johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nchi ngumu sana.Si mlikua mnawacheka chadema kususa, kikosi kazi washapewa kazi ya kudumu
Nchi inaelekezwa kwenye uozo kila kukicha.Nchi ngumu sana.
Watu washapata ajira bwashee.
Tena wazee watupu vijana akina Nondo wanapambana na Putin wasiyemjua mitandaoni!
Kile kikosi kazi cha demokrasia ni tofauti kabisa na ile Tume ya Warioba ya akina Polepole...
Hahahaaaa...... CCM ni chama tawala bwashee!Lumumba wameanza kukunyima posho we mzee?
Anawatendea WaTz dhambi kubwa sana
Kwahiyo katiba mpya tutaipata siku CCM wakiamua.?Hahahaaaa...... CCM ni chama tawala bwashee!
Hahahaaaa...... Bwashee unauliza au unapigia jibu mstari!Kwahiyo katiba mpya tutaipata siku CCM wakiamua.?
Kuna siku mtashangazwa kama ambavyo mlishangazwa 17/3.Hahahaaaa...... Bwashee unauliza au unapigia jibu mstari!
Wewe ulishangaa nini 17/3?Kuna siku mtashangazwa kama ambavyo mlishangazwa 17/3.
Kile kikosi kazi cha demokrasia ni tofauti kabisa na ile Tume ya Warioba ya akina Polepole.
Zitto Kabwe na Mkandala hawawezi kushughulikia katiba mpya bali watakuwa wanapiga danadana na vikao vyao huku wakilipwa posho na Serikali.
Wanawafanyia watanzania dhambi kubwa sana.
CHADEMA endeleeni na harakati za kuidai katiba mpya kivyenu wananchi watawaelewa tu.
After all wananchi ndio wenye katiba.
Pia soma > Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya vyama vingi vya siasa
Maendeleo hayana vyama!