Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukioa ndio hatukinai?.
Usimvulie mwanaume nguo kabla ya ndoa, kuna sababu kwanini Mungu aliagiza usizini kabla ya ndoa.
.
Iko hivi, wanaume tuna hali ya kukinai tukishakuchojoa nguo, ndio kinachokutokea sasa. Sasa kama hakuwa na lengo la kuwa na wewe, imekula kwako.
.Mnatuchanganya
Na asilimia1 wanaoana hawajavuana nguo
.
Kwanza hum hakuna bikra hii ni chai au tangazo
.
Mimi na mke wangu hatukuvuana nguo kabla ya ndoa. Mungu shahidi yangu ananiona, sina haja ya kudanganya.
.
Inawezekana mkiamua kwa dhati ya moyoni.
.Kwa dunia ya sasa lazima tukuchungulie haswa kwa jinsia ya kiume wengi wanakimbilia kuoa chapchap wakificha siri zao
Mtu unakaa nae mwaka hajawai zungumzia hata suala la sex lazima ujiulize Are you human being kweli???
Anyway hata mimi nilisema siliwi mpk ndoa ila nishaliwa kikubwa nina afya njema.
.
Hata kama hatukufanya sio kwamba maongezi ya kuchombezana ya hapa na pale hayakuwepo. Bila hivyo wife si angeniona hanithi sasa?!
.
Ulikua na msimamo mzuri ila ukashindwa kuusimamia, it's ok yalishapita. Kama hujaolewa usirudie makosa, kaza usiliwe kabla ya ndoa.
.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]….. sawaa
Kama unampenda si umwambie bibieKama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu.
Huyu kaka tumekuwa na mahusiano kwa zaidi ya mwaka na miezi 8 kwa jina lake ni Frank, kwa wale mliofuatilia nyuzi zangu za nyuma Frank ndiyo huyo mchaga ambae hayuko romantic. Kama nilivyowaambia mwanzo hatujawahi kukulana mpaka mwezi uliyopita ndiyo tulifanikiwa kukulana.
Nikiwa nimetimiza miaka 25 mwezi uliopita niliona siyo mbaya kumtunuku ninayemwita mpenzi wangu Frank. Hata yeye alifurahi maana ndiyo mwanaume wa kwanza kunikula (kanibikiri), akaniahidi ahadi kedekede. Basi ndiyo hivyo kaniingiza kwenye ulimwengu wa mapenzi.
Sasa ndugu zangu mimi ndiyo bikira yangu ishaenda na maji na mwanaume kanichunia. Baada ya tendo alionesha kunijali kama wiki mbili hivi baada ya hapo akasafiri kwenda mahali fulani ndiyo mambo yakarudi kama mwanzo, hanitafuti mpaka nimuanze. Mara ya mwisho nilimtumia sms kumuuliza kama amesharudi akaninyamazia hakunijibu
Tangu hapo sikumtafuta, baada ya kama wiki moja akanitumia sms kunijulia hali nami sikumjibu na wala sikuifungua mpaka hivi leo ninavyoongea ni wiki ya 3 sijamjibu wala kumsemesha. Nilikuwa na view status zake naye ana view zangu ila baadaye nikaona kimya, sioni status zake wala sioni akiview zangu.
Leo sasa nikaona niifungue sms yake niangalie dp nakutana na kivuli, ikabidi nimuulize sister wangu kwamba anaona status za Frank akajibu ndiyo, nikamwambia na dp, aka screenshot akanitumia nikajua tu hapa nimeblockiwa!
Jamani kusema kweli pamoja na kukaliana kimya sikuwai kuumia kama leo baada ya kujua kumbe kaniblock. Ina maana huyu jamaa kaamua anibikiri afu anibwage? Nyie kumbe huyu jamaa nimempenda ukweli nilifikiri masikhara, ila ndio hivyo tena.
Sijutii kutolewa bikira, kinachooniuma ni kujua kwamba hanipendi.
Ni hayo tu naombeni mniliwaze. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Uko sahihi huyu ni malaya anajikunaHuu mwandiko sio wa mwanamke aliyekuwa bikra siku kadhaa nyuma.
.
Hili jina lako hili...mama halafu mzungu, unaonekana mzoefu wa mambo kabisa wewe...kurubembe...nyani zee zee....
Kama unampenda si umwambie bibie
Una achana naye tu tatizo mnachagua watu wenye sifa ndio hao hampendi uhalisia wa mtu matokeo yake ndio hayo
Uko sahihi huyu ni malaya anajikuna