#COVID19 Baada ya Kumsikiliza na Kumuelewa vyema Dk. Seche Malecela, Kesho najipeleka mwenyewe Kupata Chanjo yangu ya UVIKO 19 niwe salama zaidi

Hhahaaha, mbavu zangu mie kwa kibwetere
 
Wewe una tofauti gani na aliyesema papai lina corona!
Tatizo vipimo vyenyewe ndio maana si ajabu ukawa na maambukizi ila kipimo kinasoma negative au ukawa huna maambukizi ila kikasoma positive.
 
Halafu Mkuu TUJITEGEMEE... jana kama niliona notification ya post yako kwangu, lakini ghafla tu nikaona imepoteakabla sijajibu ! What happened?!
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ nikijua bado unaanda majibu. Ngoja niitafute.
 

Shukrani sana kwa ufafanuzi wako wenye mshiko - unayo yasema ni sahihi kabisa - kinacho shangaza hapa Big Pharma Companies zinazo zalisha chanjo hizi kwa kufadhiliwa kwa kiasi kikubwa na mabilionea wenye ajenda zao za siri, wao wamejenga mshikamano wa kuhakikisha wanashinikiza chanjo zao zikubalike ingawa kusema kweli bado ni experimental vaccines kutokana na teknolojia iliyo tumiwa kuzizalisha - wao wameungana kutimiza malengo yao,lakini wanao chanjwa hawana umoja was kuhoji makampuni ya magharibi yanayo zalisha chanjo zenye changa moto ambazo hazieleweki vizuri

Kila mtu mwenye kuelewa mambo anajuwa kwamba mbinu za uzalishaji wa chanjo za mRNA sijui na chanjo za vector kitu gani sijui zote ni genetically manipulated all are equally CHIMERAS! Mbinu za uzalishaji wa chanjo hizo haujawahi kutumika popote Duniani kuzalisha chanjo tulizo zoea miaka nenda rudi. Sasa W.H.O kuganganiza/lazimisha Dunia kutumia ya chanjo hizi madhara yake ndio tumeanza kuyasikia kwa baadhi ya watu Duniani waliochanjwa chanjo ambazo hazikuwahi kufanyiwa majaribio ya muda mrefu Dunia ikaridhika kwamba hazina walakini, nani ambaye hajui kwamba mpaka chanjo zikubalike chanjo no lazima zipitie kwenye majaribio ya muda mrefu kabla hazijaingizwa sokoni,je hilo lilifanyika, jibu ni hapana. Sasa swali ni: kwa nini chanjo hizi za kutumia teknolojia ya mRNA zimeharakishwa kuingizwa sokoni kwa matumizi - kuna nini nyuma ya pazia - ukihoji maswali yenye lengo zuri unabezwa bezwa na kupachikwa majina ya ajabu ajabu - hawataki kabisa kuhojiwa burning issues.

Cha kujiuliza tena hapa ni: Mbona Mataifa zaidi ya 60 (sitini) yanayo tumia chanjo za Uchina zinazo zalishwa kwa kutumia traditional techniques/method, mbona hatujawahi kusikia watu walio dungwa chanjo za Kichina au Urusi wanakufa ghafla, damu kuganda kwenye mishipa, kuvimba moyo,Neva kushindwa kusafirisha umeme, stroke, baadhi ya akina mama wanao nyonyesha wakajikuta baadhi ya watoto wao wamekumbwa na tatizo la inflammation kwenye mapafu - list ya after effect za chanjo za mRNA ni tall order kusema kweli.

Bottom line is: Mataifa yote Duniani yawe na mshikamano washikize W.H.O pamoja na Big Pharma Companies kwamba wasitishe chanjo hizi za magharibi na kushikiza Viwanda aidha vifungwe au vizalishe chanjo kwa njia ya asili wawaige wenzao wa Uchina na Urusi - hizi mbinu zao za kuzalisha chanjo kwa njia ya kumanipulate/tinker around genes yatakuja kuleta balaa Dunia hisipo kuwa makini. Hayo ni maoni yangu, I might be wrong - tujali usalama kwanza which is the most important thing .
 
Vipi ule ugonjwa hatari wa Zika uliogunduliwa Morogoro, Mbona huyo mtaalamu hajatuambia ilifikia wapi, aisee kweli Mabeberu wametubrainwash, huyo mtaalamu toka afurushwe ni ngumu sana kuaminika labda wewe utushawishi.[emoji847]
 
Dhana ya hiari inahitaji utahira kueleweka, ugumu wa hiari uko wapi?kwanza kwa nini imekuwa hiari?kuna hoja kadha wa kadha kuhusu hiari?na je, hii dhana ya ushawishi na mijadala chachu yake ni nini? Ukiwa hai ni mjanja, ukifa ni fala, huu upendo umetoka wapi, kama hawataki tozo wahamie burundi na chanjo ni uhuru waamue kwenda kuzimu au kubaki na tozo za Samia.
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ nikijua bado unaanda majibu. Ngoja niitafute.
🀣 🀣 🀣... wala sikuwahi kuisoma, manake baada ya kuona notification, nikaanza kuifungua! Hapo hapo nikapata message "you're not allowed so and so..."!
 
What if she is wrong?!

Mtu hajawahi tengeneza hata antibiotic..hata technology ya kutengeneza chanjo hajui formula yake hata hizo lab hajawahi ingia anaishia kuona kwa picha..

Tuishie kusema hv jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza..chanjo ni imani..tunawaamini wazungu hawana jambo baya na sisi wanataka kutukinga au laah kutufanyia majaribio
 

mkuu umeeleza vizuri sana... tatizo watu hawahoji..wanakuwa emotional tu..
 
🀣 🀣 🀣... wala sikuwahi kuisoma, manake baada ya kuona notification, nikaanza kuifungua! Hapo hapo nikapata message "you're not allowed so and so..."!
Naona/nadhani moderators hawakufurahishwa na mswali yangu kwako yalikuwa maswali ambayo nadhani majibu yake ungemaliza page nzima ya uzi, ha hahaaa! (joking anyway kuhusu page).

Naogopa kuyauliza tena hapa wanaweza kunilima ban, maana siwaelewi siku hizi.
 
TUPE MREJESHO BAADA YA KUCHANJA MKUU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…