Baada ya kumsikiliza Profesa Mukandala, nakubaliana na CHADEMA kwamba wadai Katiba Mpya "kivyao"

Eti Zitto, kwani nani aliwaambia Zitto anaaminika?

Tokea lini?

Acheni ujinga, na bado mkome kabisa.
 
Halafu mtu anajiganya mwenye shamba kwenye suala la katiba mpya kama vile katiba ni yake au ya chama chake, aibu kabisa.
 

Profesa Mukandala,, wenzako Wameshakula nchi wakatangulia kwa Malaika, Wewe unasubiri nini?​

 

Ili kupata Katiba Mpya ni Nani wa kuamua wananchi wanataka katiba mpya au la?​

Ni Rais au ni wananchi?​

 

Tuungane kuwakataa wahuni
 
Kuna siku mtashangazwa kama ambavyo mlishangazwa 17/3.
Viashiria vyote sasa vinaonekana.

Mtemi Hangaya keshaja kiburi/jeuri vilevile, anajipanga kutawala milele vilevile.

Ninazidi kuamini kuwa karibu sana TUTASHANGAZWA.
 

Kikosi cha mafisi , mkandala ni opportunist Hatari akifuatiwa Na Zito, Nchi hii Ina safari ndefu sana
 
Zitto kabwe ni dalali wa kisiasa
Miaka mingi sana mbona.

Just imagine angepata uenyekiti wa CHADEMA enzi zile anausaka kwa kila namna, unadhani upinzani in general ungekuwepo Tanzania?

Tungeshasahau, kama tunavyomsahau Mrema
 
Once again Tanzanian professers living up to reputation- nothing good can come from the dump yard/jalalani lot.
 
Umemalizia vizuri sana,' Wananchi ndo wenye Katiba.'
 
Halafu mtu anajiganya mwenye shamba kwenye suala la katiba mpya kama vile katiba ni yake au ya chama chake, aibu kabisa.
Shamba ni la Watanzania,walilirithi toka kwa Mababu na walipoporwa na Wakoloni weupe walipambana hadi wakalikomboa mwaka 1961?Baada ya hapo likaanza kumegwa taratibu na mkoloni mweusi TANU&ASP na hatimaye CCM wakajirithisha shamba kwa mlango wa nyuma kwa kutumia Katiba hasa ya 1977,Sasa wanajidai wao ndiyo wenye shamba na wananchi(Mwenye Shamba Halali) awaombe mavuno ama akitaka kubadili utaratibu wa uendeshaji shamba mnampangia?
Mwenye shamba(Tanzania) ni Watanzania/wananchi na vyama/serikali ni wapangaji hivyo wasitupangie wakati gani tuandike katiba/mkataba na mpangaji na vigezo vya upangaji hawastahili kutupangia.
 
Hivi kweli andiko hili ni lako bwashee? Siamini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…