Baada ya kunikula kanichunia

Mnatuchanganya

Na asilimia1 wanaoana hawajavuana nguo
.
Mimi na mke wangu hatukuvuana nguo kabla ya ndoa. Mungu shahidi yangu ananiona, sina haja ya kudanganya.
.
Inawezekana mkiamua kwa dhati ya moyoni.
 
.
Mimi na mke wangu hatukuvuana nguo kabla ya ndoa. Mungu shahidi yangu ananiona, sina haja ya kudanganya.
.
Inawezekana mkiamua kwa dhati ya moyoni.

Kwa dunia ya sasa lazima tukuchungulie haswa kwa jinsia ya kiume wengi wanakimbilia kuoa chapchap wakificha siri zao

Mtu unakaa nae mwaka hajawai zungumzia hata suala la sex lazima ujiulize Are you human being kweli???

Anyway hata mimi nilisema siliwi mpk ndoa ila nishaliwa kikubwa nina afya njema
 
.
Hata kama hatukufanya sio kwamba maongezi ya kuchombezana ya hapa na pale hayakuwepo. Bila hivyo wife si angeniona hanithi sasa?!
.
Ulikua na msimamo mzuri ila ukashindwa kuusimamia, it's ok yalishapita. Kama hujaolewa usirudie makosa, kaza usiliwe kabla ya ndoa.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]….. sawaa
 
Kama unampenda si umwambie bibie
 
Una achana naye tu tatizo mnachagua watu wenye sifa ndio hao hampendi uhalisia wa mtu matokeo yake ndio hayo
 
.
Hili jina lako hili...mama halafu mzungu, unaonekana mzoefu wa mambo kabisa wewe...kurubembe...nyani zee zee....

Mbona wewe jina lako la Rungu afu la Bwana halikusadifu[emoji276][emoji276]
 
Una achana naye tu tatizo mnachagua watu wenye sifa ndio hao hampendi uhalisia wa mtu matokeo yake ndio hayo

Hatuwezi tukawa na kila mtu inakubidi umchague mmoja wa kuwa nae so hayo mengine ni hitilafu tu zinazotokea kwenye mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…