Baada ya kumsikiliza Profesa Mukandala, nakubaliana na CHADEMA kwamba wadai Katiba Mpya "kivyao"

Baada ya kumsikiliza Profesa Mukandala, nakubaliana na CHADEMA kwamba wadai Katiba Mpya "kivyao"

Kile kikosi kazi cha demokrasia ni tofauti kabisa na ile Tume ya Warioba ya akina Polepole.

Zitto Kabwe na Mkandala hawawezi kushughulikia katiba mpya bali watakuwa wanapiga danadana na vikao vyao huku wakilipwa posho na Serikali.

Wanawafanyia watanzania dhambi kubwa sana.

CHADEMA endeleeni na harakati za kuidai katiba mpya kivyenu wananchi watawaelewa tu.

After all wananchi ndio wenye katiba.

Pia soma > Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya vyama vingi vya siasa

Maendeleo hayana vyama!
Mkuu hebu tuelimishe na sisi wewe umeona ni sababu ipi hasa ni ya msingi ambayo kikosi kazi kimeitoa
 
Shime wananchi, katiba mpya ni lazima sasa.

Hawa wanufaika hawawezi kamwe kutuambia katiba mpya ni sasa.

Hao watu wanataka posho tu toka serikalini.

Wananchi walisha ulizwa na wakatoa maoni yao, msitufanye sisi majuha.

Ila Zito umejidhalilisha, ninakosa kukuamini tena.

Ila Ahmadi Rashidi nisha mziea ni mchumia tumbo toka zamani.

Zito umesha jipoteza kwa ushirika huu.

Tume hii inaiimarusha tu CHADEMA mana inaonekana wazi ndo inayobeba agenda za wananchi peke yake.
 
Kile kikosi kazi cha demokrasia ni tofauti kabisa na ile Tume ya Warioba ya akina Polepole.

Zitto Kabwe na Mkandala hawawezi kushughulikia katiba mpya bali watakuwa wanapiga danadana na vikao vyao huku wakilipwa posho na Serikali.

Wanawafanyia watanzania dhambi kubwa sana.

CHADEMA endeleeni na harakati za kuidai katiba mpya kivyenu wananchi watawaelewa tu.

After all wananchi ndio wenye katiba.

Pia soma > Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya vyama vingi vya siasa

Maendeleo hayana vyama!
Hicho ndicho kilichosahihi kukifanya,na kwa bahati mbaya hiyo ndiyo furaha ya CCM kutugawa na kutawaliwe.

Yote haya tunayoyaona ni premeditated, vyama vyote visivyo na mvuto wala kukubalika na Watanzania wenye akili wamewekwa kapu moja huku CCM wanapiga muziki beat soft wao Kazi yao kuimba na kucheza huku CCM wakila vinono.

Jambo hili ni kinyume na ubinadamu.

Upatikanaji Wa Katiba mpya upo mikononi mwa CHADEMA wakiungwa mkono na wananchi wazalendo huku wakipingwa na CCM na Mamluki wao.

Unafikiri nani mshindi?

Yaani kweli tusubiri tena uporaji kama ule Wa 2019&2020 ufanyike ndiyo tuandike Katiba mpya?

Seriously? Hapana,sitaki kuamini kama kuna Watanzania wataunga mkono pendekezo hilo.

Wakitaka tupige kura ya mlolongo tuone muitikio Wa wananchi.

Ushauri:Kwa kuwa uchaguzi Wa 2024/2025 umeshaibwa na CCM itapita bila kupingwa na wengine wamekubali kujisalimisha;

Tusiandae uchaguzi Wa SM na Uchaguzi Mkuu na badala yake tuwaache waendelea kutawala Ila waruhusu sisi wananchi kuendelea kuandika Katiba ili ikikamilika ndiyo tufanye chaguzi.

Vinginevyo hata tukisema uchaguzi ufanyike kwa Katiba hii mbovu matokeo yatawaleta CCM kutawala huku tukipata hasara ya fedha na muda Wa wananchi.

Sijasahau Mh Kikwete alipoahirisha mchakato Wa Katiba kupisha chaguzi za 2014&2015 alisema,"Twendeni kwenye uchaguzi na baada ya hapo mrithi wake aendeleze mchakato "Je,mrithi alipopatikana alisemaje?

CCM watawale nasi wananchi tuandike Katiba yetu mpya na Mara ikikamilika tunaanua Matanga rasmi.
 
Nchi imejaa unafki hii. Kwa hiyo Zitto nae anataka Katiba mpya baada ya 2025
 
Hicho ndicho kilichosahihi kukifanya,na kwa bahati mbaya hiyo ndiyo furaha ya CCM kutugawa tutawaliwe.Yote haya tunayoyaona ni premeditated, vyama vyote visivyo na mvuto wala kukubalika na wenye akili wamewekwa kapu moja,CCM wanapiga beat soft wao Kazi yao kuimba na kucheza huku CCM wakila vinono.Jambo hili ni kinyume na ubinadamu.
Upatikanaji Wa Katiba mpya upo mikononi mwa CHADEMA na wananchi wazalendo wakipingwa na CCM na Mamluki wake.
Unafikiri nani mshindi?
Yaani kweli tusubiri tens uporaji kama ule Wa 2019&2020 ufanyike ndiyo tuandike Katiba?
Ushauri:Kwa kuwa uchaguzi Wa 2024/2025 umeshaibwa na CCM itapita bila kupingwa na engine wamekubali kujisalimisha;Tusiandae uchaguzi Wa SM na Mkuu na badala take tuwaache waendelea kutawala Ila waruhusu sisi wananchi kuendelea kuandika Katiba ili,ikikamilika ndiyo tufanye chaguzi.Vinginevyo hata tukisema uchaguzi ufanyike kwa Katiba hii mbovu matokeo yatawaleta CCM kutawal huku tukipata hasara ya fedha na muda Wa wananchi.
CCM watawale nasi wananchi tuandike Katiba yetu mpya na Mara ikikamilika tunaanua Maganga.
Ninaamini hata Chadema hawawezi kutupatia katiba tunayoihitaji.

Kama tunafikiri kuna chama cha siasa kitatupatia katiba tunayoihitaji tunajidanganya..
 
Kile kikosi kazi cha demokrasia ni tofauti kabisa na ile Tume ya Warioba ya akina Polepole.

Zitto Kabwe na Mkandala hawawezi kushughulikia katiba mpya bali watakuwa wanapiga danadana na vikao vyao huku wakilipwa posho na Serikali.

Wanawafanyia watanzania dhambi kubwa sana.

CHADEMA endeleeni na harakati za kuidai katiba mpya kivyenu wananchi watawaelewa tu.

After all wananchi ndio wenye katiba.

Pia soma > Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya vyama vingi vya siasa

Maendeleo hayana vyama!
Zitto ni dalali mkuu wa CCM
 
Ukiona Chadema wamekataa au kuunga mkono kitu chochote, dont even think too much; those guys are smart, smart in thinking, smart on actions. Ukiona kitu kinashadadiwa sana na Zitto, please question it; hili ndio somo nililolifunza. Hamad Rashid niliisha mdharau miaka nenda rudi
Wote hao ni madalali wakubwa wa kisisasa
 
Zito amefikia malengo yake binafsi, na Rais amemhakikishia kuwa kwa miaka 9 atakuwa analipwa posho kama mjumbe wa kamati mchongo ya katiba.

Zito lengo lake kuu ni kuwepo kwenye payroll ya Serikali, na amekwishafanikiwa.
Mi nilitegemea hayo yaliyotokea ukiona hilo jambo Zitto yupo ujue hakuna kitu
 
Zito Zito Zito, upo peupe sasa.

Nilikuamini nilikuwa nakutegemea ila kwa hili, umeniangusha, na ACT umeivunja nguvu, itakosa uungwaji na watu makini.

Tambua wapinzani makini wote hawawezi kubaliana na wewe namna hii.

Sitaki kuamini kama wewe ni msaliti, naomba tu uniambie kwamba wamekutega uingie mtegoni.

Of all the leaders sikuweza kufikiri wewe unaweza kuzidiwa akili na CCM kirahisi hivi!

Ila binadamu ni binadamu, njaa ameumbiwa binadamu.
 
Katiba sio barua ya uchumba, kwamba unaamka unaweka tu.
 
Back
Top Bottom