Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapenda matisi eeh!!Nilikuja nduki
Nisamehe Mkuu!Ngosha umenikata ɓangi zangu ɓwana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilikuja nduki
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Ulitegemea yale mambo ya jukwaa la watu wazima eeh!
Anajitahidi kujilea ama?Kulea kaz mamii, lkn nashukur mwanangu Nyaiwa anajitahidi sana
Shemdarling Uje na huku Ushauri: Mvua hizi Jamaa...
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mod futeni huu uzi.
Dah nikisoma comments nacheka mpaka mbavu zinauma [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Utoto peleka Fb
shem na huku kunakuitaaa .... Story: Money Penny ni nani lakini?!Nisamehe Mkuu!
Nahisi umeniambukiza VVUshem na huku kunakuitaaa .... Story: Money Penny ni nani lakini?!
ahahahahaNahisi umeniambukiza VVU
Vina Vikali Usipime
Habari wana jukwaa, natumai hamjambo!
Mke wangu Mama Nyaiwa amekuwa akinilalamikia sana et kwann me sim'peleki kutembelea mbuga za wanyama,
Baada ya usumbufu wa mda mrefu nikaona msimu huu wa sikuu nim'tembeze nae akaone mbuga zetu,
Tulianzia Serengeti, tukaenda Ngorongoro pale oldvai na mwisho kabisa tukaupanda mlima Kilimanjaro kiukwel nanyi ndg zangu wa Tanzania tupende kutembelea vivutio vyetu
shukran ziwaendee [HASHTAG]#TANAPA[/HASHTAG]