Baada ya kumwambia mume wangu haniridhishi, kasitisha kufanya tendo la ndoa na mimi kabisa

Anapiga Kimoja usiku na asubuhi kimoja??? Au Kimoja halafu teeh!!....je? Anatumia kilevi..fegi..gahwa??unampikia chakula aina gani? Je?anakunywa maji asubuhi na ya kutosha????mkiwa kitandani alfajiri mazingira yakoje?mnajifunika shuka moja?na kama ndio ukimsogezea makalio nini kinatokea????
 
Kuna kitu kinaitwa self esteeme... Yaaaaani umeicrush nyang'anyang'a..
Kumbuka mkuu tunajadili hoja ya upande mmoja tu, hatujamsikiliza mume.

Mambo kama haya ukitaka kuwa "hakimu" mzuri, sharti uyasikilize pande zote.

Huyu mleta mada kasema machache sana ya upande wake, ndiyo hulka ya binadamu hiyo.

Je dosari zake akiwa ni mchafu kwa mfano na hana maneno ya kimahaba wawapo na mumewe?

Unategemea mume atasema "kajisafishe"shurely?

Nini maana ya kuchezwa unyago kwa mabinti?

Huyu anaonekana ana dosari nyingi sana hasa zitokanazo na kauli pamoja na kutokutimiza wajibu wa mke hasa kitandani.

Kupiga ki1 mara nyingi husababishwa na sababu nilizozieleza.

Yaani mtu anayafanya mapenzi ili kutimiza wajibu huku hisia kavurugwa, unadhani anaweza kukaa kwenye kinena cha mwanamke masaa mangapi?

Huyo jamaa kuna sehemu anapiga shoo mpaka anabanduliwa kwa nguvu na anaogopeka kitandani trust me.

Tungekuwa na uwezo wa kusikiliza pande zote, saazingine huyu mleta mada ndiye angelipatikana na "hatia"!
 
Situation ya mume wa huyo dada ndio nayopitis Mimi kwa Sasa.

Mtu wangu ana malalamiko 50 na Kenda.

Stimu na yeye zimekatika kabisa.

Nikiwa nashughulikia ni malalamiko kwa kwenda mbele yaani Haina mzuka kabisa. Inafika stage unaanza jihisi una upungufu wa nguvu za kiume.

Nikitoka gemu za pembeni unapiga mzigo safi kabisa hadi unajikubali.

Ukirudi kwake tabu tupu.

Stimu na yeye zimeniisha najaribu kuzirudisha haziji tabu tupu.

Hivi inawezakana ukawa unaempenda mtu ila hisia za ngono nae zimekatika[emoji1].

Damn Wanawake acheni makelele hakuna mwanaume anaependa mwanamke mpiga makelele Kila wakati

Mnatutoa mood sana hamjui tu.

Wanaume TUNAPENDA UTULIVU Wa NAFSI, AKILI na KIMWILI.

Ukishakuwa mpiga makelele halafu unajiona uko sahihi hata kama una makosa wewe kwakweli utaua uhusiano wako wewe mwenyewe
 
Ukiwa tayari nitaweka namba ya moja ya tour guide wa pale. Ili kuwauliza zaidi na kuweka reservation mfano ya tent.

PS: Kama unapenda sport fishing (kuvua samaki) pia ipo.
Bro niko tayari sasa.
Nisogezee namba nichekiane nao nijue kama bei zimeshabadilika na taratibu mwingine.
 
Huna Lugha nzuri!

Ulikua unaweza kufikisha Ujumbe wako bila kutumia maneno ya kuudhi...!

Sasa sijui kati yako na Mumeo, nani anamwaibisha mwenzake..!?
 
Kajinga! Haki nimechekaaaa!
 
Nakazia Sana ujumbe wako mkuu.Hawa wasipokuwa makini watakuja kuumizana siku moja
 
Binadamu ataongea ukweli kwenye mazingira 2.

1. Akiwa amelewa
2. Akiwa na hasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…