Ngosha Mashine
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 665
- 1,360
Ulitegemea yale mambo ya jukwaa la watu wazima eeh!Mod futeni huu uzi.
ha ha ha ha ha! huyo itakuwa alikurupuka akajua ni yale mambo yetu!Ulitegemea yale mambo ya jukwaa la watu wazima eeh!
haraka haraka haina baraka taratibu mkuuNilikuja nduki
Hata hivyo nimejikaza sana mkuu, mda huu nadaiwa ada shule!usimpeleke tena maana utasababisha kifo chake
Kulea kaz mamii, lkn nashukur mwanangu Nyaiwa anajitahidi sanaHongera! Pambana upate hiyo ada
Sawa sawa mkuu, shukranKkkkkkkkkk Nguvu ngosha, you made my day.
Kila mmoja aliyeutembelea uzi huu walikuwa na mawazo mengine. Nawe ukaja na story iliyotuondowa kwenye mategemeo ya kupata data za BLUE MOVIE STORIES.
Hongera kwa ubunifu mzuri
utoto gan tena mkuu??Utoto peleka Fb