezaj km hawajaridhika nao.
Ni mjinga tu ataungana na viongozi wa yanga kukubali fei aliwe 4m huku wahuni km Morrison wanakunja 23m, aziz 27m,Yaan fei sio wa kuzidiwa salary had na akina Aucho.
Akil yangu inaniambia fei ni yanga damu Ila uongoz wa yanga umeamua kumsalit mwana yanga aliyepambana kwenye Vita vyote ,wakat wa mafanikio wanamtenga.
Liverpool timu kubwa ilikataa kumuongeza maslahi Mane na Mane akawakatalia kuongeza mkataba mpya, ila hakuwahi kugoma mazoezini wala kugomea mechi. baada ya kuona mchezaji mkataba wale umebakia miezi michache na hataki kusaini mkataba mpya, Liverpool wakamuuza Bayern.

So swala la kuongezwa au kutoongezwa ni la timu iliyo msajili ndio itakayo amaua,ila ww mchezaji kama ukiona hawataki kukuongeza mzigo na ww husiongeze mkataba subiri mkataba wako uishe uende sehemu nyingine husigomee mazoezi wala mechi na ndivyo proffesional player wa ulaya wanavyofanya.

Kuhusu mchezaji kula hela kubwa mwengine ndogo, kila mchezaji ana wakala wake na term zake.So wakala wa Fei ni tofauti na Morrison na Aziz K na ndio maana wana mikataba tofauti.
 
Kwa ufupi Fei ana haki ya kuvunja mkataba kama mkataba wenyewe unavyoelekeza. Sasa kula sukari na hizo mambo mnazoshadadia ni kachumbari tu lakini Fei yupo huru kuvunja mkataba.

Mkataba waliomsainisha Yanga ndio una matobo na hayo ndio yataifelisha Yanga kama kesi ikienda kwa weledi. Tusubiri

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Hapa mkuu umeliandika kama sio mtu wa soka, kuvunja mkataba ilikua lazima wakae pande mbili au tatu wavunje huo mkataba na sio kujivunjia tuu,
Tusiliweke hili suala kishabiki
 
Ila jamani twende mbele na kurudi nyuma huo mshahara sio mdogo sema angeomba aongezewe tuu maslahi kwa taratibu nzuri..ila kuja public na kusema mshahara mdogo wkt kuna watu wanalipwa laki 5 na maisha yanaenda sidhani kama ni kitu sahihi..
Sema angeomba mkataba upitiwe aongezewe maslahi yake kulinga na kazi yake na umuhimu wake pia...
Mpira WA miguu ni mchezo mchazaji anakuwa active mdani ya muda mfupi kati ya miaka 18-30 hapo. Na umri unavyozidi kwenda unaweza kushangaa unajikuta timu za hovyo.

Wachezaji wote duniani wanapokuwa kwenye form ndio muda WA kuongeza maslahi yako.

Kwako wewe milion 4 ni nyingi Ila Kwa kiwango cha Faisal na nature ya KAZI yake kuwa ya muda mfupi ni hela ndogo hiyo. Pale Yanga kuna wachezaji wanalipwa zaidi ya hiyo hela na wanakaa benchi (Mfano Makambo)
 
Duuh
 
Binafsi sikuwahi kuwaamini viongozi na wanasheria wa Yanga kwenye suala zima la mgogoro wa kimkataba na Feisal Salum kwa wasababu ya historia mbovu ya mikataba na wachezaji ambayo Yanga wamekuwa nayo.

Lakini baada ya kumsikiliza mama ake Feisal nimejiridhisha kuwa kuna watu kwa makusudi na mslahi yao binafsi walitumia mwanya wa uelewa mdogo wa mambo ya kisheria kuwaaminisha kuwa Feitoto anadhulumiwa na Yanga.

Ukimsikiliza mama anarudia rudia tu kusema eti mwanae(Feisal) kadhulumiwa sana na Yanga,sheria itende haki inakuaje mwanae alipwe milioni 4? Anasema Feitoto anamajukumu mengi ya kusomesha ndugu zake n.k. Najiuliza wakati Feisal anasaini mkataba mpya kutoka mil1.6 hadi 4.7 mama alikuwa wapi kumpambania mwanae ili asaini dili nono litakaloendana na thamani wanayodhani anastahili? Leo inakuaje aone hizo mil.4 ni ndogo na mwanae anadhulumiwa? Je kuna pesa yoyote ambayo Feitoto ilistahili kulipwa na mwajiri wake na hakulipwa? Hata mimi ambae si mwanasheria sioni hoja yoyote ya kuwasaidia.

Ndio maana watu wengi wanaomtakia mema mchezaji wameshauri mara kadhaa familia na mchezaji mwenyewe warudi wakae mezani wazungumze na uongozi wa Yanga ili wayamalize kifamilia na kiundugu kuliko hiki kinachoendelea. Feitoto na Familia nzima wanapaswa kujua sheria haitambui huruma, ila huruma inaweza kupatikana kupitia vikao shuruhishi wakikaa km familia.

Narudia tena Familia imerubuniwa.
Sheria haimhurumii mtu.
 
[emoji117] Kumbe Feitoto amewahi kula Ugali na sukari akiwa Yanga SC

[emoji117] Kumbe Feitoto alfika hatua anakwenda kazini (mazoezini) na bodaboda.
Kama mtu unalipwa mshahara wako,unamtaka mwajiri akupangie ule Nini? Kama Fei aliamua kula ugali na sukari nani angemkataza? Na kwa maslahi ya nani?
 
Ila jamani twende mbele na kurudi nyuma huo mshahara sio mdogo sema angeomba aongezewe tuu maslahi kwa taratibu nzuri..ila kuja public na kusema mshahara mdogo wkt kuna watu wanalipwa laki 5 na maisha yanaenda sidhani kama ni kitu sahihi..
Sema angeomba mkataba upitiwe aongezewe maslahi yake kulinga na kazi yake na umuhimu wake pia...
Hii ya kujaribu kukaa mezani dogo alishawaomba mara mbili Yanga wakawa wanampotezea wanamchukulia poa huku wakiboresha mikataba ya dunduka wengine wa kigeni kuwajaza mihela wakati hawana msaada wowote.
 
Mara mbili,,,, lini na lini????
 
Lakini angetumia njia ya kiungwana. Na siyo ile aliyoitumia yeye. Maana ilijaa dhrarau, uhuni, na utoto mwingi.

Binafsi ningetamani kumuona dogo akicheza kwa miwango cha juu! Halafu angevumilia mpaka mwakani. Viongozi wangekaa naye mezani, ndiyo anvetikisa sasa kibiriti ili wapande dau, na kama invetokea wameshindwa; angeenda zake kwingine.

Sasa maamuzi aliyochukua, yamekuwa na madhara pande zote! Hakuna mnufaika katika huu mgogoro. Zaidi tu ya upande mmoja kushika kwenye mpini, na upande mwinvine kushika kwenye makali.
Natamani yanga washikilie hapo hapo dogo afundishwe adabu ,Tena upuuz gani huu unaenda kumchukua mam ako video akiongea ujinga asijjue chochote alivyosema mwanae anakula ugali na sukari kwa kulazimisha nilicheka mno[emoji23]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Poor reasoning

Mwambie Azizi Ki kuanzia leo awe ana chukua 4M kwasababu kuna timu ya majimaji ilikosa pesa ya nauli
Acha ujinga na upuuzi pia aziz k katoka wapi Hap nnje ya mada kbsa ningekuwa karibu ningekulabua makofi mawili mazito akili zikurudi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ila jamani twende mbele na kurudi nyuma huo mshahara sio mdogo sema angeomba aongezewe tuu maslahi kwa taratibu nzuri..ila kuja public na kusema mshahara mdogo wkt kuna watu wanalipwa laki 5 na maisha yanaenda sidhani kama ni kitu sahihi..
Sema angeomba mkataba upitiwe aongezewe maslahi yake kulinga na kazi yake na umuhimu wake pia...
una akili Sana wew dada nimekunoti siku nyingi mno ,wee Ni mtu muungwana Sana [emoji38]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji117] Kumbe Feitoto amewahi kula Ugali na sukari akiwa Yanga SC

[emoji117] Kumbe Feitoto alfika hatua anakwenda kazini (mazoezini) na bodaboda.
Brother likija swala la ushabiki akili hua zunakuruka hivi mtu anae kula ugali na sukari alipata wapi 112M ?
 
Back
Top Bottom