Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kile kikosi kazi cha demokrasia ni tofauti kabisa na ile Tume ya Warioba ya akina Polepole.
Zitto Kabwe na Mkandala hawawezi kushughulikia katiba mpya bali watakuwa wanapiga danadana na vikao vyao huku wakilipwa posho na Serikali.
Wanawafanyia watanzania dhambi kubwa sana.
CHADEMA endeleeni na harakati za kuidai katiba mpya kivyenu wananchi watawaelewa tu.
After all wananchi ndio wenye katiba.
Pia soma > Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya vyama vingi vya siasa
Maendeleo hayana vyama!

Mnafiki tu huyu siku hizi. Achana naye

Ni wote!Ili kupata Katiba Mpya ni Nani wa kuamua wananchi wanataka katiba mpya au la?
Ni Rais au ni wananchi?
Viashiria vyote sasa vinaonekana.Kuna siku mtashangazwa kama ambavyo mlishangazwa 17/3.
Ila Joni una Majungu Sana ha haaaaa umenifanya nicheke mpk kutaka kuanguka fala Sana we jamaaNchi ngumu sana.
Watu washapata ajira bwashee.
Tena wazee watupu vijana akina Nondo wanapambana na Putin wasiyemjua mitandaoni!
Hasira hizi Wazee wa ramli siku wanaenda kwa wajukuu wa shekh Yahya kumaliza kazi hawataki kuwa Kama Hamza...Kuna siku mtashangazwa kama ambavyo mlishangazwa 17/3.
Kile kikosi kazi cha demokrasia ni tofauti kabisa na ile Tume ya Warioba ya akina Polepole.
Zitto Kabwe na Mkandala hawawezi kushughulikia katiba mpya bali watakuwa wanapiga danadana na vikao vyao huku wakilipwa posho na Serikali.
Wanawafanyia watanzania dhambi kubwa sana.
CHADEMA endeleeni na harakati za kuidai katiba mpya kivyenu wananchi watawaelewa tu.
After all wananchi ndio wenye katiba.
Pia soma > Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya vyama vingi vya siasa
Maendeleo hayana vyama!
Miaka mingi sana mbona.Zitto kabwe ni dalali wa kisiasa
Umemalizia vizuri sana,' Wananchi ndo wenye Katiba.'Kile kikosi kazi cha demokrasia ni tofauti kabisa na ile Tume ya Warioba ya akina Polepole.
Zitto Kabwe na Mkandala hawawezi kushughulikia katiba mpya bali watakuwa wanapiga danadana na vikao vyao huku wakilipwa posho na Serikali.
Wanawafanyia watanzania dhambi kubwa sana.
CHADEMA endeleeni na harakati za kuidai katiba mpya kivyenu wananchi watawaelewa tu.
After all wananchi ndio wenye katiba.
Pia soma > Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya vyama vingi vya siasa
Maendeleo hayana vyama!
Shamba ni la Watanzania,walilirithi toka kwa Mababu na walipoporwa na Wakoloni weupe walipambana hadi wakalikomboa mwaka 1961?Baada ya hapo likaanza kumegwa taratibu na mkoloni mweusi TANU&ASP na hatimaye CCM wakajirithisha shamba kwa mlango wa nyuma kwa kutumia Katiba hasa ya 1977,Sasa wanajidai wao ndiyo wenye shamba na wananchi(Mwenye Shamba Halali) awaombe mavuno ama akitaka kubadili utaratibu wa uendeshaji shamba mnampangia?Halafu mtu anajiganya mwenye shamba kwenye suala la katiba mpya kama vile katiba ni yake au ya chama chake, aibu kabisa.
Hivi kweli andiko hili ni lako bwashee? Siamini!Kile kikosi kazi cha demokrasia ni tofauti kabisa na ile Tume ya Warioba ya akina Polepole.
Zitto Kabwe na Mkandala hawawezi kushughulikia katiba mpya bali watakuwa wanapiga danadana na vikao vyao huku wakilipwa posho na Serikali.
Wanawafanyia watanzania dhambi kubwa sana.
CHADEMA endeleeni na harakati za kuidai katiba mpya kivyenu wananchi watawaelewa tu.
After all wananchi ndio wenye katiba.
Pia soma > Ikulu, Dar es Salaam: Rais Samia apokea taarifa ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya wadau wa Demokrasia ya vyama vingi vya siasa
Maendeleo hayana vyama!
WAJAMENI, Labda ndio anarudi kundini hivyo.Hivi ni wewe au umedukiliwa?[emoji23][emoji23][emoji23] all in all safi sana kwa mawazo yako mkuu
Tutaendelea kuwa elimisha
Siasa za Tanzania chini ya ccm ni hatari.