#COVID19 Baada ya Kumsikiliza na Kumuelewa vyema Dk. Seche Malecela, Kesho najipeleka mwenyewe Kupata Chanjo yangu ya UVIKO 19 niwe salama zaidi

Hili siyo swala jepesi la kufuata mkumbo wa Mh. Dr. JPM (may his precious soul rest in eternal peace and power amen 🙏)
Hili ni suala la kutumia logic! Kasoro alizoziibua zilikuwa za kisayansi, na wanasayansi wote wenye utimamu wa akili walimuelewa! Hata argument za Gwajima pia ni za kisayansi, na wanadayansi kwa bahati mbaya kwa sasa hawana majibu ya uhakika kwa kuwa walikiuka taratibu za kisayansi ambazo ndizo zingetoa majibu ya hoja za Gwajima!
Ww unayemeza kila kitu unachoambiwa unayo hatari kubwa ktk dunia ya sasa!
Namuunga mkono Gwajima ktk hili sidanganyiki!
 
Mkuu unazungumziaje JJ kushtakiwa na baadhi ya Wamarekani kwa sababu kuna bidhaa flani ziliwaletea kansa wateja wao. Mpaka sasa kesi za aina hiyo zimeshawagharimu zaidi ya Usd2 billion
 
Mkuu unazungumziaje JJ kushtakiwa na baadhi ya Wamarekani kwa sababu kuna bidhaa flani ziliwaletea kansa wateja wao. Mpaka sasa kesi za aina hiyo zimeshawagharimu zaidi ya Usd2 billion
Makampuni kushitakiwa kutokana na shughuli zao ni kawaida. Kina Google, Facebook na Amazon wanashitakiwa mara kibao ndo maana kampuni zote zina vitengo vya sheria.

Hata Monstanto ilishitakiwa kwa Agent Orange na dawa nyingine ya kuua wadudu ila bado bidhaa zake za kilimo zinanunuliwa
 
Mkuu unazungumziaje JJ kushtakiwa na baadhi ya Wamarekani kwa sababu kuna bidhaa flani ziliwaletea kansa wateja wao. Mpaka sasa kesi za aina hiyo zimeshawagharimu zaidi ya Usd2 billion
Saratani inaweza kusababishwa hadi na KARANGA zisizohifadhiwa vyema sasa sijui mwathirika atakwenda kuushtaki mnyororo wa BIDHAA HIYO toka shambani mpaka masokoni.....

Leo hadi JUA linaweza kusababisha SARATANI sasa sijui nani atapelekwa MAHAKAMANI....

#TujitokezeniKuchanjwa
#NaliandaaBegaLanguNaChanjoYaJohnson&Johnson
#KaziIendelee
 
Kati ya watu ninaowapuuza JF ni wewe GENTAMYCINE.
 
Tunakutakia chanjo njema mkuu.
 
Alitimuliwa na serikali iliyopita....

Rais wa Serikali mpya ni Msikivu mh.Samia Suluhu Hassan.....

#TujitokezeniKuchanjwa
#KaziIendelee
Sababu ya kutimuliwa ilikuwa nini? Halafu tuendelee baada ya kusema sababu
 
Huyo tapeli Dk Malechela aliyesingizia ohh Kuna Sas sijui ugongonjwa gani Magufuli akampiga chini kwa uongo na kutaka kuua utalii kwa kisingizio Cha ugonjwa feki usiokuwepo? Mpuuzi huyo timu Magufuli tupo hatujamsahau na utapeli wake wa kutafuta pesa kwa nguvu kwa kuwazulia magonjwa hewa watanzania kama Mama Samia alivyojipanga kuzulia asilimia kubwa ya watanzania kuwa wanna ugonjwa hewa wa Corona na balozi Mulamula wake mtaalaamu wa Diplomasia hewa ya Corona

Hii Vita muulizeni hiyo Sas sijui yake aliyotuzulia watanzania huyo tapeli Dk Mwele Malechela iko wapi na mkoa upi

Mama Samia karudisha mitapeli mipiga pesa akiwemo inayojiita mi Dk kuwa mishauri yake akiwemo Mwele Malechela

Mama Samia utatunzwa maisha yote na serikali wewe na familia yako unataka pesa za wazungu za nini kutuumiza watanzania na michanjo yako tumekukosea Nini wewe Mama? Hulipi Kodi wewe na wabunge wako lakini mnataka wigo wa walipa Kodi uongezeke kwa maskini kupitia miamala nk hamtaki huo wigo uwafikie nyie

Na mlaaniwe Na Mungu kuanzia wewe na wabunge.Mungu na asimame Kati ya maskini na nyie aamue kwa haki Kati ya maskini na wewe na wabunge watu maskini
 
Hivi huyo Gwajima na hata JPM ni kasoro ipi za Kisayansi walizotaja?!!

JPM nilimuunga mkono mambo mawili tu....

1. Suala la kutoweka lockdown... coz' hata nami sikuwa in favor of lockdown though nilitarajia angewahi kupiga lockdown airport na mipaka!!!

2. Kuishi na corona... coz' automatically usipokuwa tayari na lockdown ina maana people have to learn how to live SAFELY with corona!!!

Haya, TAJA HAPA HIZO HOJA ZA KISAYANSI ZILIZOTOLEWA NA GWAJIMA, IKIBIDI HATA ZA JPM!
 
Sijakuelewa, hoja yako hasa ni ipi?
 
Yehodaya za siku ?!!

Kumbe ninyi watu hamkuwa CCM....

Ninyi watu mlikuwa tu "CCM UPEPO" kwa ajili ya kipenzi chetu Hayati Magufuli.....

Aliondoka baba wa taifa akaiacha CCM....kwa hiyo tuanze kushambulia viongozi wa CHAMA simply kwa kuwa aliyekuwepo HATUMTAKI/HATUMPENDI/TUNAMCHUKIA?!!!

Hivi ninyi kweli MLIPITIA MADARASA YA ITIKADI YA CHAMA?!!!

Pamoja na kukinzana hoja sijapatapo kumuona mwanaCCM akimshambulia mwenyekiti kiasi hiki?!!!!

#SiempreCCM
#KaziIendelee
 
We Mtu wa ovyo kabisa. Unapata faida gani kuandika uzushi. Asilimia 75 ya waliochoma chanjo US wana Covid? Nini chanzo cha taarifa yako?!?.
 
Si mnasema mwenda zake alikuwa hapendwi?

Sasa hao wafuasi wake wanatoka wapi?
 
Si mnasema mwenda zake alikuwa hapendwi?

Sasa hao wafuasi wake wanatoka wapi?
Ungekuwa mfuatiliaji wa posts zangu tangu zama hizo ungeifahamu phrase niliyokuwa naitumia mara kwa mara kwamba "Mtaji Mkubwa wa Magu ni Jeshi Kubwa la Wajinga Lililo Nyuma Yake"! Mwisho wa kunukuu, na sina maelezo zaidi...
 
Tusichoshane! Kama hukuzijua basi uwezo wako ndipo ulipofikia, usifosi😂😜!
 
Ungekuwa mfuatiliaji wa posts zangu tangu zama hizo ungeifahamu phrase niliyokuwa naitumia mara kwa mara kwamba "Mtaji Mkubwa wa Magu ni Jeshi Kubwa la Wajinga Lililo Nyuma Yake"! Mwisho wa kunukuu, na sina maelezo zaidi...
Mbona sasa hatuoni walau watu mamilioni wenye elimu zenu mkifurika huko kwenda kupata chanjo?

Nlitegemea hizo milioni 1 zilizokuja ziishe fasta kwa kugombaniwa!

Ina maana katika watu milioni 60 hapa tz wote ni wajinga? Yani hatuna watu welevu walau milioni 1 wakamalize chap hizo chanjo? Wote ni wajinga wafuasi wa Magu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…