Man from cuba
JF-Expert Member
- May 2, 2021
- 571
- 1,394
😃😃😃😃zitto nae mlafi wa madaraka hiyo ajira angemuachia Nondo angalau nae apate ka passo ka kutembelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hebu tuelimishe na sisi wewe umeona ni sababu ipi hasa ni ya msingi ambayo kikosi kazi kimeitoaKile kikosi kazi cha demokrasia ni tofauti kabisa na ile Tume ya Warioba ya akina Polepole.
Zitto Kabwe na Mkandala hawawezi kushughulikia katiba mpya bali watakuwa wanapiga danadana na vikao vyao huku wakilipwa posho na Serikali.
Wanawafanyia watanzania dhambi kubwa sana.
CHADEMA endeleeni na harakati za kuidai katiba mpya kivyenu wananchi watawaelewa tu.
After all wananchi ndio wenye katiba.
Pia soma > Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya vyama vingi vya siasa
Maendeleo hayana vyama!
Hicho ndicho kilichosahihi kukifanya,na kwa bahati mbaya hiyo ndiyo furaha ya CCM kutugawa na kutawaliwe.Kile kikosi kazi cha demokrasia ni tofauti kabisa na ile Tume ya Warioba ya akina Polepole.
Zitto Kabwe na Mkandala hawawezi kushughulikia katiba mpya bali watakuwa wanapiga danadana na vikao vyao huku wakilipwa posho na Serikali.
Wanawafanyia watanzania dhambi kubwa sana.
CHADEMA endeleeni na harakati za kuidai katiba mpya kivyenu wananchi watawaelewa tu.
After all wananchi ndio wenye katiba.
Pia soma > Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya vyama vingi vya siasa
Maendeleo hayana vyama!
Zitto hana njia nyingine yoyote ya mapato zaidi ya haya mambo ya siasa.😃😃😃😃zitto nae mlafi wa madaraka hiyo ajira angemuachia Nondo angalau nae apate ka passo ka kutembelea
Ninaamini hata Chadema hawawezi kutupatia katiba tunayoihitaji.Hicho ndicho kilichosahihi kukifanya,na kwa bahati mbaya hiyo ndiyo furaha ya CCM kutugawa tutawaliwe.Yote haya tunayoyaona ni premeditated, vyama vyote visivyo na mvuto wala kukubalika na wenye akili wamewekwa kapu moja,CCM wanapiga beat soft wao Kazi yao kuimba na kucheza huku CCM wakila vinono.Jambo hili ni kinyume na ubinadamu.
Upatikanaji Wa Katiba mpya upo mikononi mwa CHADEMA na wananchi wazalendo wakipingwa na CCM na Mamluki wake.
Unafikiri nani mshindi?
Yaani kweli tusubiri tens uporaji kama ule Wa 2019&2020 ufanyike ndiyo tuandike Katiba?
Ushauri:Kwa kuwa uchaguzi Wa 2024/2025 umeshaibwa na CCM itapita bila kupingwa na engine wamekubali kujisalimisha;Tusiandae uchaguzi Wa SM na Mkuu na badala take tuwaache waendelea kutawala Ila waruhusu sisi wananchi kuendelea kuandika Katiba ili,ikikamilika ndiyo tufanye chaguzi.Vinginevyo hata tukisema uchaguzi ufanyike kwa Katiba hii mbovu matokeo yatawaleta CCM kutawal huku tukipata hasara ya fedha na muda Wa wananchi.
CCM watawale nasi wananchi tuandike Katiba yetu mpya na Mara ikikamilika tunaanua Maganga.
Zitto alikorifishana na Habib Mchange kwa sababu hizi hizo za kupora michongo ya vijana!😃😃😃😃zitto nae mlafi wa madaraka hiyo ajira angemuachia Nondo angalau nae apate ka passo ka kutembelea
Zitto ni dalali mkuu wa CCMKile kikosi kazi cha demokrasia ni tofauti kabisa na ile Tume ya Warioba ya akina Polepole.
Zitto Kabwe na Mkandala hawawezi kushughulikia katiba mpya bali watakuwa wanapiga danadana na vikao vyao huku wakilipwa posho na Serikali.
Wanawafanyia watanzania dhambi kubwa sana.
CHADEMA endeleeni na harakati za kuidai katiba mpya kivyenu wananchi watawaelewa tu.
After all wananchi ndio wenye katiba.
Pia soma > Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya vyama vingi vya siasa
Maendeleo hayana vyama!
Wanasema ni Abdul wa kwanza kutomsapoti MrusiNchi ngumu sana.
Watu washapata ajira bwashee.
Tena wazee watupu vijana akina Nondo wanapambana na Putin wasiyemjua mitandaoni!
Ana shamba la mikorosho Mtwara.Zitto hana njia nyingine yoyote ya mapato zaidi ya haya mambo ya siasa.
Zitto haaminiki hata kidogoSi mlikua mnawacheka chadema kususa, kikosi kazi washapewa kazi ya kudumu
Wote hao ni madalali wakubwa wa kisisasaUkiona Chadema wamekataa au kuunga mkono kitu chochote, dont even think too much; those guys are smart, smart in thinking, smart on actions. Ukiona kitu kinashadadiwa sana na Zitto, please question it; hili ndio somo nililolifunza. Hamad Rashid niliisha mdharau miaka nenda rudi
Mi nilitegemea hayo yaliyotokea ukiona hilo jambo Zitto yupo ujue hakuna kituZito amefikia malengo yake binafsi, na Rais amemhakikishia kuwa kwa miaka 9 atakuwa analipwa posho kama mjumbe wa kamati mchongo ya katiba.
Zito lengo lake kuu ni kuwepo kwenye payroll ya Serikali, na amekwishafanikiwa.
Wameulizwa na mh Rais Samia, nchi jirani zina Tume Huru ya uchaguzi je hazina migogoro?Mkuu hebu tuelimishe na sisi wewe umeona ni sababu ipi hasa ni ya msingi ambayo kikosi kazi kimeitoa
@Abdul NondoNchi ngumu sana.
Watu washapata ajira bwashee.
Tena wazee watupu vijana akina Nondo wanapambana na Putin wasiyemjua mitandaoni!