#COVID19 Baada ya Kumsikiliza na Kumuelewa vyema Dk. Seche Malecela, Kesho najipeleka mwenyewe Kupata Chanjo yangu ya UVIKO 19 niwe salama zaidi

Gentamycin soma post hii na link hii ikunasue na waliopata kitu kidogo ili wasaidie kuwaingiza mkenge watanzania! Kwa mtanzania aliyeko Marekani hana namna ya kukwepa chanjo liwalo na liwe!! Pole yenu ( Sina uhakika kama Seche Malechela ndiye Mwele Malechela niliyesoma naye genetics pale UDSM na kina Yunus Mgaya, halafu wanajitoa kabisa ufahamu na kuanza kusema vitu vya uongo eti hakuna kinachoingizwa kwenye DNA wakati DNA ndiyo target ya message iliyobebwa na mRNA! Vinginevyo waseme protein synthesis haitafanyika wakati ndio lengo lenyewe!! Nitafarijika kidogo kama huyo Seche siyo Mwele!

 
Angekuwepo Yule adui wa hii familia ni lazima angemtafutia sababu afutwe udaktari kabisa.
 
Hana mtu wa kumwambia makundi CCM yako kibao yanautaka uraisi akimaliza tu asipoambiwa humu atajisahau atadhani all is well while it is not tell her Straight baadhi ya washauri wake sidhani kama ni raia I am not sure who is Mulamula? Somebody should check her background !!!!
 
Huyo popoma bila matusi hana hoja fala sana huyo manninna
 

..aliyetimuliwa ni Dr.Mwele Malecela., PhD.

..aliyeshauri tukachanjwe ni Dr.Secelela " seche " Malecela.,MD.

 
Vigezo vitatu muhimu vya kuzingatia kwenye awamu hii ya kwanza ya chanjo dhidi ya uviko19...
1.Uwe uni mfanyakazi wa sekta ya afya. AU

2.Uwe una umri wa kuanzia miaka 50..Au

3.Uwe na magonywa ya kudumu .
 

Yuko nchi ya hao wanaotengeneza chanjo unategemea atakueleza ukweli!!! Katika maelezo yake yote ni ya kutetea chanjo bila kuweka ushahidi.

Ushahidi ulio wazi ni nchi jirani zetu ambazo zilipewa mikopo ya chanjo lakini kwa sasa zimekumbwa na wimbi jipya la maambukizi kiasi kwamba huduma za afya zimezidiwa.

Tafiti zimeonesha kuwa kwa nchi zinazoendelea waliochanjwa wanaeneza aina ya kirusi hatari zaidi. Sababu kubwa ni kutokuzingatia ushauri wa kujikinga ndani ya siku 14 ambapo mwili unajitengenezea uwezo wa kujikinga. Kwa hiyo tutarajie mlipuko wa wagonjwa nchini muda si mrefu kwa kuwa wachache wanazingatia ushauri wa kujikinga
 
Mbona wakati wa mwenda zake skuwahi kuongea chochote kuhusu chanjo si ndo wale waliokuwa wanapiga chapuo kujifukiza
Leo hii chanjo ya msaada imekuja wanajitokeza kuongea wasomi watanzania sijawahi kuwaelewa wako kama wanasiasa
We nenda kachanjwe baadae usirudi kuandika thread nyingne
 
Tuna watu wa ajabu sana,mtu anakwambia hio ndio Chapa ya 666,kwahio ukiikwepa unasubiri kunyakuliwa na Yesu,mtu anasema hayo yupo baa analewa baadae anatafuta Malaya halafu anasema anasubiri kunyakuliwa.

Amesahau kwamba kuna amri kumi za Mungu.

Jamani wakristo toka lini pombe dhambi🥸[emoji23]
 
Jamani wakristo toka lini pombe dhambi🥸[emoji23]
Inaweza isiwe hata pombe ila hauishi hata ukristo wenyewe ila anasubiri kunyakuliwa kisa kakataa chanjo, kwamba ndio kavumilia mateso ya dunia[emoji3]
 
Ok kuchambua masuala ya kisayansi na kuwa na Elimu kubwa sawa! Dr Malecela kaeleza vizuri ila mambo ya Covird 19 ni complicated wanasyansi wanapingana ktk dhana mbali mbali inakuwaje waseme hata ukichanjwa uwezekano wa kupata Covid upo , sasa chanjo hapo ndpo inapokosa ushawishi. Upate chanjo halaf mwisho wa siku bado haupo salama inakuwa ngumu kuingia kwa akili.
 
Daaah kama umemwelewa huyo! Mimi kumuelewa itachukua mda sana maana ugonjwa wake wa zika tangu apigwe burn na ugonjwa aliondoka nao hatukuwahi kusikia ugonjwa huo ni kama ulikuwa kinywani mwenyewe
 
Akili huna, ndo maana sentensi 2 zenye less than 50 characters umeshindwa kuzielewa na kukimbilia matusi... very stupid!!
Pamoja na Koo zako zote Mbili kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…