Katika siku zote nilizokufahamu, hakika leo umeandika pointi mpaka basi.Ila jamani twende mbele na kurudi nyuma huo mshahara sio mdogo sema angeomba aongezewe tuu maslahi kwa taratibu nzuri..ila kuja public na kusema mshahara mdogo wkt kuna watu wanalipwa laki 5 na maisha yanaenda sidhani kama ni kitu sahihi..
Sema angeomba mkataba upitiwe aongezewe maslahi yake kulinga na kazi yake na umuhimu wake pia...
Mhhh kwahyo naandikaga pumbe daily? Au nachooandika ndo huwa hukipendi personaly 😄 😄 😄Katika siku zote nilizokufahamu, hakika leo umeandika pointi mpaka basi.
Milioni siyo mshahara wa kitoto hata kidogo. Sema tu ndiyo vile binadamu hatutosheki.
😃 Ni tofauti zetu tu za ushabiki mara nyingi ndizo zimekuwa zikitugawa.Mhhh kwahyo naandikaga pumbe daily? Au nachooandika ndo huwa hukipendi personaly 😄 😄 😄
Feisal na Azizi K wana share wakala? si kila mtu ali sign mkataba kivyake? wanasheria wake walisema wanaenda CAS huko kwenye radio wanatafta niniPoor reasoning
Mwambie Azizi Ki kuanzia leo awe ana chukua 4M kwasababu kuna timu ya majimaji ilikosa pesa ya nauli
Ila kuna watu hapa watakupinga maana wanajua hujui kwny sehemu nyingine huko matusi yanapotaradadii...ila siwezi kutukana bila chanzo ni upuuzii...haya mtani..pamoja sana..😃 Ni tofauti zetu tu za ushabiki mara nyingi ndizo zimekuwa zikitugawa.
Ila tuko pamoja. Wewe ni kati ya mashabiki halisi. Maana huwa tunaishia kwenye kutaniana tu.
Huna hulka ya kutukana watu hovyo kama wale wavuta bangi wengine.
Msemakweli ni mpenzi wa Mungu.Binafsi sikuwahi kuwaamini viongozi na wanasheria wa Yanga kwenye suala zima la mgogoro wa kimkataba na Feisal Salum kwa wasababu ya historia mbovu ya mikataba na wachezaji ambayo Yanga wamekuwa nayo.
Lakini baada ya kumsikiliza mama ake Feisal nimejiridhisha kuwa kuna watu kwa makusudi na mslahi yao binafsi walitumia mwanya wa uelewa mdogo wa mambo ya kisheria kuwaaminisha kuwa Feitoto anadhulumiwa na Yanga.
Ukimsikiliza mama anarudia rudia tu kusema eti mwanae(Feisal) kadhulumiwa sana na Yanga,sheria itende haki inakuaje mwanae alipwe milioni 4? Anasema Feitoto anamajukumu mengi ya kusomesha ndugu zake n.k. Najiuliza wakati Feisal anasaini mkataba mpya kutoka mil1.6 hadi 4.7 mama alikuwa wapi kumpambania mwanae ili asaini dili nono litakaloendana na thamani wanayodhani anastahili? Leo inakuaje aone hizo mil.4 ni ndogo na mwanae anadhulumiwa? Je kuna pesa yoyote ambayo Feitoto ilistahili kulipwa na mwajiri wake na hakulipwa? Hata mimi ambae si mwanasheria sioni hoja yoyote ya kuwasaidia.
Ndio mama watu wengi wanaomtakia mema mchezaji wameshauri mara kadhaa familia na mchezaji mwenyewe warudi wakae mezani wazungumze na uongozi wa Yanga ili wayamalize kifamilia na kiundugu kuliko hiki kinachoendelea. Feitoto na Familia nzima wanapaswa kujua sheria haitambui huruma, ila huruma inaweza kupatikana kupitia vikao shuruhishi wakikaa km familia.
Narudia tena Familia imerubuniwa.
Shida sio hiyo 4m ,kinachomuumiza fei nadhan ni uongoz wa yanga kuwapaparikia Sana wageni kwa kuwapa huduma nzuri na kuishi Kama wafalme wakat kazi wanapiga ya kawaida Sana na pengine kuwazid hao.Katika siku zote nilizokufahamu, hakika leo umeandika pointi mpaka basi.
Milioni siyo mshahara wa kitoto hata kidogo. Sema tu ndiyo vile binadamu hatutosheki.
Sasa kama alikuwa haridhishwi, si angetumia njia ambayo isingemuweka kwenye mtego kama hii ya mkato aliyotumia yeye!!Shida sio hiyo 4m ,kinachomuumiza fei nadhan ni uongoz wa yanga kuwapaparikia Sana wageni kwa kuwapa huduma nzuri na kuishi Kama wafalme wakat kazi wanapiga ya kawaida Sana na pengine kuwazid hao.
Imagine aziz na Morrison wanamzid nn fei?
Wengi mmekomaa na mkataba ,ni sahihi alinisain kulingana na mazingira ya vilabu vyetu kutojar wazawa ,lakin Kuna muda busara lazima ichukue nafas na kuona umuhimu wa mtanzania mwenzenu ,why hatuthamin vya kwetu?
Elimu yao ndogo kuhusu mikataba isiwe fimbo ya kuwachapia ,fei kafanya haya ili awaamshe na wengine .
Kiwango kinapopanda lazima na thaman ya mtu iongezeke .
Mbona vilabu vinaongeza mikataba ya wachezaj hata kabala hajamaliza mkataba na kunoresha maslah hasa wakiona Kuna faida kwa upande wao.
Yanga hawakuona faida kwa fei ,na fei alijiona kiwango kimekua ndipo akataka aondoke kwa kuvunja mkataba maana hata vilabu huvunja mikataba ya wachezaj km hawajaridhika nao.
Ni mjinga tu ataungana na viongozi wa yanga kukubali fei aliwe 4m huku wahuni km Morrison wanakunja 23m, aziz 27m,Yaan fei sio wa kuzidiwa salary had na akina Aucho.
Akil yangu inaniambia fei ni yanga damu Ila uongoz wa yanga umeamua kumsalit mwana yanga aliyepambana kwenye Vita vyote ,wakat wa mafanikio wanamtenga.
Mil 4 ni fedha kiduchu sana kwa kipaji cha mchezaji kama Feisal na ni bora apambane kutoka mapema mikononi mwa wanyonyaji wanaomchekea machoni huku wanampa 25% ya mshahara wa KisindaKuna watu hawapo serious! Yaani mshahara wa milioni 4 anaona ni mdogo! na wakati
Imagine timu nzima ya Majimani Fc ilikosa milioni 1 tu ya kuwawezesha kusafiri kutoka Dar, kwenda Songea!! Hadi wakapata msaada kutoka kwa Erasto Nyoni mwenye asili ya huko!!
Mama amekosa kabisa hekima kwa kushindwa kumshauri mtoto wake kuto kuchezea kazi inayomuweka mjini, kwa kurubuniwa na matapeli.
Inafikirisha sana....ila Mama Fei amewasilisha vyema akili ya mwanae..[emoji117] Kumbe Feitoto amewahi kula Ugali na sukari akiwa Yanga SC
[emoji117] Kumbe Feitoto alfika hatua anakwenda kazini (mazoezini) na bodaboda.
Mbona ipo we itafute tuLeta clip hiyo ya ugari sukari..we jamaa unaheshimika hapa kwa hoja na thread zako...kumbe heshima ninayokupa hustahili
Hii issues kwa wenzetu mbele kuanzia Fei na timu zilizo msajili wote wangefungiwa, wenzetu wangeenda mbele zaidi na kujua zile mil 110 zilitoka kwa nani, kwa mchezaji au timu/mtu wa pembeni.Binafsi sikuwahi kuwaamini viongozi na wanasheria wa Yanga kwenye suala zima la mgogoro wa kimkataba na Feisal Salum kwa wasababu ya historia mbovu ya mikataba na wachezaji ambayo Yanga wamekuwa nayo.
Lakini baada ya kumsikiliza mama ake Feisal nimejiridhisha kuwa kuna watu kwa makusudi na mslahi yao binafsi walitumia mwanya wa uelewa mdogo wa mambo ya kisheria kuwaaminisha kuwa Feitoto anadhulumiwa na Yanga.
Ukimsikiliza mama anarudia rudia tu kusema eti mwanae(Feisal) kadhulumiwa sana na Yanga,sheria itende haki inakuaje mwanae alipwe milioni 4? Anasema Feitoto anamajukumu mengi ya kusomesha ndugu zake n.k. Najiuliza wakati Feisal anasaini mkataba mpya kutoka mil1.6 hadi 4.7 mama alikuwa wapi kumpambania mwanae ili asaini dili nono litakaloendana na thamani wanayodhani anastahili? Leo inakuaje aone hizo mil.4 ni ndogo na mwanae anadhulumiwa? Je kuna pesa yoyote ambayo Feitoto ilistahili kulipwa na mwajiri wake na hakulipwa? Hata mimi ambae si mwanasheria sioni hoja yoyote ya kuwasaidia.
Ndio maana watu wengi wanaomtakia mema mchezaji wameshauri mara kadhaa familia na mchezaji mwenyewe warudi wakae mezani wazungumze na uongozi wa Yanga ili wayamalize kifamilia na kiundugu kuliko hiki kinachoendelea. Feitoto na Familia nzima wanapaswa kujua sheria haitambui huruma, ila huruma inaweza kupatikana kupitia vikao shuruhishi wakikaa km familia.
Narudia tena Familia imerubuniwa.
Hamna sehemu yoyote duniani mkataba ukawekwa wazi zaidi mtakacho ambiwa ni anapokea kiasi gani basi.Ingekuwa vema Yanga na TFF na Feiasal pia waweke mkataba hadharani tuone wakina Feisal waliporubuniwa kama wanasimamia huruma nje ya mkataba basi wamefeli....vinginevyo wanaonewa na Yanga+TFF na Bodi ya Ligi.
Unamatobo ila ndio Ynaga walishinda na leo watashinda tena ,mwanasheria wake naona anamuamini kisa alishinda issues ya Morrison, wakati kila mtu ana mkataba wake na wanasheria huwaga hawakatai hela na watazipiga hela zake sana.Kwa ufupi Fei ana haki ya kuvunja mkataba kama mkataba wenyewe unavyoelekeza. Sasa kula sukari na hizo mambo mnazoshadadia ni kachumbari tu lakini Fei yupo huru kuvunja mkataba.
Mkataba waliomsainisha Yanga ndio una matobo na hayo ndio yataifelisha Yanga kama kesi ikienda kwa weledi. Tusubiri
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app