mzamifu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2010
- 6,400
- 3,853
Jamaa anajifanya kuuliza huku akijibu, bwashe bwana!Hahahaaaa...... Bwashee unauliza au unapigia jibu mstari!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa anajifanya kuuliza huku akijibu, bwashe bwana!Hahahaaaa...... Bwashee unauliza au unapigia jibu mstari!
Heri yako kuyatambua hayo.Nchi ngumu sana.
Watu washapata ajira bwashee.
Tena wazee watupu vijana akina Nondo wanapambana na Putin wasiyemjua mitandaoni!
Umeona uwezo wa Tume hii? Wameulizwa kaswali kadogo tu wanabaki wanaangaliana na kuchekeana.Wameulizwa na mh Rais Samia, nchi jirani zina Tume Huru ya uchaguzi je hazina migogoro?
Wakabaki wanacheka cheka tu kwa aibu.
Binafsi sijajiunga na chama cho chote hivi sasa ingawa awali nilikuwa mwanachama wa TANU baada ya kuwa TANU Youth League nikiwa shule.Kile kikosi kazi cha demokrasia ni tofauti kabisa na ile Tume ya Warioba ya akina Polepole.
Zitto Kabwe na Mkandala hawawezi kushughulikia katiba mpya bali watakuwa wanapiga danadana na vikao vyao huku wakilipwa posho na Serikali.
Wanawafanyia watanzania dhambi kubwa sana.
CHADEMA endeleeni na harakati za kuidai katiba mpya kivyenu wananchi watawaelewa tu.
After all wananchi ndio wenye katiba.
Pia soma > Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya vyama vingi vya siasa
Maendeleo hayana vyama!
Tume kama ile ya Mto Mara🤣🤣🤣Umeona uwezo wa Tume hii? Wameulizwa kaswali kadogo tu wanabaki wanaangaliana na kuchekeana.
Hii nchi kwa usanii huu kusonga mbele ni ndoto - demokrasia ni mdau mkuu wa maendeleo ya nchi. Demokrasia hutegeneza nation identity, you move together, you savive together, you die together na KATIBA itokanayo na wananchi ndiyo funguo ya demokrasia hiyo.
Tanzania sisi bado tunaona demokrasia ni takwa la nchi zilizoendelea sisi halituhusu.
Zitto hajielewi.Maza anamwambia chama kimeparaganyika.... Yeye anatabasamu tu.
Na kashawambia watafute Pesa kwingine wasimendee rukuzu zake🤣🤣Zitto hajielewi.Maza anamwambia chama kimeparaganyika.... Yeye anatabasamu tu. Anafurahia kuwa hapo. Labda ni posho za kamati hizo. Mwenye shamba keshatoa masharti yake.
Kile kikosi kazi cha demokrasia ni tofauti kabisa na ile Tume ya Warioba ya akina Polepole.
Zitto Kabwe na Mkandala hawawezi kushughulikia katiba mpya bali watakuwa wanapiga danadana na vikao vyao huku wakilipwa posho na Serikali.
Wanawafanyia watanzania dhambi kubwa sana.
CHADEMA endeleeni na harakati za kuidai katiba mpya kivyenu wananchi watawaelewa tu.
After all wananchi ndio wenye katiba.
Pia soma > Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya vyama vingi vya siasa
Maendeleo hayana vyama!
Kile kikosi kazi cha demokrasia ni tofauti kabisa na ile Tume ya Warioba ya akina Polepole.
Zitto Kabwe na Mkandala hawawezi kushughulikia katiba mpya bali watakuwa wanapiga danadana na vikao vyao huku wakilipwa posho na Serikali.
Wanawafanyia watanzania dhambi kubwa sana.
CHADEMA endeleeni na harakati za kuidai katiba mpya kivyenu wananchi watawaelewa tu.
After all wananchi ndio wenye katiba.
Pia soma > Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya vyama vingi vya siasa
Maendeleo hayana vyama!
Nenda shule dogo na kama ni mtu mzima somesha watoto wako.Nchi inaelekezwa kwenye uozo kila kukicha.
Maprofesa mnajiaibisha kila kukicha.
Zitto kabwe ni dalali wa kisiasa
Hii nchi bahati yetu mbaya,kila kiongozi ajaye na vituko vyake.Duh!
Kwa hiyo hii ndiyo iwe sababu ya sisi kutokuwa na "Tume Huru"?
Lakini pengine sijakuelewa wewe, maana ya kuweka haya maneno hapa. Una maana rais haoni sababu ya kuwepo kwa Tume Huru, kwa vile haiondoi migogoro?
Sasa rais anataka iweje: tuendelee tu na tume hiyo hiyo iliyopo sasa, kwa vile haijasababisha uwepo wa migogoro hapa? Hivyo ndivyo anavyoamini rais?
Nchi ngumu sana.
Watu washapata ajira bwashee.
Tena wazee watupu vijana akina Nondo wanapambana na Putin wasiyemjua mitandaoni!
Siyo kweli bwashee, wakati mwingine wanapinga tu vitu ili waonekane ni wapinzani.Ukiona Chadema wamekataa au kuunga mkono kitu chochote, dont even think too much; those guys are smart, smart in thinking, smart on actions.
Bwashee hilo dongo ulilomrushia mkuu Nondo nadhani hatalisahau mpaka kufa kwake: sasa kweli Nondo apambane na Putin 😂😂Tena wazee watupu vijana akina Nondo wanapambana na Putin wasiyemjua mitandaoni!
Upinzani hauna uCCM wala uCHADEMA Bali ni hulka ya binadamu timamu kutofautiana na binadamu mwenzake.Siyo kweli bwashee, wakati mwingine wanapinga tu vitu ili waonekane ni wapinzani. Chadema siyo watu wa kuwaendekeza hata kidogo.
Inaelekea Wazenji wameridhika baada ya kuona Maza yuko hapo.Usicheze na Zitto afu ukabakia salama, sasa hivi Zanzibar imetolewa kwenye hoja ya kuwa na Mamlaka kamili na yenyewe nayo imejiunga na CCM bara kudai Tume huru ya uchaguzi, yaani walau sisi tuna afadhali watanganyika tusio na vyama tunaodai Katiba mpya.
Poleni wanzanzibar, hatuna namna ya kuwasaidia - kupanga ni kuchagua.