Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Kelele zipo kidogo za chura, ndege, ngedere tuu.Hii naona nzuri hakuna kelele mfano usiku nikiwa muumini wa Meditation?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kelele zipo kidogo za chura, ndege, ngedere tuu.Hii naona nzuri hakuna kelele mfano usiku nikiwa muumini wa Meditation?
Shukrani Chief.Kelele zipo kidogo za chura, ndege, ngedere tuu.
Kuna kitu kinaitwa self esteeme... Yaaaaani umeicrush nyang'anyang'a..
Kumbuka mkuu tunajadili hoja ya upande mmoja tu, hatujamsikiliza mume.Sijaelewa kwanini kwenye huu Uzi watu wengi wanamlaumu mleta mada wakati tatizo limeanzia kwa mwanaume.
Kukosa huo uwezo wa kumridhisha sio tatizo shida ni huyo mwanaume kuwa anatoka nje tena bila heshima. Kwamba mwanamke ndo Hana hisia hata asimuulize au ndo asiwe na panic button jamani. We dada hongera sana kwa uvumilivu endelea kuvumilia maana wanasema ndoa inahitaji uvumilivu
Kwa hyo akimkubali mungu atapiga zaid ya kimoja ?Madhara ya kumkataa Mungu
[emoji23][emoji23]Kwa hyo akimkubali mungu atapiga zaid ya kimoja ?
Bro niko tayari sasa.Ukiwa tayari nitaweka namba ya moja ya tour guide wa pale. Ili kuwauliza zaidi na kuweka reservation mfano ya tent.
PS: Kama unapenda sport fishing (kuvua samaki) pia ipo.
We jamaa ukiamua umeamuaBro niko tayari sasa.
Nisogezee namba nichekiane nao nijue kama bei zimeshabadilika na taratibu mwingine.
Kajinga! Haki nimechekaaaa!Dadangu umeharibu sana mm pia nliwahi kuambiwa hivo nna mwaka wa nne tunasex mda wa kutafta watoto tu.
Nje napiga show za kueleweka sana
Iko hivi wanawake mnakosaga mvuto sababu mmeo anakuona ukiwa na dela hujaoga hujapaka mekup.
Ni wanawake wachache sana wanaelewa namna ya kuishi na mme.
Siri kubwa ni kuwahi sana kuamka kabla ya mtu yyt hapo kwako then ufanye majuku yako mapema jamaa bado kalala ukimaliza ingia uoge jipake unukie mida ya saa 12 mtengee supu ama chai akiwa kitandani, nakwambia kabla ya chai utaliwa wewe kwanza ndo baadae chai.
Sasa wanawake hujipamba mnapoenda sokoni na kazini, mkiwa home mnajiachia
Nakazia Sana ujumbe wako mkuu.Hawa wasipokuwa makini watakuja kuumizana siku mojaHata yeye anajua kua hakuridhishi ila hiyo kumtamkia waziwazi imemuumiza sana.
Hata kama hakupi mkuyenge inavyotakikana kuna namna anaweza kukufikisha(kama ni mtundu na sio mvivu).
Ila bahati mbaya hiyo ndoa inaonekana mnakomoana sana, huyu akifanya kisanga hiki wewe unajibu kwa kisanga kile.
Bila mmoja wenu kujishusha mtaja uana nyie.
Binadamu ataongea ukweli kwenye mazingira 2.Iko hivi mr alikuwa mtu wa kuchat na wanawake mara kwa mara sms za mapenzi. Kwa madai yake ni hulka yake tu lkn hafanyi nao mapenzi. Ni kitu kimekuwa cha miaka sasa, unakemea anaacha baada ya muda anaendelea tena
Kuna siku nikakuta anachati na mdada tunafahamiana kabisa tena sms za mapenzi wakati huo mimi ndani tunamaliza hata mwezi bila kusex iliniuma sana nikajikuta namtakia neno hili.
Nanukuu
Kwanini unaniabisha hivi tangu umenioa haujawahi kuniridhisha unafanya dakika 1 umemaliza mimi ni mkeo nakupenda nimekubali udhaifu wako.
Huyo wa nje unafikiri atakufichia hii aibu? Au ndio atakutangaza tuaibike mtaani? Baada ya kumwambia hivyo alisitisha tendo nadhani mpaka sasa miez 4 bila bila anadai baada ya kumwambia hivyo hisia na mimi zilikata haoni kama tunaweza fanya chochote.
Je, nifanyeje? Mi hasira zilinipanda mtu ndani sex unapimiwa halafu kutwa ni kuchat na wanawake tu.