Msukumakizazi
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 2,596
- 2,079
mhhhh!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia kwanza upo jukwaa gani?Mod futeni huu uzi.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Habari wana jukwaa, natumai hamjambo!
Mke wangu Mama Nyaiwa amekuwa akinilalamikia sana et kwann me sim'peleki kutembelea mbuga za wanyama,
Baada ya usumbufu wa mda mrefu nikaona msimu huu wa sikuu nim'tembeze nae akaone mbuga zetu,
Tulianzia Serengeti, tukaenda Ngorongoro pale oldvai na mwisho kabisa tukaupanda mlima Kilimanjaro kiukwel nanyi ndg zangu wa Tanzania tupende kutembelea vivutio vyetu
shukran ziwaendee [HASHTAG]#TANAPA[/HASHTAG]
Ni yale yale sema kaeleza kwa fasihi simulizi..... hahahahahUlitegemea yale mambo ya jukwaa la watu wazima eeh!
Shem acha alalamike tu mke mwenzanguHabari wana jukwaa, natumai hamjambo!
Mke wangu Mama Nyaiwa amekuwa akinilalamikia sana et kwann me sim'peleki kutembelea mbuga za wanyama,
Baada ya usumbufu wa mda mrefu nikaona msimu huu wa sikuu nim'tembeze nae akaone mbuga zetu,
Tulianzia Serengeti, tukaenda Ngorongoro pale oldvai na mwisho kabisa tukaupanda mlima Kilimanjaro kiukwel nanyi ndg zangu wa Tanzania tupende kutembelea vivutio vyetu
shukran ziwaendee [HASHTAG]#TANAPA[/HASHTAG]
Ha ha ha! me nimefanyiwa tohara ya bila ganziShem acha alalamike tu mke mwenzangu
Wanaume wengi wa huko tohara hamtaki kabisa huenda ndio sababu
Hongera kwa kutahiriwa