johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Hahahaaaa.......!@Abdul Nondo
Eti anapambana na mfupa wa Putini?
Nchi watu hawako siriazi bali wako na njaa tu
Wenzake wanavuta posho za vikao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa.......!@Abdul Nondo
Eti anapambana na mfupa wa Putini?
Nchi watu hawako siriazi bali wako na njaa tu
Duh John kwa Nondo umeua🤣😂Nchi ngumu sana.
Watu washapata ajira bwashee.
Tena wazee watupu vijana akina Nondo wanapambana na Putin wasiyemjua mitandaoni!
Ndio wewe ulivyomuowa mkeo?Katiba sio barua ya uchumba, kwamba unaamka unaweka tu.
Usicheze na Zitto afu ukabakia salama, sasa hivi Zanzibar imetolewa kwenye hoja ya kuwa na Mamlaka kamili na yenyewe nayo imejiunga na CCM bara kudai Tume huru ya uchaguzi, yaani walau sisi tuna afadhali watanganyika tusio na vyama tunaodai Katiba mpya.Zito Zito Zito, upo peupe sasa.
Nilikuamini nilikuwa nakutegemea ila kwa hili, umeniangusha, na ACT umeivunja nguvu, itakosa uungwaji na watu makini.
Kumbe tutaipataje Sasa?Ninaamini hata Chadema hawawezi kutupatia katiba tunayoihitaji. Kama tunafikiri kuna chama cha siasa kitatupatia katiba tunayoihitaji tunajidanganya..
Tunamjua tangu akiwa kiongozi DARUSO, ni mwizi tu kama wezi wengineZitto kabwe ni dalali wa kisiasa
Kwanza mtu atakayemuani huyu Mukandala anatakiwa apimwe akili,huyu ndio alisema ule uchafuzi ulikuwa huru na haki,baada ya Mwendazake kufariki akaja na ripoti kwamba uchaguzi haukuwa huru.Mapropesa wamezidi sasa
Zitto amepata mradi wake jahahaHahahaaaa.......!
Wenzake wanavuta posho za vikao.
Hv ni nini haswa sababu ya misukule ya mbowe kuchukia Zitto?!!!!!!!!! Unajua sielewi kabisa!!Zitto kabwe ndio Yudas Iskarioti, msaliti wa wasaliti wa kizazi chetu
Mavi na mkojo wa ng'ombe uneua samaki.. Ze profesaaaMapropesa wamezidi sasa
HahaMavi na mkojo wa ng'ombe uneua samaki.. Ze profesaaa
Kwanza wao wenyewe hawajui hata walikuwa wanafanya nini zaidi ya posho na kwenda IkuluWameulizwa na mh Rais Samia, nchi jirani zina Tume Huru ya uchaguzi je hazina migogoro?
Wakabaki wanacheka cheka tu kwa aibu.
Ndiyo hawa wapuuziMavi na mkojo wa ng'ombe uneua samaki.. Ze profesaaa
Wote ni walafi sn Zitto na Nondo😃😃😃😃zitto nae mlafi wa madaraka hiyo ajira angemuachia Nondo angalau nae apate ka passo ka kutembelea
Zamani Nilikua nakataa kabisa Madai Haya Nikimuona Zitto kama Kijana Imara na mwenye Msimamo anaechukiwa kutokana na mafanikio yake Kisiasa.Zitto kabwe ni dalali wa kisiasa
Sure.Zitto kabwe ni dalali wa kisiasa
Prof.Mukandala hawezi kwenda kinyume na Matakwa ya Serikali hata siku Moja!Kile kikosi kazi cha demokrasia ni tofauti kabisa na ile Tume ya Warioba ya akina Polepole.
Zitto Kabwe na Mkandala hawawezi kushughulikia katiba mpya bali watakuwa wanapiga danadana na vikao vyao huku wakilipwa posho na Serikali.
Wanawafanyia watanzania dhambi kubwa sana.
CHADEMA endeleeni na harakati za kuidai katiba mpya kivyenu wananchi watawaelewa tu.
After all wananchi ndio wenye katiba.
Pia soma > Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya vyama vingi vya siasa
Maendeleo hayana vyama!