#COVID19 Baada ya Kumsikiliza na Kumuelewa vyema Dk. Seche Malecela, Kesho najipeleka mwenyewe Kupata Chanjo yangu ya UVIKO 19 niwe salama zaidi

Wasiovuta sigara na kunywa pombe kwa kuogopa madhara yake wana haki ya kuogopa madhara ya chanjo?
 

Halafu wanashupaza shingo kwamba wazungu wanataka kutuua kwenye chanjo wakati mambo wanayofanya ni zaidi ya kujiua wao wenyewe.
 
Wewe una tofauti gani na aliyesema papai lina corona!
 
Kwa hiyo mwenda zake ana wafuasi wengi sana kwa mimilioni hapa tz tofauti na mlivyokuwa mnasema kwamba anachukiwa sana?
Nimekuambia ana kundi kubwa la wajinga!! Kwahiyo kama kuwa na kundi kubwa la wajinga ni suala la kujivunia, then the answer is YES, Magu ana wafuasi wengi ambao majority ni wajinga watakaokubali kila wanachoambiwa!!

Na hili kundi kubwa la wajinga ndio mtaji mkuu wa CCM... hili mbona lipo wazi muda mrefu tu?!
 
Ok.

Sasa kundi la werevu mko wapi mkamalize hizo dozi milioni 1 chap?

Ina maana werevu hapa tz hawazidi hata milioni 1 katika watu milioni 60?

Basi mwenda zake ana kundi kubwa sana!
 
Ok.

Sasa kundi la werevu mko wapi mkamalize hizo dozi milioni 1 chap?
Ina maana werevu hapa tz hawazidi hata milioni 1 katika watu milioni 60?

Basi mwenda zake ana kundi kubwa sana!
Kama nilivyosema mara kadhaa... tatizo lenu source yenu ya habari ni Internet Hoax pamoja na Gwajima, na matokeo yake hamjui what's going on in a real world!!

What's going on in a real world, ni hiki hapa:-


Sasa hiyo sarcastic argument uliyoanza kuitoa tangu janahuku mwenyewe ukihisi ni bonge la hoja hivi unaamini ina mashiko kweli wakati chanjo yenyewe haijaanza kutolewa kwa public?
 
Kwa hiyo nyie werevu kesho mtakimbilia na kuimaliza chap?
 
Kwa hiyo nyie werevu kesho mtakimbilia na kuimaliza chap?
Kwa mtindo huu, una haki zako za kuwa Mfuasi wa Gwajima...

Mosi, nimegundua sio mfuatiliaji wa habari kutoka credible sources,

Pili, una papara ya kusoma... taarifa inasema August... sasa kwani kesho ni August 03 mzee?!

But all in all, sitaenda kwa sababu, mosi, kwa sasa nimesafiri, but good enough, tayari nimeshachanja!!

Lakini hata kama ningekuwasijasafiri, bado nisingeenda kuchanja kwa sababu awamu hii chanjo haitatolewa kwa kila mmoja, nami si miongoni mwa wale waliopewa first priority!!

 

Mkuu, ugonjwa ulikuwepo hata kabla ya hizo hotuba. Hata Wizara ya Afya ya Tanzania ilikuwa na taarifa hizo.

Mkuu nakubaliana na sehemu ya mwanzo ya hii post yako ya mwisho kwamba Sars cov2 kiliibuka 2019 na kusababisha ugonjwa huu wa covid 19 tunaohangaika nao leo hii.(covid inayosababishwa na sars cov2 haikuwepo before 2019).

Sasa huoni hizo post zako hapo juu zinapingana na hiyo post yako ya mwisho hapo?

Kuhusu sentensi yangu ya "kirusi cha covid" labda hujaelewa mantiki ya sentensi kumaanisha "kirusi kinachosababisha ugonjwa wa covid".
Naeleweka na watu wengi nikisema covid virus kuliko Sars cov 2 as long as content ya post yangu uliyoquote ilihusu covid 19 virus.

Virusi vya corona vina similarities zake lakini pia tofauti ambazo ni very significant.

Vipo ambavyo ni less harmful lakini pia vipo ambavyo ni very hamrful na hasa vile ambavyo mwanzoni vilikuwa kwa wanyama bila uwezo wa kuambukiza kwa binadamu lakini baadae katika mazingira yanayoviwezesha kubadilika structure vikapata njia ya kumwingia binadamu(zoonotic viruses) kama Sars cov1,Mers,Sars cov 2.

Hiyo post uliyoniquote niliposema covid virus(covid 19 au Sars-cov-2) ni kitu kigeni na kinahitaji muda wa kutosha kukielewa nilimaanisha hoja hiyo hapo juu,kwamba zoonotic virus ambaye hajawahi kuwepo(katika form aliyo nayo sasa) before 2019 na shughuli aliyotuletea jinsi inavyotuhenyesha inaonyesha hizo research za coronavirus before 2019 unazosema hazijatusaidia sana maana tunadeal na kitu tofauti hakikuwepo kwenye nature katika hali kilivyo sasa ndani ya binadamu(kimemutate kuaccomodate human host na kuwa a new strain).Ni strain mpya ya coronavirus,inatusumbua na tunahitaji muda kuielewa vizuri na sio kurukia conclusions haraka haraka bila kujiridhisha.
Kinachoendelea duniani kinaprove my point.
 
Weka source inayosema “asilimia 75 ya waliochoma chanjo wanaumwa COVID serious”.
 
Si kweli,,wamarekani 250,wamechanja haiwezekani asilimia 75% wakawa serious ill
 
Wewe unaonekana una akili za kimwendazake, baada ya kuweka hapa hiyo taarifa. Au unataka nani aisambaze ili watu wengine uwaokoe. Maana hata yule marehemu alikuwa anaropoka mapovu bila kuwa na evidence.
Lini walijibu hoja zake hiyo ubayesema alikuwa anaropoka tu? Muacheni Magu kitabu chake kilishafungwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…