Baada ya kumsikiliza Profesa Mukandala, nakubaliana na CHADEMA kwamba wadai Katiba Mpya "kivyao"

Baada ya kumsikiliza Profesa Mukandala, nakubaliana na CHADEMA kwamba wadai Katiba Mpya "kivyao"

Jambo baya zaidi ni wananchi kudhani/kuhisi/ kufikiri kuwa suala la Katiba mpya ni la CHADEMA.....

Elimu Elimu Elimu
Ignorance ya watanzania ni mtaji mkubwa sana kwa CCM kuendelea kutawala nchi hii.
 
Mimi binafsi sitaki marekebisho ya katiba iliyopn..
cha msingi tupate katiba mpya ile ya warioba kabla haijachakuchuliwa...
Ilye ta warioba ni the best na imebalance kila kitu. Kama mtu ana nia njema na Taifa hili kwa sasa na baadae basi tuanzie pale
 
Ukiona Chadema wamekataa au kuunga mkono kitu chochote, dont even think too much; those guys are smart, smart in thinking, smart on actions.

Ukiona kitu kinashadadiwa sana na Zitto, please question it; hili ndio somo nililolifunza.

Hamad Rashid niliisha mdharau miaka nenda rudi
Asante sana!
 
Ignorance ya watanzania ni mtaji mkubwa sana kwa CCM kuendelea kutawala nchi hii.
Ni kweli, ajenda ya Katiba Mpya haikupaswa kuwa ya CHADEMA ni ajenda ya watu.

Lakini Watanzania wameaminishwa kuwa Katiba Mpya ni kwa ajili ya CHADEMA.

Ikija referendum ni wazi kuwa bado unahitaji ushawishi wa Chama tawala kama chama kuwaambia wananchi wanachopaswa kufanya.

Uanzishwaji wa mchakato mzima wa katiba mpya pia unabaki mikononi mwa Serikali na chama tawala.

Mheshimiwa rais amesema wananchi bado hawana upeo juu ya masuala ya elimu ya uraia, yupo sahihi sana.

Hatima ipo mikononi mwa chama tawala, uzuri walau mama ameonyesha mwanga.
 
Siyo kweli bwashee, wakati mwingine wanapinga tu vitu ili waonekane ni wapinzani.

Chadema siyo watu wa kuwaendekeza hata kidogo.
Bwashee taja mambo walau 2 au 3 ambayo Chadema walipinga kwa kupinga pinga tu. Ukitaja, mimi nitakutajia baadhi ya mambo ambayo ccm wame copy kutoka kwao na wanayafanya
 
Mm hapa Tz Prof Namheshimu Shivji Tu wengine hawa akina Mayele Ndio Akina Mukandara ndio wanajiita majalalani....
 
Zito kabwe ni mwanasiasa ambaye haeleweki yuko upande gani, ni mwanasiasa ambae haaminiki kiangalau
 
Bwashee taja mambo walau 2 au 3 ambayo Chadema walipinga kwa kupinga pinga tu. Ukitaja, mimi nitakutajia baadhi ya mambo ambayo ccm wame copy kutoka kwao na wanayafanya
Nitajie jambo angalau moja linalofanywa na serikali ambalo chadema wanaliunga mkono.
 
Back
Top Bottom