Shida sio hiyo 4m ,kinachomuumiza fei nadhan ni uongoz wa yanga kuwapaparikia Sana wageni kwa kuwapa huduma nzuri na kuishi Kama wafalme wakat kazi wanapiga ya kawaida Sana na pengine kuwazid hao.
Imagine aziz na Morrison wanamzid nn fei?
Wengi mmekomaa na mkataba ,ni sahihi alinisain kulingana na mazingira ya vilabu vyetu kutojar wazawa ,lakin Kuna muda busara lazima ichukue nafas na kuona umuhimu wa mtanzania mwenzenu ,why hatuthamin vya kwetu?
Elimu yao ndogo kuhusu mikataba isiwe fimbo ya kuwachapia ,fei kafanya haya ili awaamshe na wengine .
Kiwango kinapopanda lazima na thaman ya mtu iongezeke .
Mbona vilabu vinaongeza mikataba ya wachezaj hata kabala hajamaliza mkataba na kunoresha maslah hasa wakiona Kuna faida kwa upande wao.
Yanga hawakuona faida kwa fei ,na fei alijiona kiwango kimekua ndipo akataka aondoke kwa kuvunja mkataba maana hata vilabu huvunja mikataba ya wachezaj km hawajaridhika nao.
Ni mjinga tu ataungana na viongozi wa yanga kukubali fei aliwe 4m huku wahuni km Morrison wanakunja 23m, aziz 27m,Yaan fei sio wa kuzidiwa salary had na akina Aucho.
Akil yangu inaniambia fei ni yanga damu Ila uongoz wa yanga umeamua kumsalit mwana yanga aliyepambana kwenye Vita vyote ,wakat wa mafanikio wanamtenga.