Ignorance ya watanzania ni mtaji mkubwa sana kwa CCM kuendelea kutawala nchi hii.Jambo baya zaidi ni wananchi kudhani/kuhisi/ kufikiri kuwa suala la Katiba mpya ni la CHADEMA.....
Elimu Elimu Elimu
Ilye ta warioba ni the best na imebalance kila kitu. Kama mtu ana nia njema na Taifa hili kwa sasa na baadae basi tuanzie paleMimi binafsi sitaki marekebisho ya katiba iliyopn..
cha msingi tupate katiba mpya ile ya warioba kabla haijachakuchuliwa...
Asante sana!Ukiona Chadema wamekataa au kuunga mkono kitu chochote, dont even think too much; those guys are smart, smart in thinking, smart on actions.
Ukiona kitu kinashadadiwa sana na Zitto, please question it; hili ndio somo nililolifunza.
Hamad Rashid niliisha mdharau miaka nenda rudi
Ni kweli, ajenda ya Katiba Mpya haikupaswa kuwa ya CHADEMA ni ajenda ya watu.Ignorance ya watanzania ni mtaji mkubwa sana kwa CCM kuendelea kutawala nchi hii.
Bwashee taja mambo walau 2 au 3 ambayo Chadema walipinga kwa kupinga pinga tu. Ukitaja, mimi nitakutajia baadhi ya mambo ambayo ccm wame copy kutoka kwao na wanayafanyaSiyo kweli bwashee, wakati mwingine wanapinga tu vitu ili waonekane ni wapinzani.
Chadema siyo watu wa kuwaendekeza hata kidogo.
Nitajie jambo angalau moja linalofanywa na serikali ambalo chadema wanaliunga mkono.Bwashee taja mambo walau 2 au 3 ambayo Chadema walipinga kwa kupinga pinga tu. Ukitaja, mimi nitakutajia baadhi ya mambo ambayo ccm wame copy kutoka kwao na wanayafanya